M Maffada Member Joined Dec 6, 2019 Posts 67 Reaction score 75 Aug 29, 2025 #1 Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
Izy_Name JF-Expert Member Joined Apr 9, 2020 Posts 1,061 Reaction score 2,556 Sep 8, 2025 #2 Hii ni moto sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,921 Reaction score 195,671 Sep 8, 2025 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw