Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi.
Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara.
Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
Vibanda zaidi ya 30 vya wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wapatao 200 vimeteketekea kwa moto ulioanza majira ya saa 10 usiku katika eneo la Makoroboi jirani na msikiti wa Wahindi jijini Mwanza.
Vyanzo vya habari vinaeleza kwamba moto huo umesababishwa na hitilafu ya umeme na...
Biashara nyingi sana hufa,sio kwa kukosa mtaji bali ni kwa kukosa wateja
Ukifuatilia kwa karibu hutasikia kwamba kuna biashara eti ili kufa kwa sababu ilikosa mtaji,nyingi hufa kwa kukosa wateja.hata zile ambazo huwa na ufinyu wa mtaji bado ukifuatilia kwa ndani utakosa root cause ni kukosa...
Ndugu zangu! nafikiria kuanza biashara ya kuuza ngozi ya mamba nchi za nje! Mimi ni mwenyeji wa kutoka wilaya ya Ludewa ziwa nyasa. Mwezi wa kumi na mbilli nilikwenda likizo ziwani na kushuhudia vifo vya watu zaidi ya watatu wakiliwa na mamba hapo kwetu.
Nilifanya utafiti mdogo na kuona kuwa...
Hii imetokea nchini Malawi ambapo inadaiwa Mnyarwanda mmoja aishie nchini humo na ambae ni tajiri aliejenge jumba kubwa mjini humo, alikuwa akiua watu hususani wanaume na kuwanyofoa sehemu zao za siri na kuzipeleke South Africa.
Sasa amesanukiwa akakamatwa alipobanwa amesema kilakitu na...
Habari za wakti huu.
Hii ni very urgent.Kama wewe ni Dalali uliyepo Morogoro Mjini au zaidi Maeneo ya Kihonda basi tuwasiliane PM nikupe Biashara unifanyie Chap.
Ni biashara ya kuuza eneo la ardhi liliko Kihonda.Maelezo na maelekezo mengine tutapatiana PM.
Karibuni.
Leo napenda nizungumzie kuhusu changamoto za biashara hasa wakati wa mwanzo kabisa."Niweke angalizo kwamba changamoto za biashara ni zile zile haijalishi ukubwa au udogo wa biashara".
1. Changamoto ya kwanza ni wateja - Kupata wateja sio jambo rahisi katika biashara.mara nyingi tunafikiri ni...
Katika Makala haya tuifananishe nchi yetu na majirani zetu kwenye upatikanaji wa ajira na ukuzaji wa uchumi. Viko vitu vingi vya kuzunguza lakini kwa taarifa iliyopo naweza zungumzia upatikanaji wa nishati, hatua za kuanzisha biashara na upatikanaji wa mikopo.
Pia niweke nen kwenye masharti ya...
Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia.
Naomba uzoefu hatua kwa hatua kuanzia kwenye kuingia mikataba na Hawa wasanii Hadi kurekodi, kufanya promotion na split ya mapato...
Kama kichwa kinavyojieleza, je nifanye biashara na ndugu wa kuzaliwa nae au kila mmoja afanye yake tusije gombana?
Kuna kipindi nilifanya na brother mmoja ila nilikuwa naona kama yeye ndo inabidi apambane kwa kuwa ni mkubwa mimi na relax mpaka sasa maisha yamenipiga mbaya.
Kwanza napenda kusema na kukiri wazi mimi ni mmoja wa wale waliokua wakiamini katika msemo ambao watu wengi sana hupenda kuutumia kwamba kizuri chajiuza,kibaya chajitembeza huu msemo ni kweli unafanya kazi 100% hasa unapojiamini vitu unavyouza ni GENUINE 100%.
Kwenye huo msemo nataka leo wote...
Camden Myers (9) mmarekani mweusi amaunda kitu cha kahawa ambacho kinaajiri walemavu peke yao. Kijana huyu mwenye moyo wa kipekee amekuwa akitumaini kuacha historia ya wema duniani
Wafanyakazi wa kiwanda chake cha kahawa ni wanafunzi wa shule ya walemavu ya Winston-salem
Dhima yake inaongozwa...
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la Mabinti kuomba pass katika ofisi za uhamiaji Dar es salaam.
Ukweli ni ule mtandao wa kuwauza mabinti ughaibuni kwa kisingizio cha kwenda kufanya kazi za ndani Uarabuni, Ulaya na India bila kufuata taratibu umerejea tena baada ya serikali kupiga...
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara.
Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo?
Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani inanifaa.
===========
SIMILAR CASES:
===========
May 18, 2012:
May 10, 2014:
May 16, 2014...
A friend of mine aliguswa na makala yangu ya biashara ya nafaka kwa wenye mtaji mdogo. Alipoguswa akaamua kuingia kwa akiba yake ya TZS 10M aliyokuwa nayo benki.
Akanunua gunia 300 kwa wastani wa TZS 30,000 kwa gunia. Alitumia TZS 1M kwenye madawa na usafiri. Alikuwa na room aliyoiita ya wageni...
Ningetaka kuunda kampuni ndogo ya kujenga nyumba nzuri lakini ya bei sawa kwa ajili ya watu. Lakini ninahitaji skills na watu ambao wana mawazo yale pia.
Nimewaza biashara ya kufanya nikapata wazo la kununua pool table mbili ambazo nitaziweka sehemu mbili tofauti. Mwenye kujua bei ya pull table nzuri na imara anijuze na pia mwenye kuijua biashara hii vizuri msaada tafadhali.
Habari za muda viongozi.
Ningependa kupewa dodoso juu ya biashara hii ya vinyozi.
Nahitaji kujua kiwango cha chini cha gharama ya kuanzisha huu mradi, kwa sababu nataka nimfungulie kijana ambae ndio kinyozi mwenyewe, apate japo shughuli ya kufanya. Mimi nikiwa kama mmiliki wa mradi huo.
Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi.
Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini.
Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza bidhaa online na baadae nikitoka mida ya saa kumi nafanya delivery.
Je, wewe unafanya ishu gani na huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.