SmartBusiness: Tumefika 50,000+ Installs, 12,000+ Daily Users 🚀

SmartBusiness: Tumefika 50,000+ Installs, 12,000+ Daily Users 🚀

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
595
Reaction score
787
1756560489993.png


Tunashukuru kwa sapoti kubwa kutoka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali. Leo tumefika hatua kubwa:

✅ 50,000+ Installs kwenye Play Store
✅ 12,000+ watumiaji hai kila siku

SmartBusiness imekua chaguo la wafanyabiashara kwa ajili ya kusimamia mauzo, malipo na hesabu zao kwa urahisi zaidi.
Safari haijakua rahisi, lakini ninyi – wateja wetu – mmeendelea kutuamini na kutusaidia kuboresha bidhaa kila siku.🙏
👉 Lengo letu ni kufikia biashara ndogo na za kati 1M+ ifikapo mwaka 2030.

Asanteni kwa kuwa sehemu ya safari hii ya mabadiliko ya kidigitali kwa biashara ndogo na za kati. 💙
 
Safi nauhakika sio organic ni ads izo 50k huwezi kosa chochote kitu
 
Safi nauhakika sio organic ni ads izo 50k huwezi kosa chochote kitu
Mostly tumekuwa tunafanya promotion kwa Google Ads, pia tuko na field team ambayo inatembelea wafanya bishara kwenye maduka yao.
 
Fafanua hiyo app inatumikaje na inasadiaje biashara za kawaida
 
Fafanua hiyo app inatumikaje na inasadiaje biashara za kawaida


SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale unayodaiwa na suppliers, kusimamia malipo ya wateja wanaolipa kidogo kidogo n.k pamoja na kupata ripoti ya mwenendo wa biashara yako.


kwa Android download hapa SmartBusiness -Bookkeeping App - Apps on Google Play

Kwa iPhone download hapa ‎SmartBusiness Bookkeeping App
 
Ni bure au unalipia. Hujasema hilo na kama unalipia sema na bei na kwa muda gani (siku, wiki, mwezi)
 
Back
Top Bottom