biashara

  1. JamiiForums Tanzania Mafanikio: Jinsi ya Kubadili tabia na Mtindo wa Maisha ili kufanikiwa katika biashara

    Tabia ni nini:Tabia ni mambo au matendo ya kimazoea ambayo unaweza kuyafanya au kutokuyafanya bila kutafakari,kuhofia au kujali matokeo yake.Ni utaratibu uliozoeleka na kukubalika kwa mtu mwenyewe kutokana na mazoea aliyojijengea.Tabia inaweza kuwa nzuri au mbaya katika muktadha fulani na...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye uweleewa wa biashara ya alluminium Windows na frame

    Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye uchu wa maendeleo,ninapatikana Dar es salaam nataka nifungue office ya kutengeneza alluminium,Mm si fundi bali nataka kuajiri mafundi na niwalipe kulingana na kazi.Napenda kujua vifaa vinavyohitajika,mtaji wa kuanzia,upatikanaji wake,soko la...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

    Kurejea kwa usafiri wa treni ya abiria kati ya Dar es Salaam na Moshi baada ya kupita miaka 25, kumetingisha usafiri wa mabasi kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na idadi ya abiria kudaiwa kupungua. Kwa kawaida kila mwishoni mwa mwaka huwa kuna mahitaji makubwa ya usafiri wa abiria wa kuelekea...
  4. JamiiForums Tanzania Uchunguzi : Mamlaka zavuruga biashara ya dawa za binadamu nchini Tanzania , Wenye vibali halali wakandamizwa wasionavyo wapeta

    Nchini Tanzania iko sheria inayosimamia uendeshaji wa biashara ya dawa za binadamu , inaitwa Pharmacy Act , humu imewekwa miongozo na utaratibu wa namna ya kufanya biashara hii. Nikiri kwamba mimi si mtaalam kabisa kwenye sekta hii lakini nilipata msukumo wa kuchunguza sekta hii baada ya...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha wamiliki wa daladala, mpeni tuzo Nabii Mwamposya kwa kuwasaidia kuingizia mapato makubwa kwenye biashara zenu

    Hakuna njia yoyote ya mabasi ya daladala yenye uhakika wa kuingiza pesa nyingi kama njia ya mabasi yanayoenda kawe liliko kanisa la Mtume na Nabii Bulldoza Mwamposya. Daladala wanapiga ROUTE na kupakia hadi basi hadi zinashindwa kuhimili uwingi wa watu wanaofurika kwa Mwamposya. Wamiliki wa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

    Nimekuwa nikiujiuliza mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons/Matajiri au ukipenda wenye Hela zao wanakufa sana? Napatwa na wasiwasi wa kutikisika kwa sekta binafsi. Rejea 1. Sir Andy Chande 2. Reginald Mengi. 3. Rugemalila/Ruge Mutahaba 4. Ally Mufuruki 5. Ndesamburo/Ndesapesa 6. Ongeza wengine...
  7. JamiiForums Tanzania Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Buriani Mzee Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi Mwenye Mapito Mengi Kwenye Biashara “Zitto mnahitaji mgombea Urais anayeijua sekta binafsi vizuri asaidie kuijenga Tanzania, ongea na Ali Mufuruki agombee Urais” yalikuwa maneno kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu, mwaka Jana katikati ya sakata la zao la...
  8. JamiiForums Tanzania Hata mate ushindi wa kishindo kwenye primaries kijani itabaki kuwa bidhaa ya biashara na mboga zetu.

    Wamama wanaojielewa hawa.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

    Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti kati ya biashara na ajira

    Salam wajomba na mashangazi, Kumekuwa na tabia ya watu kutaka kuumwambfy ujasiriamali/biashara na kuufanya uonekane ni bora zaidi mara elfu moja ya ajira lakini ukichunguza kwa makini advantage iliopo katika ujasiriamali ni ndg sana.kivp? angalia hapa. Ulinganishi wa juu...
  11. JamiiForums Tanzania Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

    Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi. TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza. Hawa wawili ndio mashetani...
  13. JamiiForums Tanzania Mtwara: Madiwani wa Mji Masasi wadai malipo ya Korosho yamechochea biashara ya ngono

    Malipo ya Korosho kwa wakulima wilayani Masasi Mkoani Mtwara yametajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la uwepo wa kina dada wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo ili kujipatia fedha hizo za korosho. Hayo yalisemwa jana wilayani Masasi na Madiwani wa halmashauri ya mji Masasi walipokuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Jumia wafunga biashara yake nchini Tanzania

    Kampuni ya kuuza bidhaa mtandaoni JUMIA yenye branch zake mbalimbali Afrika leo tarehe 27/11/2019 imefunga ofisi zake ramsi, hata hivyo imebakisha kitengo kimoja kinachohusisha mauzo ya chakula pekee. Ukitoa ofisi za Tanzania pia wamefunga ofisi zao za nchini Cameroon, kwa madai kuwa ofisi hizi...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu wakulima kutumia mvua za msimu zilizoanza kunyesha na za vuli kupanda mazao yanayokomaa kwa muda mfupi

    Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga (Mb) anapenda kuwafahamisha wananchi wote hasa wakulima kutumia mvua za vuli zilizoanza kunyesha katika mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Mara, Simiyu, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro ambayo hupata mvua mara mbili (bimodal) kwa mwaka...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara ya Samaki vs Maziwa

    Habari wanajamvi nimerudi tena hustler mkomavu. Mwanzoni mwa mwaka niliweka nadhiri ya kutembeza biashara kutokana na mtaji kuwa finyu nilianza na mtaji wa 42,000 kwa kuwa baadhi ya vifaa nilikuwa navyo, nilianza kuingia mitaani kuuza samaki kwa miezi miwili mfululizo nikaweza kuanzisha...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

    Rais Magufuli atoa siku 60 kwa Taasisi na Kampuni zenye hisa za Serikali zipatazo 187 ambazo hazikutoa gawio lake Serikalini leo, kufanya hivyo kwa Waziri mwenye dhamana vinginevyo Menejimenti na Bodi zake zivunjwe zenyewe kwa kundika barua Amesema, “Hapa ni Mashirika 79 tu ndio yametoa gawio...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali haifanyi biashara hivyo inachopokea ni Ziada ( surplus) siyo Gawio ( dividend), wahasibu karibuni!

    Mimi siyo muhasibu lakini nafahamu kwamba gawio ni sehemu ya mapato yatokanayo katika faida ya biashara. Hivyo ili upate gawio ni lazima pawepo na faida iliyopatikana katika mwaka husika. Ziada kwa upande mwingine ni ile bakaa inayobakia baada ya kutoa matumizi kwenye mapato ya taasisi zisizo...
  19. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1.5 nataka kufungua biashara hii, wazoefu nahitaji mawazo yenu

    Salute wakuu, Baada ya kutulia na kufikiri sana, nikapata wazo la kufungua biashara ya vitu vya electronics sijui kama nipo sahihi. Vitu hivyo ni kama: Flash drive Memory card USB wire Charger Card reader Power bank Min speaker Bluetooth earphone Hair cutting machine External and Internal...
  20. JamiiForums Tanzania Ajali Mlimani City: Yadaiwa watu watatu wamefariki

    Habari Wakuu, Nimepata taarifa ya ajali maeneo ya Mlimani City ambayo imetokana na lori kuacha njia na kuwazoa wafanyabiashara wanaouza bidhaa mbalimbali nje ya Mall ya Mlimani City. Taarifa zinaeleza kuwa watu 3 wamefariki pale pale. Naendelea kufuatilia na nitawajuza hapa. ======...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…