bima

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo cha mapato kwa Bima ya Afya kwa wote. Amesema kuna wamiliki wa laini za simu milioni 72 nchini ambao...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Fedha za bima kwa wote kukatwa kwenye line za simu, mpango wenu Serikali ni Watanzania tuache kabisa kuwasiliana?

    Wakuu, Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa! Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu? Hii siyo ya kukalia kimya! Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
  3. JamiiForums Tanzania Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

    Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana. Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia. Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leseni na Bima ya kufanya siasa

    Yaani Nawaza Kisichowezekana Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka kufanyakazi wanapaswa wawe na leseni. Mfano Madaktari, Walimu, Mafundi wanatakiwa wawe na vyeti vya ufauru...
  5. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa Bima za NHIF Tanzania

    Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza watoa huduma za afya Tanzania, lakini kuna swala nimelishuhudia ambalo sidhani kama lipo sawa. Binafsi nilipatwa tatizo la macho, nikaenda hospitali (ipo Dodoma) nikawa nimeonana na daktari kwa kutumia bima ya NHIF ambayo mimi ni mteja wao. Nilionana na...
  6. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huduma ya Saikolojia ipatikane kwenye Bima ya NHIF, kuna watu wengi wana changamoto ya Afya ya Akili

    Hivi karibuni kumekuwa na hoja kadhaa kuhusu vifurushi vya Huduma za Bima ya NHIF, kuna mengi yanazungumzwa lakini leo nataka kushea moja ambalo limenikuta na inawezekana likawa na madhara makubwa katika jamii japokuwa Watu wengi hawalitazami kwa jicho hilo. Katika vifurushi ambavyo vinalipiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

    Great Thinkers. Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile. Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

    Sijisikii vizuri Wakuu, kesho nataka kufanya checkup. Nipeni mwongozo wa kuingia hapo hospitali ya Mzena kufanya matibabu. Mode of payment nimepanga kutumia kadi ya NHIF.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya

    Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya Mimi naomba utaratibu ubadilike Ili Kila mtu awe huru kuchangia anapohitaji
  10. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

  11. JamiiForums Tanzania Wapiganapo fahari wawili nyasi ndizo huumia

    Wapiganapo fahari wawili, nyasi ndizo huumia! Nini maoni yako juu ya picha hii mdau?
  12. JamiiForums Tanzania NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

    Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini. Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
  14. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Nakiona Kitanzi cha Bima ya Afya kwa wote kabla hata hatujafika Mbali

    Nitashukuru Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu mkatoa maelezo kwa umma ni kwa vipi wakati pricing list ya 2016 (NHIF) inatolewa bei ya petroli ilikuwa shilingi chini ya 1700 kwa lita dola moja ilikuwa chini ya 2100 halafu pricing list mpya ya NHIF inayoanza kutumika kesho Machi Mosi Petroli ikiwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni Gani inatoa bima Bora ya afya kwa mwananchi anayejilipia yeye binafsi?

    Kama nilivyosema wadau naomba ushauri
  16. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yazindua huduma ya bima yenye misingi ya sharia kwa Watanzania wote

    Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kikwete agawa bima za afya kwa mabalozi Chalinze, asisitiza kuwapa kipaumbele

    Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila siku zinazofanywa na fursa zinazojitokeza ili kuwatambulishaU umuhimu wao katika kazi na ustawi wa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna nini kinaendelea bima? Hospitali hazijalipwa madai zaidi ya miezi 5

    SHIRIKA LA BIMA LIMEFILISIKA HOSPITALI ZINADAI PESA ZAIDI YA MIEZ 5 BILA MALIPO, WANANCHI TUMEANZA KUONJA JOTO HILI,UKIENDA MUHIMBILI HUDUMA YA HARAKA KWA MGONJWA WA BIMA IMEPUNGUA SANA, NI MALALAMIKO KILA KONA. JE, MNAPOSEMA BIMA KWA WOTE MTAWEZAJE WAKATI HILI LA KUZILIPA HOSPITALI TUPATE...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote, sasa ni Sheria rasmi

    Najinasibu kwa kuwa consistent on issues! Kwa muda mrefu nimeulizia na kushawishi juu ya uwepo wa sheria ya bima ya afya kwa wote ...ikiwa ni mbinu ya kistratejia kufikia uhuru wa kweli na kujitegemea katika maswala yahusuyo afya. Mchakato huu ni mrefu sana na uligubikwa na vikwazo vingi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wagonjwa wamepungua hospitalini baada ya sheria mpya ya bima ya afya NHIF?

    Kuna upungufu wa wagonjwa hospitalini hasa wazee na watoto. Wanafunzi wanarejea nyumbani badala ya kupelekwa hospital wanapoumwa. Muda wanaotumia wanafunzi kufuatilia bima ya afya ni mwingi kuliko muda wa masomo. Kadi za bima kwa wanafunzi hazitoki na mara nyingi utoka wanapomaliza mwaka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…