binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Msisimko ndani ya mto Jiuqu ni somo la uhusiano wa binadamu na mazingira ya asili

    Na Gianna Amani Ukiachilia mbali neno wananchi huenda neno lingine lililotajwa na Rais Xi Jinping mara nyingi zaidi katika siku za hivi karibuni ni mazingira, na mara kadhaa ametoa msisitizo juu ya uimarishaji wa uhusiano mpya kati ya binadamu na mazingira ya asili. Mara nyingi Rais Xi Jinping...
  2. BARD AI

    90% ya 'Antibiotic' zinatumika kutibu wanyama badala ya Chanjo Tanzania

    Serikali imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea madhara makubwa hasa kifo kwa watumiaji. Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Tumaini Nagu amesema jijini Dar es Salaam kuwa takwimu zinaonesha asilimia 92...
  3. R

    Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  4. Afrocentric view

    Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

    Tsup! Leo tuzamishe kidole gumba kwenye bahari -bahari ambayo ni hii mada ihusuyo chanzo halisi cha binadamu. Hii story (History😅) ni very complicated na ndefu ila nataka niandike kwa ufupi sana nisije nikajaza page 200, so without further'a do, let's dive into it. Creation theory Kabla ya...
  5. Planet FSD

    Kama taifa ni muda wa kuangalia vipaumbele vyetu, policies za emergencies preparedness na uthamini wa maisha ya binadamu

    Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya. Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
  6. L

    China yajizatiti katika kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
  7. BARD AI

    Dar: Mfanyabiashara kutoka Tabata afikishwa Mahakamani kwa kusafirisha binadamu

    Mfanyabiashara na mkazi wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, akikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji haramu wa binadamu. Masoli amefikishwa mahakamani leo, Oktoba 31, 2022 na kusomewa shitaka lake na wakili wa Serikali, Caroline Materu...
  8. BARD AI

    Binadamu ambaye hajaoga kwa miaka 50 afariki akiwa na miaka 94

    Amou Haji aliyetajwa na vyombo vya habari kuwa "mtu mchafu zaidi duniani" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, ikiwa ni miezi michache tu baada ya kunawa kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa. Amou alikuwa amekataa kutumia sabuni na maji kwa zaidi ya nusu karne, akihofia ingemfanya...
  9. Joannah

    Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

    Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa. Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee...
  10. M

    Kwa upande wangu huwa nawaona wanao zipinga dini za uislamu na ukristo kama binadamu walio firisika akili

    Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli Watu wengi wamekuwa na kasumba hii...... Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
  11. BARD AI

    RIPOTI: UN yasema 44% ya ukiukaji wa haki za binadamu ulifanywa na Serikali ya Congo DR

    Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi. Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
  12. Komeo Lachuma

    Nimegundua mimi si binadamu wa kawaida. Tena si Mtanzania Halisi.

    Yaani sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Ukifanya vizuri hata kama juzi tumetukanana nitakusifia kuwa hapo umefanya vizuri. Ukikosea hata kama asubuhi nimeamka na wewe na ni mrembo sana nitakuambia ukikasirika shauri yako mi nimeshakuambia. Hata kama ni jamaa,mshkaji,ndugu au rafiki wa...
  13. Lady Whistledown

    Biashara ya Binadamu: Raia 22 wa Kenya waokolewa Barani Asia

    Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi...
  14. ERTUGRUL BEY

    Binadamu huwa tuna mipango mingi sana lakini hatujui kesho yetu

    Ilisikika sauti toka ndani ya kaburi " Lete dongo, Lete reli, Lete ubao, lete majani". Nilikuwa miongoni mwa watu watano ambao wali bahatika kuchaguliwa kuingia ndani ya kaburi kumzika huyu shangazi yangu,na ndiyo ilikuwa mara ya Kwanza kufanya hivyo Amekufa akiwa na Miaka 96 yaani bado minne...
  15. BARD AI

    Uganda: Bunge kujadili Muswada utakaoruhusu Upandikizaji Viungo vya Binadamu

    Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake. Gharama za upasuaji nje ya nchi ikiwa ndio chaguo pekee kwa sasa ni Tsh. Milioni 69.9 kiasi...
  16. Binadamu Mtakatifu

    Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

    Toka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia...
  17. BARD AI

    Serikali yakiri kupokea malalamiko zaidi ya 6000 ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
  18. Mystery

    Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  19. Roving Journalist

    Bunge lapitisha adhabu ya kifungo cha maisha kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu

    Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu. Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh...
Back
Top Bottom