bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi. Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye...
  2. Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

    Ofcourse naelewa kwamba hakuna kupangiana matumizi, ila nisiposema hili nitakua sijatimiza wajibu wangu kama "kaka"(kwa baadhi ya wadogo zangu). Wadogo zangu, ukiwa bado hustler, kupiga dili ya laki 2 na ukaji-shukuru kwa kutumia laki moja na nusu ni upuuzi grade A. Usituone sisi tunalewa...
  3. Kwa sasa Nchi imechangamka, watu wanafunguka bila uoga. Hongera Rais Samia

    Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao. Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
  4. Mambo ya watanganyika ndiyo ya watanzania? Ya wazanzibar yana msimamizi maalum. Kuna mtu anakula bila kunawa hapa

    Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote! Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia! Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
  5. D

    Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm. Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge? 1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala...
  6. I

    SoC03 Jamii bila rushwa inawezekana

    Rushwa ni kitendo cha kupokea pesa, ushawishi usiokuwa halali kisheria, rushwa yaweza kuwa kubwa au rushwa ndogondogo ambayo mtu anaombwa kwa lengo la kupatiwa huduma fulani mfano hospitali, wakati wa kupatiwa ajira, wakati wa uchaguzi. Hiki kitendo kinawahusisha mtoa huduma na anayepatiwa...
  7. Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

    Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
  8. Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

    Wanabodi wa jamii forums, Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana. 1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na...
  9. Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

    MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023 SEHEMU YA KWANZA...
  10. Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  11. Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
  12. Mnaishije bila kwenda kwa mganga wa kienyeji? Una mnatake risk tu mnaumwa na kufa imetoka hiyo?

    Delete this post Nimepost kimakosa
  13. Kukopesha bila kuwa na leseni adhabu faini milioni 20, jela miaka miwili

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imepiga marufuku kwa taasisi, kampuni na watu binafsi kufanya biashara ya kukopesha fedha bila kuwa na leseni ya BoT au taasisi zilizokasimishwa majukumu hayo. Wasiotii sheria inayowataka kuwa na leseni watakabiliwa na kifungo jela kisichozidi miaka miwili au kulipa...
  14. Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  15. Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

    Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
  16. Mahakama yaamuru aliyetolewa kwenye kundi la WhatsApp bila ridhaa yake arejeshwe

    Mahakama ya Jijini Kampala imetoa agizo kwa msimamizi wa kikundi cha WhatsApp (Admin), Allan Asinguza, kumrudisha tena mwanachama, Bwana Herbert Baitwababo, ambaye inasemekana aliondolewa bila ridhaa yake. Hakimu wa Mahakama ya Makindye, Bwana Igga Adiru, amemuagiza bwana Allan Asinguza, ambaye...
  17. R

    Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Kwema Wakuu, Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema hitaji lako na wenye uhitaji kupata anachohitaji. Mpangaji Aina ya nyumba: Appartment / stand alone...
  18. M

    SoC03 Itawezekana kufika nchi ya ahadi bila uhuru?

    Wengi sana wamekua wakitazama nadharia ya uhuru katika sura ya kawaida tofauti kidogo na mimi,Mimi nautazama Uhuru kwa njia ya kifalsafa zaidi. Ili taifa liitwe taifa huru Kuna mambo makuu manne yanatakiwa kuzingatiwa ninaweza kusema pia ndio msingi wa maendeleo na jamii imara 1- Taifa...
  19. Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

    Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo, Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
  20. Kwanini watanzania wanapuuza ndugu zao kwenye shida zinazowaua, lakini huwa na umoja misibani?

    Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia . Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…