bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga ni timu ya kawaida sana Ila inakuzwa bila ya sababu

    Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga. Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe Simba bila Chama inahangaika sana kupata magoli

    Kila mtu ameona mechi ya Simba Vs Singida, kukosekana kwa mtu mbunifu kama alivyo mwamba wa Lusaka imeipa ugumu Simba kumaliza game ndani ya dk 90. Chama hatocheza Simba milele ni lazima lifanyike jambo kurekebisha hili.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

    --- Experienced journalist and public affairs analyst Chuks Ohuegbe has come forward to respond to the ousted President's comments regarding his treatment by the detaining soldiers under Mohammed Bazoum's prolonged arrest by the military junta that has taken control of the Niger Republic...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Simba bila Chama inapungua ubora

    Habari wanajf Simba inakuwa na shida sana hasa anapokosekana Chama, Chama analeta utofauti mkubwa sana kwenye kikosi mechi ya jana ilikosekana utulivu kuanzia katikati ya uwanja mpaka mbele angalau alivyoingia Ngoma kidogo Kati pakawa na utulivu lakini mbele bado pakawa vile vile. Faida ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa muda gani mrefu umekaa bila kuoga na kwanini?

    Muda: nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2, Chanzo: Niliingia kwenye msala flan ambao hatma yake iliamuliwa baada ya siku 30, ulikuwa msala ambao ungeathiri hata maisha yangu kiujumla. Nlijaa stress sana hicho kipindi nasubiri hatma, nilikaa wiki 2 bila kuoga...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  7. JamiiForums Tanzania Huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako

    Wazee wanasema: huwezi kupanda mlima hadi juu kileleni bila kuponda baadhi ya mimea kwa miguu yako. Aliye kileleni ni vyema akumbuke maumivu aliyosababisha wakati wa safari ya kupanda mlima. Hakuna aliyepata mafanikio bila kusababisha maumivu kwa wengine. Baadhi ya ndoto za dada, kaka na wadogo...
  8. JamiiForums Tanzania Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

    Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana 🤔🤔🤔🤔
  9. JamiiForums Tanzania Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

    Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli. Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
  10. JamiiForums Tanzania Mtanzania ndio binadamu pekee bila kumbembeleza hawezi kufanya kazi ipasavyo

    Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira. Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka. Alafu umkute...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa presha ya siasa iliyopo nchini Rais angekubali kwenda uwanjani bila uwanja kujaa kwanza? "Sold out"

    Simba wakubali siasa ipo kazini; kabla ya kumwalika Mhe. Rais katika event hii lazima wapo wanasiasa kutoka kwenye mashinda walihusika kukubali kuvaa jezi nakwenda uwanjani. Walioingia uwanjani siyo wana Simba bali ni wanasiasa na watumishi wa umma. Haiwezekani kabla hata watu awajajua tiketi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  13. JamiiForums Tanzania Waagiza mafuta wasema bila Dola watashindwa kuagiza mafuta

    Katika kuendelea kuhakikisha bidhaa ya mafuta ya petroli inapatikana kwa uhakika maeneo yote nchini, Chama cha Waagizaji na Wasambazaji Mafuta Tanzania (TAOMAC) wamekutana na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 4 Agosti...
  14. JamiiForums Tanzania Mbarikiwa Mwakipesile, Mtanzania pekee anayeweza kumkemea bila woga kiongozi yeyote hapa nchini

    Habari! Wengi wanajitahidi kusema ukweli na wengine kukemea viongozi. Lakini karibu wote wanatumia indirect way (kuzunguka zunguka) ila huyu Mbarikiwa Mwakipesile hazunguki anakwenda moja kwa moja.
  15. JamiiForums Tanzania Anayeuza bidhaa nje hawezi kukosa dollar: Niseme tu ukweli dollar haiwezi kupatikana bila kuzalisha bidhaa za kuuza nchi za nje (Balance of Trade)

    Mimi binafsi sina hakika kama dollar ni tatizo la dunia nzima. Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar? Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar? Kwamba tukilima korosho kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Shule ya msingi Kigarama iliyopo Kata ya Igurwa, Karagwe Mkoani Kagera

    Shule ya msingi Kigarama iliyopo katika Kata ya Igurwa wilayani Karagwe mkoani Kagera ni miongoni mwa shule kongwe wilayani Karagwe. Shule hii kwa sasa inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo upungufu wa madarasa pamoja na shida vya matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi. Mwaka jana 2022...
  17. JamiiForums Tanzania Bila kifo watu wasingeenda kanisani/msikitini

    Ndio hivyo, Kwa sasa tunatia huruma kanisani na msikitini kwa kuwa hatujui baada ya kifo nini kinafuata.
  18. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Ilala yaokoa Tsh. Bilioni 1.1 zilizokusanywa bila kuwasilishwa Benki

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ilala, imefanikiwa kuokoa Sh1.13 bilioni ikishirikiana na taasisi nyingine. Katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini hapa, Mkuu wa Takukuru Ilala, Sosthenes Kibwengo amesema fedha hizo ni za umma ambazo zilikusanywa bila...
  19. JamiiForums Tanzania Kusavaivu hadi leo hii wengi wetu bila kupigwa chale tusingetoboa

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!  Maisha haya ya kitanzania yaliyojaa dhiki, umasikini, roho mbaya, husda, vijicho, masengenyo na masimango ingekuwa ngumu sana kutoboa kimaisha kama wengi wetu tusingepita kwa kina karumanzira ili kuwekwa sawa. Kila mtu anafahamu kilichompeleka kwa...
  20. JamiiForums Tanzania KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Huu Muungano ni chenga kabisa una kero nyingi mno, naona kwa Zanzibar wao ni raha kwenda mbele. Sisi wote ni Watanzania lakini ajabu Mtanganyika akienda Zanzibar endapo atahitaji kuendesha gari basi atatakiwa kuomba kibali maalum kinachotolewa na mamlaka za huko, vinginevyo utakuwa unavunja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…