bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kusafiri bila kutoa taarifa inasaidia sana kwa usalama wako

    Mzuka Wanajamvi! Kutokana na tabia mbaya siku hizi za chuki, husda, wivu, gilba na ushirikina lazima uwe makini sana kwa wanaokuzunguka. Si vizuri kuweka wazi mipango yako. Hata ukitaka kusafiri unaondoka kimya kimya tu. Mimi hata nikija bongo likizo nashuka kimya kimya na nikiondoka...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Internship bila malipo kwa wakazi wa Arusha wilaya meru

    Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship haina incentives au malipo yoyote ni kazi ya kujitolea kwa wanaotaka kujifunza kazi. tumeni c.v...
  3. JamiiForums Tanzania Tukatae, tukubali, watumishi wa Mungu hupitia mapito/ mitihani mikubwa sana. Tuwaombee bila kukoma

    Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana. Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
  4. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Hata Bila ya Uchunguzi wa Polisi Aliyemshambulia Lissu atakuja kutajwa tu

    Polisi hawajawahi kuchunguza ni nani alimshambulia Tundu Lissu tarehe 7/ 09/ 2017 pale Dodoma. Wanatoa kisingizio cha kipumbavu kuwa mpaka wampate Dereva wa Lissu ambaye yuko Ubelgiji. Kwa namna nchi inavyokwenda tutakuja kujua ni nani aliwatuma, nani alikuwa kiingozi wao na nani aliyefyatua...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bila uchawa, kusema uongo, kuwa praise team member hutoboi

    Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake. Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Huu ni ukweli ambao hata wao wanawake hawaupendi, in fact masuala kama haya huwa naandika kwenye magroup yangu yenye wanaume wenzangu tu. Hii kitu naandika hapa, ni kwa mwanamke yoyote yule hapa chini ya jua, bila kujalisha dini, rangi, elimu, kipato, race, ni chibonge, ni mwembamba, ni mrefu...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Green Guards wa CCM na UVCCM wakafanya 'Umafia' bila ya 'Baraka: za 'Owner Chair' wao Taifa?

    GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo. 'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Feleshi, tutajie Mkataba wa Serikali iliyosaini bila ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushirikishwa

    Nimesikiliza Hotuba ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akieleza ni marufuku kuanzia sasa mikataba kusainiwa bila idhini ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mhe Rais amesema hayo baada ya kulalamikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuwa kuna mikataba Serikali inaingia bila kumshirikisha AG...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii dhana ya kuifungua nchi ni kujidhalilisha: Kwani nchi ilikuwa imefungwa? kuna vitu watu wanasema bila kufikiri!

    Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa haijabadilika!! Tatizo ni watu kujaribu kujikomba bila aibu...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu unatoaje huduma ya gesti bila kondomu?

    Unapokea wageni mbalimbali kuwapa huduma ya gest. Wengine unapokea usiku kama huu. Halafu unaombwa kondomu huna. Si utaua watu? Hii sio sawa
  12. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya kufungiwa adsl internet elf 25 kwa mwezi bila kikomo, niagize router kutoka nje ?

    nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika. fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli asingekubali kutoza tozo za laini ya simu kwa wanyonge. Huku ni kuonea watanzania. Mbona alifanya makubwa bila tozo?

    Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe yanaingia mfuko mkuu wa serikali. Na hapo akawa amepatia akafanya makubwa. Akajenga hospital, vituo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

    Kwema Wakuu! Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa? Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa. Angalau ndoa...
  16. JamiiForums Tanzania Modi kamchana live Puttin uso kwa uso bila kupepesa macho

    Huyu mwamba namwaminia sana kwenye ,ukweli anasema hana biashara za kinafk amemwambia kabisa puttin kama unataka kufanya biashara achana na hiyo vita ,haikusaidii achana nayo tukae tupige michongo ya biashara ,kumbuka msela kamchana live live yan makavu live ana kwa ana.Putin akamjibu kwa aibu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Hulka za Wanaccm, bila mamlaka ya Uteuzi wangemchukulia kama Mwenyekiti wa TADEA tu

    Ukweli bora usemwe tu. Kwa hulka za wanaccm za kukosa uzalendo na nia njema za kulitumikia taifa kwa maendeleo ya Taifa sidhani kama wangekuwa wanamheshimu Mwenyekiti wao. Yaani ni hivi bila ya kuwa na mamlaka ya kuwateua na kuwapa ulaji wangekuwa anamchukulia kama Mwenyekiti w TLP au TADEA...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Bila Rushwa ya 50,000 au 100,000 kwa Viongozi wa viwanda vya Mo Dewji hupati kazi

    Ndugu zangu, Kuna mambo ya ajabu yanafanyika kwenye ajira za vibarua katika viwanda vya METL chini ya MO DEWJI. Kuna wanaojiita supervisors wa viwanda na wahusika wa kuajiri wafanyakazi na vibarua wamekuwa na utaratibu kuchukua rushwa ya Tsh. 50,000 hadi 100,000 kwa kila anayetaka kazi. Kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi wafuatao ndiyo Marais wa Afrika waliokuwa na wenye uwezo wa kuhutubia bila kusoma mahala popote

    1. Hayati Baba wa Taifa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 2. Hayati Baba wa Taifa Afrika Kusini Nelson Madiba Mandela 3. Hayati Mkombozi na Baba wa Taifa wa Congo DR (zamani Zaire) Patrice Emelly Lumumba 4. Hayati Baba wa Taifa Ghana Kwame Nkurumah 5. Hayati Rais Benjamin Mkapa 6...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…