Ripoti: China ilifanya Uhalifu mkubwa dhidi ya Binadamu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,372
8,108
Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang.

Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur na Wakazakhs, makabila yenye Waislamu wachache ikiwa ni pamoja kuwalazimisha kufanya kazi ngumu katika kambi za Wafungwa. Marekani imeita jambo hilo ni Mauaji ya Halaiki.

Ripoti hiyo ya kurasa 48 ilithibitisha madai kwamba China ilitumia Imani ya Dini kuwaweka kizuizini, na kuchelewa kutolewa ripoti hiyo kumefichua uwepo wa shinikizo la Wanaharakati waliodai Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Michelle Bachelet alitaka kuzuia ripoti hiyo.

Ripoti imependekeza serikali ya China kuchukua hatua za haraka kuwaachia watu wote wanaoshikiliwa katika Vituo vya Mafunzo, Magereza au Vizuizi.

===========================

GENEVA — In a long-awaited report released on Wednesday, the United Nations’ human rights office accused China of serious human rights violations that “may constitute international crimes, in particular crimes against humanity,” in its mass detention of Uyghurs and other predominantly Muslim groups in its far western region of Xinjiang.

The assessment was released shortly before midnight in Geneva and minutes before Michelle Bachelet, the U.N. high commissioner for human rights, was set to leave office.

The release ended a nearly yearlong delay that had exposed Ms. Bachelet and her office to fierce pushback by rights groups, activists and others who had accused her of caving to Beijing, which had sought to block the report.

The 48-page report did not use the word “genocide,” a designation applied by the United States and by an unofficial tribunal in Britain last year. But it validated rights groups’ and activists’ claims that China has detained Uyghurs, Kazakhs and others, often for having overseas ties or for expressing religious faith.

The report is “an unprecedented challenge to Beijing’s lies and horrific treatment of Uyghurs,” said Sophie Richardson, the China director for Human Rights Watch. “The high commissioner’s damning findings explain why the Chinese government fought tooth and nail to prevent the publication of her Xinjiang report, which lays bare China’s sweeping rights abuses.”

To Uyghur activists, the report’s findings were a powerful vindication of their yearslong effort to draw attention to the suppression of ethnic minorities in Xinjiang. Beijing has routinely rejected any assertions of arbitrary detentions and abuses in Xinjiang and has accused Uyghur activists of lying. The activists say their families in Xinjiang have been imprisoned, detained and threatened by the authorities to try to silence them.

“It paves the way for meaningful and tangible action by member states, U.N. bodies and the business community,” said Dolkun Isa, president of the World Uyghur Congress. “Accountability starts now,” he added.

New York Times
 
UN wakijisahaulisha Ni zama ambazo watu wanajificha sura kuukwepa ukweli na sio kuficha ukweli.
#Kila mtu ni mtukufu anapokuwa akimsema mwenzio.
FB_IMG_16489818829366693.jpg
 
Hizi ni issue za Taiwani kama ilivyo Ukraine kwa Russia.
 
Huwezi kuninyamazisha, huo ni udikteta,

Uhuru wa kuabudu ndio kulazimisha wanaume kwa wanaume waowane?
Hivi mbona mnajitoa ufahamu? Hivi unataka kutuambia humu kwamba Nchi za Magharibi zinalazimisha watu wa jinsia moja kuoana? Hakuna Sheria inayowalazimisha watu wa jinsia moja kuoana kwenye nchi za Magharibi Kama unavyojaribu kupotosha. Sheria inawapa Haki wanaotaka ushoga na Kama hawataki haiwalazimishi kuwa mashoga. Sijawahi kusikia kwamba mtu ameshitakiwa nchini Marekani kwasababu amekataa kuwa Shoga,kwahiyo usitudanganye.
 
Je kuna haki ya mtu kupinga ushoga au ipo haki tu ya mtu kuunga mkono ushoga ?
 
Acheni unafiki wa kuisikiliza Marekani bila kufikiri.
Huko Marekani karibia Wahindi Wekundu wote waliangamizwa.
Ukiona Mmarekani Mweusi ni zao la watumwa waliopelekwa utumwani.
Hadi leo wamarekani weusi wanauwawa kila siku, kama ngedere.
Idadi ya wamarekani weusi katika magereza huko Amerika ni zaidi ya 60% ya wafungwa WOTE wakati idadi ya watu weusi iko 33% tu.

Sasa anatokea mburula kuishutumu China.
 
Hivi mbona mnajitoa ufahamu? Hivi unataka kutuambia humu kwamba Nchi za Magharibi zinalazimisha watu wa jinsia moja kuoana? Hakuna Sheria inayowalazimisha watu wa jinsia moja kuoana kwenye nchi za Magharibi Kama unavyojaribu kupotosha. Sheria inawapa Haki wanaotaka ushoga na Kama hawataki haiwalazimishi kuwa mashoga. Sijawahi kusikia kwamba mtu ameshitakiwa nchini Marekani kwasababu amekataa kuwa Shoga,kwahiyo usitudanganye.
Unapomnyima mtu msaada kwa sharti la kutambua haki za mashoga sio kulazimisha?
Rejea waziri mkuu wa uk alipolazimisha inchi za afrika kwenye hilo,
Nadhani ni cameron yule kama sikosei
 
K
KWeli no one's perfect,
Lakini kuna tofauti kati ya kufanya uovu na kuhalalisha uovu
Umenena mkuu ,ila tusiwe wepesi kuhukumu wenzetu maana kiukweli binadamu ana matatizo sana ,kuna mtu anazaliwa ana maumbile ya kiume ila ana hisia za kike ,pia Yuki mwanmke ana hisia za kiume ,nineshuhudia kwa macho yangu maana kuna project tulifanya dar es salaam tuliyoshuhudia yanatisha,kuna watatu walikua na jinsia mbili ila haya hayawekwi wazi ,kuna namna inahitajika kuwachukulia haki hawa binadamu wenzetu ambao hawakupenda wazaliwe hivyo .ila kama watu ni wazima alafu wanafanya ushoga ni uovu mkubwa sana,yaani mtu huna tatizo alafu kimuhemko tuu unamlala mwanaume mwenzako ,kiukweli haiiingii akililin
 
Back
Top Bottom