Naomba kujua bei ya kahawa na mikoa inakopatikana

Hanjie

Member
Mar 31, 2020
40
17
Habari wana Jamii forum,

Naomba kuuliza kwa anaefahamu, naomba kujua bei ya kahawa na ni mikoa gani inapatikana kwa wingi hapa Tanzania.

Ahsanteni.
 
Kuna Mbeya , Bukoba na Kilimanjaro.

Bei siijui.

Unataka uwe na brand yako? au ununue na kuuza green beans?.

Au uziroast ziwe roasted Coffee ( hapa utahitaji mashine).
Kununua ua ya kukofisha kwa ajili ya roasting.

Unauzia wap?.
Weng wanaotumia ni wazungu hasa wanaoenda mahotel makubwa.

Ambao pia wana masoko ya kawaha kutoka nje. Umejiandaaje kupenja kimasoko.

Ni biashara yenye changamoto, kama biashara nyingne. Ila hii inahitaj hela zaid kwasababu ya utunzaji wake
 
Najaribu kufatilia upatikanaji wake ili kama zinapatikana na bei ipo nzuri nakusudia kusafirisha kupeleka nje
 
Najaribu kufatilia upatikanaji wake ili kama zinapatikana na bei ipo nzuri nakusudia kusafirisha kupeleka nje

Nje ziko nyingi na bora.

Hebu angalia kama kampun za Lavazza, nescafe nk.

Znz soko ni kubwa. Hebu anza kulichunguza kwa znz kwanza
 
Nilishafanyia utafiti hilo na kuna kampuni imetaka nifatilie kahawa ya Africa zaid Tanzania na Kenya coz wameniambia kahawa hizi zina ubora wake
 
Kwaio mm ninachotafuta sio soko wapi nitauza au nani nitamuuzia ,nahitaji kujua wapi nitazipata na kwa bei gani
 
Back
Top Bottom