Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
Great Thinkers.

Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile.

Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa umasikini kwa gharama za matibabu.

Hudumu nyingi hazimo kwenye bima kitu kinachoumiza sana.

Shame on you CCM, mlaaniwe kabisa.
 
Attachments

  • ORODHA YA DAWA ZILIZOONDOLEWA KWENYE KITITA 2024.pdf
    135.9 KB · Views: 5
Hii Bima ya waziri Kilaza Ummy haina Vifaa kama Bandage, Syringe & Gloves sasa hapo kuna haja gani ya kuwa na bima???!! anyway usijekuta nayeye ndoto zake ni alikuwa anataka kuwa Miss Tanga sema kwa bahati mbaya Kijiti cha uwaziri kikamdondokea.
 
Great Thinkers.

Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile.

Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa umasikini kwa gharama za matibabu.

Hudumu nyingi hazimo kwenye bima kitu kinachoumiza sana.

Shame on you CCM, mlaaniwe kabisa.
muda wa kutumia miti shamba kama wakati wa CORONA umewadia!!!,ukiumwa malaria tumia mwarobaini,ukiharisha kunywa K-VANT!!!!,,ukiumwa jino tafuna NDULELE alafu usimeze,tafunia sehemu jino linauma,ukiwa na pressure nenda kwa sangoma, kama kuna changamoto ya KONDOM ,uume wako uvalishe UTUMBO mdogo wa MBUZI!!
 
Nimeona Metronidazole hyo antibiotic ya muhimu sana hasa sisi wamama tukijifungua ndo tunapewa hyo kwa ajili ya ku clear all mess..au wanamaanisha metronidazole ipi..kweli ni janga hili walai..
 
Great Thinkers.

Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile.

Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa umasikini kwa gharama za matibabu.

Hudumu nyingi hazimo kwenye bima kitu kinachoumiza sana.

Shame on you CCM, mlaaniwe kabisa.
vipimo vya typhoid now unalipa cash
 
Nimeona Metronidazole hyo antibiotic ya muhimu sana hasa sisi wamama tukijifungua ndo tunapewa hyo kwa ajili ya ku clear all mess..au wanamaanisha metronidazole ipi..kweli ni janga hili walai..
Hiyo ni Metro iliyochanganywa na Diloxanide.
Sii hiyo unayoiongelea.

Ila bado ni janga kama ulivyosema.
 
Great Thinkers.

Sikia kusimuliwa tu. NHIF kuna uozo mkubwa na wa kutisha ukizingatia imebeba hatma ya maisha ya watu, lakini hudumu ni za hovyo kupita kipindi chochote kile.

Sijui hizo hela tunazochanga zinaenda wapi. Halafu kuna wahuni wanasema mama anaupiga mwingi how. Watu wanatiwa umasikini kwa gharama za matibabu.

Hudumu nyingi hazimo kwenye bima kitu kinachoumiza sana.

Shame on you CCM, mlaaniwe kabisa.
Mkuu nakuomba unipe reference yoyote ya Africa wataka NHIF yetu uwe kama ya nchi gani?............ebu tuwe na constructive criticism kwa mambo mengine ni metembea zaidi ya nchi 30 za Africa katika nyanja ya afya ila Tanzania bado hatuko pabaya nipe reference ya nchi unao taka tufanane.
 
Back
Top Bottom