biashara

  1. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania OFA: Nitakutengenezea Website ya biashara au Kampuni kwa 200,000 tu!

    Ndio sijakosea kwa Tsh.200,000 Tu utajipatia website ya kisasa ya biashara au kampuni yako. Ikijumuisha usajili wa jina la website Hosting ya mwaka mzima Utapata emails rasmi za website yako. Ndani ya siku 3 tu tayari utakuwa umeshapokea kazi yako. Mfano ya kazi ambazo nimeshatengeneza na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kasaka: Kila mamlaka ina nguvu ya kufunga biashara, huu ni mfumo holela

    Mbunge wa Jimbo la Lupa, Masache Kasaka akichangia hoja bungeni leo Aprili 15, 2026 amesema tozo na kodi ambazo wawekezaji wa madini wanapitia ni nyingi na zinaweza kuchangia kushindwa kufanya biashara, na baadhi ya mamlaka zinakuwa na nguvu ya kufunga biashara inapotokea mwekezaji hajalipa moja...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania UNDP, Finland watambulisha biashara Ndogo, Ndogo, na za Kati 14 zinazojihusisha na biashara endelevu

    Wazindua awamu ya pili ya maombi ya ufadhili Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, kupitia programu yake kinara ya ubunifu ya FUNGUO inayofadhiliwa kwa ushirikiano na Umoja wa Ulaya, Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO), na Serikali ya Finland...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ndizi

    Asalaam, Nilikua nataka kuijua kilimo cha ndizi, Ukiwa na hekamoja pale kiwangwa na Mtaji wa laki tano 1. Unaweza kuotesha mingapi 2. Mda wa rotation 3. Soko likoje
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Unpopular opinion: Unaikumbuka biashara ya utumwa? inafanana sana na ndoa

    Takribani miaka 500 iliyopita kulikua na biashara ya utumwa ambayo kwa kipindi kile ilikua imehalalishwa kabisa kabla ya kuja kupigwa marufuku miaka ya mbele yake. Kulikua na watu watatu ambao wanahusika katika hii biashara ambao ni slave, slave driver na slave master. Ndoa inafanana sana na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Shemdoe aelekeza wafanyabiashara Soko la Simu 2000 kuendelea na biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza hatua za haraka zichukuliwe kuwarejesha wafanyabiashara wa Soko la Mawasiliano (Simu 2000) ili kuendelea na shughuli za biashara katika soko hilo ambalo lilipata ajali ya moto iliyoteketeza soko hilo Aprili 04...
  7. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

    Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri. 🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili. 🔹Maduka yanapatikana kuanzia: •...
  8. Mtumishi 19

    JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu gani wa kufungua biashara ndogo-ndogo chini ya 5M?

    Ndugu zangu habarini za wakati huu. Naomba mwenye kujua taratibu za kufungua biashara yoyote ndogo-ndogo anifahamishe hataua kwa hafua kwa mjibu wa sheria.
  9. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  10. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Huduma za kutengeneza website kwa uharaka – siku 3 tu!

    Habari wakuu, Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako. ✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu ✅ Inafaa kwa biashara ndogo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara

    Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio nzuri maana hawawezi kwenda kuongea na wawekezaji au kampuni ubia za marekani na hii inasababisha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliosoma Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) – Mwanza tunashindwa kujisajili Ajira Portal

    Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November lakini nilivyojaribu kufuatilia Vyeti vyangu vya Certificate na Diploma nimepata kimoja cha Diploma...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania 🚀 Geuza Biashara Yako Kuwa Brand Kubwa Leo!

    Karibu sana wewe unayetaka kuipeleka biashara yako kwenye kiwango cha juu zaidi! 🚀 Kama una ndoto ya kuwa na website ya kisasa, yenye mvuto na inayouza kwa niaba yako masaa 24, basi huu ndio wakati wako. Tunakusaidia kuunda website za biashara na za utalii zenye ubora wa hali ya juu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania 'Reforms UK' kupiga marufuku ya Visa kwa nchi zinazodai fidia biashara ya utumwa

    Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
  15. Odax Thomas

    JamiiForums Tanzania Nijiendeleze kwenye udereva au nifanyie biashara?

    Habari Wana Jukwaa Samahani Naomba Mawazo Yenu Mimi Ni Kijana Wa Miaka 30 Sasa Kiwango Changu Cha Elimu Ni Darasa La Tano Na Nina Cheti Cha Udereva Wa Awali Nimejitahidi Kutafuta Kazi Ya Taaluma Yangu Ya Udereva Kwa Ngazi Ya Daraja Langu Kwenye Taasisi Na Miradi Ila Nakosa Nafasi Kwakukosa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: Tanzania tuna vitaasisi vingi, vinasumbua biashara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema wingi wa taasisi za udhibiti nchini unachangia usumbufu mkubwa katika biashara na kuathiri ukuaji wa sekta hiyo. Prof. Mkumbo alisema hayo Machi 27, 2026, wakati wa mkutano wa uhakiki wa rasimu ya mpango wa...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

    Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD. Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010. Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya mafuta kipindi hiki cha mzozo wa Iran vs Israeli-Marekani

    Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
  19. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa leo: Mapenzi au biashara?

    🔥 Kuna kauli imeibua mjadala mzito: Mtu hakupatiwa mapenzi kwa wiki mbili hadi aliponunua iPhone! 😳 Swali ni hili👇 Je, mapenzi ndani ya ndoa yanapaswa kuwa na masharti? 👉 Je, ni sawa kusema: “Nifanyie hiki ndipo upate mapenzi”? 👉 Au hii ni dalili ya mapenzi kubadilika kuwa biashara? 👉 Je...
  20. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa sasa Bongo ukiwa huna kazi na biashara imefeli utashambuliwa kwa uvivu na maneno makali na nchi nzima

    Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia. Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
Back
Top Bottom