biashara

  1. Thinn

    JamiiForums Tanzania Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  2. IzukeneJr

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa biashara ya kupeleka Mchele Kenya na Uganda upoje?

    Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani. Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu Domain ni nini na inavyotumika kwenye biashara yako

    Domain ni nini? Domain ni jina la kipekee linalotambulisha tovuti yako kwenye mtandao. Kwa mfano, katika anwani ya tovuti www.google.com, sehemu ya google.com ndiyo domain. Badala ya kukumbuka namba ngumu (IP address), domain hukupa jina rahisi linaloendana na biashara yako. Kwa nini domain ni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa manyoni

    Kiwanja kinauzwa manyoni majengo satelite city sqm 1039. Makazi na biashara. Bei 3,000,000. Maongezi yapo
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Biashara kama ya kuuza shuka unasubiri mpaka mtu awe anaanza maisha

    Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara ya Uchumi, Sio Betting

    Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au hata kuelewa mabadiliko ya pesa zao kwa sababu ya mfumuko wa bei, wengi hushindwa kujibu zaidi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya biashara imekuwa mbaya kiasi gani mpaka kuna makampuni yanapumulia mashine kwa kuajiri interns wa kujitolea ?

    Kuna kampuni waajiriwa wake karibia wote ni interns wale wa kujitolea bure au posho ya laki wakiwa na matumaini ya kuajiriwa siku moja. Lakini ahadi hizo huwa ni maneno tu, wakizichoka na kuondoka ni kitendo cha kufumba na kufumbua wengine wanakuja kujaza nafasi zao kana kwamba hakuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?

    Kuna vyuo vingi sana nimeviona vinatoa kozi ya masoko (Marketing) Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?
  9. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Wakati unanua hisa za kampuni husika usiangalie bei tu ya hisa, zingatia ubora wa biashara ya kampuni husika: Nunua biashara bora

    Mara nyingi wawekezaji huangalia bei ya hisa pekee — ndiyo maana bei inapopanda au kushuka hupata presha au wasiwasi. Lakini ukweli ni huu: Unaponunua hisa, hununui tu karatasi au namba — unakuwa unamiliki sehemu ya biashara ya kampuni husika. Hivyo basi, ni busara zaidi kuangalia utendaji wa...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini mauzo ya biashara yamepungua mwezi Agosti? Kipi kifanyike?

    Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini. Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (Sehemu ya Tano)

    JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI. ⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya  Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua na kuleta manufaa na faida. Suala hili limekuwa changamoto zaidi kwa wale wenye...
  12. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Unataka kufungua biashara? Pita hapa

    Tuna huduma za vifurushi (packages) kwa watu binafsi, biashara ndogo, biashara kubwa, kampuni, na hata mashirika/taasisi. Tembelea ukurasa wa "Packages" kwenye website yetu (www . hamiadigital . com) Kwa wale wanaohitaji huduma moja moja, hizi ndio gharama zetu; T-Shirt za ofisi + Printing =...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ilinifunza kwamba ukiweka mbongo dukani itakulazimu uwe makini sana na daftari lasivyo utapukuchuka

    Hili ni moja ya mafundisho muhimu sana niliyowahi kujifunza kwenye biashara na bahati mbaya au nzuri, nililijifunza kwa kulipa ada kwa njia ya hasara. Siku hizi niko makini kupita maelezo. Nafuatilia kila kinachoendelea dukani kwa karibu. Hata kama mteja amenunua bidhaa ya laki mbili halafu...
  14. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas?

    Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas...ikawa kama huruma au services ambayo ipo kama mfumo wa utalii Yani something amazing Huenda kimewai kufanyika somewhere au kipya Nisaidieni kupata business idea ya hili wakui
  15. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)?

    🎮 Ulishawahi kufikiria kuanza biashara ya kuchezesha game (PlayStation)? Kile kinachoonekana kama “burudani ya kawaida” kimekuwa fursa kubwa ya biashara inayoweza kukuletea faida kila siku. Siri kubwa ipo kwenye mbinu ambazo wamiliki wa biashara hizi hutumia kuhakikisha michezo inalipa gharama...
  16. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Mikoa 7 huwezi kufanya biashara kama huna mganga wa kweli

    1.Njombe 2.Mbeya 3.Mwanza 4.Katavi 5.Rukwa 6.Dar 7.Simiyu
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Carbon wahuni wamepiga zaidi ya 2.1T

    Wahuni wamepiga zaidi ya Trillion 1.2 kwenye biasahara ya Carbon hiyo ni kwa mwaka mmoja na nusu pekee. Wamasai hawakuwa wanahamishwa bure bure.
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kumteua mtu anayetegemea kuuza bidhaa za China kuendeleza biashara ya Tanzania ni kukosa maono

  19. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kubadili Jina la Biashara

    Kuna wakati unafika unataka kubadili Jina la Biashara, kwa sababu zozote zile. Hizi ni hatua za kufuata kama unataka kubadili Jina la Biashara 1. Log in kwenye account yako ya Brela ORS Ile uliyosajilia jina la biashara unalotaka kubadili. 2. Chagua new services 3. Chagua change of...
  20. Heritage123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kukuza Biashara Kupitia Strategy ya Coca-Cola

    Kuna kampuni chache duniani ambazo zimeacha alama ya kudumu kwenye historia ya biashara kama Coca-Cola. Ilichotengeneza siyo tu kinywaji, bali ni urithi wa kibiashara unaoendelea kufundisha wajasiriamali karne moja baadaye. Lakini siri yao haipo kwenye ladha pekee. Siri ipo kwenye strategy. 1...
Back
Top Bottom