bima

  1. Melanny

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Bima ya bei nafuu kwa mtoto

    Habari wapendwa naomba orodha ya bima ambazo ni nzuri na nafuu kwa mtoto mwenye umri wa miaka mi tano (5)
  2. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nimepata ajali nikakumbuka ningekuwa na bima ingenisaidia

    Ukweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu. Roho inaniuma sana kwa hizi gharama ikiwa huna...
  3. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya kwa kila Mtanzania suluhisho kwa watanzania wanaokosa matibabu sababu ya pesa

    Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali. Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya ili kuondoa adha hii na hii kupiga tadhimini na kujua namna gani fedha zitapatika ili kufanikisha...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ataka uondolewe ukakasi kwenye mchango wa gari la Lissu ndio achangie

    Kupitia akaunti yake ya X mwanamama mwenye misimamo mikali Bi Fatma Karume amehoji juu ya sintofahamu ya michango ya Lissu. Amehoji kwa nini asilipwe gari na bima wakati gari ilikuwa na bima? Ametaka huu ukakasi uondolewe ndio achangie. Na mimi namuunga mkono kwenye hili. Tundu asije tufanyia...
  5. 3

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za malipo ya bima ya gari zikoje endapo ulipata ajali na kuathirika baadhi ya sehemu mwilini?

    Wakuu habari za majukumu, Kulinga na kichwa cha habari apo juu nilikuwa naomba kama kuna mtu anauelewa na mambo ya bima. Mimi nilipata ajali ya gari na kupoteza baadhi ya vidole, nikafatilia madai yangu bima kwa kufata taratibu zote ila kiwango cha pesa wanachotaka kunipa ni 7m. Sasa...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima zote ni haramu

    Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji. Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za mtume Muhammad rehma na amani zimshukie. Katika ufafanuzi huo,masheikh wamesema kama itatokea...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya NHIF yashindwa kulipa miezi 7 hospitali zinazohudumia, wananchi wateseka, serikali iko kimya

    Shirika la bima ya afya NHIF limekuwa na mabadiliko makubwa yanayosababisha wanachama kukoswa HUDUMA imara, HUDUMA nyingi za upasuaji zimeondolewa na kumfanya mwanamchi kulipia topup, serikali na watumishi wake ndio wemeweka Huu utaratibu huku WANANCHI wakitekete kwakisubili kuongezeka Hela...
  8. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Insurance na ACRE Africa Washirikiana Kuboresha Bima ya Mifugo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CRDB Insurance, Wilson Mnzava akibadilishana hati ya makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ACRE Africa, Ewan Wheeler, katika hafla ya kusaini makubaliano ya kutoa huduma ya bima ya kilimo na mifugo, ambapo kwa kuanzia watanaanza na bima ya mifugo kwa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shirika la Bima la China (SINOSURE) kuisaidia Tanzania kutafuta Fedha za ujenzi wa SGR Lot 5

    Shirika la Bima la China - SINOSURE linaendelea na taratibu za upatikanaji fedha za kugharamia ujenzi wa Kipande cha Tano cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye urefu wa Kilomita 341 na kuonesha nia ya kusaidia upatikanaji fedha za ujenzi wa kipande cha sita cha ujenzi wa Reli...
  10. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

    Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike. Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lissu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima...
  11. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Gharama za hospital ni kubwa. Jitahidini muwe na bima

    Mpaka sasa nimetumia 133,000/= kwa ajili ya vipimo. Na kuna kipimo ki1 nimeacha sababu ya kukosa pesa. Nina maumivu mgongoni. Kuanzia usawa wa mbavu kuja juu. Nimekuja kumwona dr baada ya kumpa maelezo kaniandikia kufanya vipimo vya ultrasound, xray, na vipimo v3 vingine kutoka kwenye damu...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mamilioni ya Raia Masikini kunufaika na Bima ya Afya kwa Wote

    Rais Cyril Ramaphosa, Mei 15, 2024 anatarajiwa kusaini kuwa Sheria Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote unaolenga kutoa huduma bora za Afya kwa wote huku wanufaika wakubwa wakiwa ni Mamilioni ya Raia maskini Muswada huo uliopitishwa na Wabunge Mwaka 2023 unalenga kuwapa Waafrika Kusini "wa rangi...
  13. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Suala la bima ya Afya kwa pamoja

    Habari wana jamvi, naona bunge na Serikali ikiwa na hoja nzuri yenye mtazamo wa kuweka mazingira ya wananchi kupata afya kwa mfumo wa bima. Kwakuwa ni shirika moja ndio linalotegemewa (NHIF) kwenye hiyo bima ya pamoja kwa watanzania wa maisha ya kati na chini zinaweza tokea changamoto hizi:-...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yarejesha Vifaatiba na Dawa 178 ilizoziondoa kwenye Kitita kipya cha Bima ya Afya

    Pia Soma: 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vinavyodaiwa kuondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Bima ateuliwa kuwa Kamishna wa NCAA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Kamishna wa Uhifadhi, Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la #Ngorongoro (#NCAA) Dkt. Doriye anachukua nafasi ya Richard Rwanyakaato Kiiza, ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo Machi 15, 2024 Aidha, Christopher Derek Kadio ameteuliwa...
  16. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ulimkatiaje bima mkeo na cheti cha ndoa hauna?

    Wakuu naomba kufahamu kuhusu suala hili tafadhari.
  17. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kukata bima NHIF kwa wasio waajiriwa ukoje? Gharama zake za kila mwezi ni zipi?

    Wakuu, Nataka nikatie Bima familia lakini sijaajiliwa. Gharama zikoje? Shilingi ngap kuchangia kila mwezi?
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

    Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :- -NHIF -ASSEMBLE -STRATEGIES -JUBILEE -Cigna -BRITAM -BUPA -UAP -HEALIX -WCF -CHF -Aetna -NSSF Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida...
  19. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Ipi kampuni bora ya bima ya magari kati ya hizi?

    Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
  20. Medical Dictionary

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Utaratibu wa kisheria wa kulipwa fidia na Bima unapopata ajali kama abiria kwenye chombo cha usafiri.

    Habari wanajukwaa, Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom