biashara

  1. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Biashara ya utapeli inalipa?

    Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya. Cc Boss la DP World
  2. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutumia mbinu hii kukwepa kodi na tozo kwa biashara yangu mpya.

    HAbari zenu wakuu. Binafsi nataka nimfungulie mama watoto biashara, basi nikatarget sehemu fulani kwa ajili ya biashara hiyo. katika kufanya maulizo ya hapa na pale nikaambiwa natakiwa niwe na kama milioni nane(8) ili niweze kumvua mtu fremu, bado tra, pia kodi ya hiyo fremu ni 300k kwa mwezi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  4. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SmartBusiness: Tumefika 50,000+ Installs, 12,000+ Daily Users 🚀

    Tunashukuru kwa sapoti kubwa kutoka kwa wafanyabiashara na wajasiriamali mbalimbali. Leo tumefika hatua kubwa: ✅ 50,000+ Installs kwenye Play Store ✅ 12,000+ watumiaji hai kila siku SmartBusiness imekua chaguo la wafanyabiashara kwa ajili ya kusimamia mauzo, malipo na hesabu zao kwa urahisi...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Shule ya Msingi na Secondari

    Bright and Genius Editors wanatayarisha mpango wa biashara (Business Plan) wa kitaalamu kwa ajili ya kuanzisha na kuendesha Shule za Msingi na Sekondari. Kupitia mpango huu, utapata nyenzo kamili ya: 1. Kuwasilisha kwa taasisi za kifedha ili kupata mkopo au ufadhili. 2. Kuvutia wawekezaji na...
  6. Sales man

    JamiiForums Tanzania wanasiasa wengi ni mabilionea wana ukwasi ambao hata Bakhressa na Mo wafanye biashara miaka miamoja hawawezi kuwafikia

    Wanasiasa wengi kutoka Tanzania wapo na Ukwasi Mkubwa Ambao , hauelezeki . Ila wamechagua njia ya Ku-play low key . Hizo Lamborghini na Bugatti mnazoziona ni punje tu ya ukwasi wao. Hakikisha October Una-tiki√
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

    Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar. startup kubwa huanza na swali dogo. Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa: “Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?” Mwaka 2015, waliamua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gavana wameachia update mpya?

    Siku ya jana nilikuwa na install windows na baada ku-download gavana kwenye stats nimekutana na view kama hii je na nyie mmekutana na kitu kama hiki pia kwenye sehemu ya wadaiwa na wadeni kuna mabadiliko Gavana
  9. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Kama hizi biashara zingekuwa na mdomo,basi zingezungumza kwamba binadamu ni mnafiki sana

    Katika maisha ndio hivyo kuna vitu haviwezi kuzungumza tu,ila laiti vingepata nafasi basi vingezungumza:_ 1:SIGARA Hii ni moja ya biashara kubwa kila pembe ya Dunia,huvutwa na watu tofauti tofauti,wake kwa waume,wazee kwa vijana. Pamoja na kutoa huduma kwa jamii hiyo lakini imekuwa biashara ya...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya mbao (board) kwa wafanyabiashara biashara

    Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu.. 0692477610 Bei hutegemea na ukubwa unaotaka boss inaanzia laki 8.. Milion 1 na laki 8 na Milion 2 na nusu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

    Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu! Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe; 1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ‘Kugeuza msaada kuwa biashara’ inaficha mikakati mitatu ya Marekani

    Gazeti la The Washington Post limechapisha makala ikisema, sera ya ushuru ya Marekani inasababisha ‘hali ya maafa’ barani Afrika. Kutoka sekta ya nguo nchini Lesotho, tasnia ya sanaa nchini Tunisia, hadi viwanda vya utengenezaji magari Afrika Kusini, hakuna nchi au sekta yoyote inayonusurika...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kufa kwa biashara ya tuition nchini Tanzania kuna ashiria nini?

    Ni kwamba elimu ya Tanzania ( shule za sekondari) imeshuka thamani au wazazi sasa hawana tena Imani na elimu ya sekondari? Walio fungua mabanda ya tuition naona wanazidi kufunga tu. Ni me tembelea kibaha kuna taasisi ya inafundisha tuition bure kabisa ( sekondari) lakini si wanafunzi wala...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea mje kuajiriwa tu, stress za biashara kichwa chaweza lipuka

    Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga mshindo ila kuna muda soko likikugeukia utaimba, Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Frame ya biashara Mwanza

    Habari za wakati huu natafuta frame ya biashara mwanza mjini ambayo kodi yake haitazidi 200,000 kwa mwezi. Je naweza kupata maeneo gani?
  18. tinWyn

    JamiiForums Tanzania 10m capital/mtaji -Mpango wa mradi wa ufugaji wa nguruwe na biashara ya butcher

    Jumla ya Bajeti: Tsh 10,000,000 1. Malengo ya Mradi 1. Kufuga nguruwe wa kisasa kwa ajili ya kuzalisha na kuuza nyama. 2. Kuongeza mtaji wa butcher ili kuongeza mzunguko wa mauzo. 3. Kujenga uthabiti wa kifedha wa familia kupitia kipato cha kilasiku (Butcher) na cha muda mrefu (Ufugaji). 2...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tumia aina hizi za Testimonial/Shuhuda kuuza zaidi, unapotengeneza maudhui kuhusu biashara yako

    Ushuhuda wa Takwimu Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii kila siku Ushuhuda wa Matokeo ya Bidhaa yako Hapa tengeneza content za kuonyesha matokeo halisi...
  20. Cleverman324

    JamiiForums Tanzania Biashara ya spare za pikipiki vs biashara ya vipodozi

    Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa hizo biashara pamoja na changa moto zake...naombeni msaada hapo
Back
Top Bottom