bima

  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?

    Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kwamba madaktari huwatibu vizuri na kuwajali zaidi wateja wanaolipia cash badala ya bima ?

    Kuna ukweli wa hili jambo ?
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Sheria ya bima ya afya kwa wote yaanza kutumika, kipengele cha 'lazima kwa wote' chasitishwa matumizi

    Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
  4. B

    JamiiForums Tanzania EXIM BIMA FESTIVAL 2024: Burudani yenye Lengo la Kuboresha Huduma za Afya ya Akili

    Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano, Stanley Kafu (kati) kutoka Benki ya Exim Tanzania, akizungumza wakati wa kutangaza ujio wa tamasha la Exim Bima Festival 2024, likiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, ambalo litafanyika terehe 28 Septemba mwaka huu katika Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika Vijana Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima

    Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama una sifa tajwa tafadhali ni pm Kwa maelekezo zaidi@vigezo na na mashariti kuzingatiwa.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya afya ya NSSF imejaa ukiritimba, wananchi tunaumia

    Naombeni mtusaidie kupaza sauti au kutafuta ukweli kuhusu bima ya afya inayotolewa na NSSF kuna ukiritimba unaifanywa na baadhi ya wamiliki wa hospitali wakishirikiana na wakuu wa makampuni binafsi kwa kuwataka wafanyakazi wote wa kampuni kutibiwa hospitali moja bila kujali unaishi wapi? Mfano...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) yaingilia kati mgogoro wa Kampuni ya Bima ya IGT kushindwa kulipa madeni

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini imekuwa ikiwazungusha malipo yao kwa miaka kadhaa sasa. Awali andiko la Mwanachama wa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kampuni ya Bima ya IGT inatuzungusha miaka kutulipa stahiki zetu, tumeamua kulala ofisini ili tulipwe

    Hawa ni Watanzania wanaidai Kampuni ya Insurance Group of Tanzania, wiki iliyopita walitumia siku tatu kushinda na kulala katika ofisi za kampuni hiyo kutaka kulipwa madai yao wanayodai ofisi hiyo iliyopo maeneo ya Kawe karibu na makao makuu ya SUMA JKT. Kampuni hiyo imekuwa na viongozi wenye...
  9. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania Hili Tangazo la Ada Bima la Tanzania Commercial Bank linasikitisha

    Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto. Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako" Katika kitu ambacho viumbe vyote vyenye Pumzi ya uhai vinafanyiwa ukatili ni mauti ya umpendaye. Nyuma unaacha shida na mateso...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni bima ya afya

    Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia basi hapo lazima uingie mfukoni. Jana nilienda kupata chanjo ya homa ya ini katika hospitali...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii Kijiji cha Mundindi - Wilaya ya Ludewa

    UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa. Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafurahishwa kuanzishwa kwa kampuni ya bima ya ‘CRDB Insurance Company’

    Kamishna wa Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamaja (katikati) akifurahia uzinduzi rasmi wa kampuni tanzu ya Benki ya CRDB inayotoa huduma za bima ‘CRDB Insurance Company (CIC) Ltd’ katika hafla iliyofanyika hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam 18 Juni 2024...
  14. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania Bima ya Maisha - Umuhimu na Uhalisia

    "Ndugu zako wanakupenda, kuwa kwako na Bima ya Maisha inaonyesha Unawajali Pia" Umuhimu: Maisha yamekuwa magumu na ya gharama sana, hata kitu kama kifo / mazishi /Misiba yamekuwa mzigo kwa familia na jamii na sababu ni jambo la ghafla unaweza ukakuta kifo chako kinawasumbua na kuwatia hasara na...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye basi la Kilimanjaro latangazwa kupigwa mnada

    Kampuni ya udalali ya Legit Auctin Mart ya Dar es Salaam imetangaza mnada wa kuuza basi la kampuni ya Kilimanjaro Express kwa amri ya mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam. Kutangazwa kuuzwa kwa basi hilo kutokana na kampuni la Kilimanjaro kushindwa kulipa deni la shilingi milioni mia tatu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jinsi Wizara ya Afya inavyo weza kushirikiana na Hospitali Binafsi na Wadau wa Afya kuleta ufanisi katika suala la Bima ya Afya

    Ni mara kadhaa sasa kipindi cha hivi karibuni kumeshuhudiwa sinto fahamu katika mfumo wa bima ya afya swala lililopelekea huduma kusuasua na kuleta sinto fahamu.Ifuatayo chini ni moja ya mfano dhahiri wa kuonesha kwamba kuna changamoto katika kuandaa mikakati ya kuboresha mfumo wa bima ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya Vikoba

    Kupitia mfumo wa kiditali bima ya AFYA VIKOBA itawezesha makundi tegemezi kama mwanafunzi, ombaomba nk kumudu gharama za matibabu kwa kuchangia Tshs 150 kwa siku, 1000 kwa wiki na 45,000 kwa mwaka. Na watoto umri wa siku 1 hadi miaka 4 wa mwanakikundi kupata tiba bure na hasa kwa magonjwa...
  19. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Swali: NHIF Inasajili Vipi Watoto wa Shule za Serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi?

    Ningependa kujua kuhusu utaratibu wa NHIF kusajili watoto wa shule za serikali kwa Bima ya Toto Afya Kadi. Awali, NHIF ilikuwa inasajili watoto ambao hata siyo wanafunzi kwa bei ile ya Tsh 50,400 bila kujali anasoma au hasomi baada ya shirika lenyewe kujipa hasara kwa kuhujumu mfuko ndio wakaja...
  20. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
Back
Top Bottom