Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada

Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo hilo na kuzuiwa kuuza iPhone 12 na 13 bila chaja.

Apple iliacha kuweka chaja kwenye simu zake mpya Oktoba 2020 kwa madai ya kupunguza taka za plastiki. Bunge la Ulaya limepitisha sheria inayotaka Simu Mahiri, Kompyuta na Kamera zote zitumie chaja za USB-C kuanzia 2024 na kuilazimu Apple kubadilisha muundo wa simu zake.

======================

A Brazilian judge fined Apple $20 million Thursday for selling iPhones without chargers, calling it an "abusive practice" that forces customers to buy an additional product.

The decision, which can be appealed, came after Brazil's justice ministry slapped a separate fine of nearly $2.5 million on Apple in September over the same issue and barred the US tech giant from selling its iPhone 12 and 13 models without chargers.

The new fine 100 million reais was awarded by a Sao Paulo civil court judge as damages in a lawsuit filed by the Brazilian Consumers' Association.

Apple stopped including outlet chargers with new iPhones in October 2020, saying it wanted to help reduce electronics waste. But the move effectively "requires consumers to purchase a second product in order for the first to work," Judge Caramuru Afonso Francisco wrote in his ruling.

He ordered the California company to supply chargers to all consumers in Brazil who bought iPhone models 12 or 13 in the past two years and begin including them with all new purchases. Apple is also facing charger-related headaches across the pond.

Last week, the European Parliament passed a law requiring all smartphones, tablets and cameras to use USB-C ports as the single charger standard from late 2024, which will force Apple to change its phone designs.

AFP
 
na Rais Samia anasemaje kuhusu hilo ? au huku kwetu baskeli ni pikipiki iliyopoteza matumaini ?🤔
 
Watumiaji wa hili tunda ni wajinga yaani wanauziwa simu tu
chaja jitegemee
mi sijawahi kutumia takataka hizi
 
Back
Top Bottom