Biashara ya kusaga mahindi na kuuza unga

Biashara ya kusaga mahindi na kuuza unga

Habari wadau. Baada ya salamu, nahitaji kuwa na mashine ya kusaga sembe mkoani ruvuma Kisha niwenasafirisha na kuuza maeneo ya tunduru, masasi Hadi mtwara. Naomba mwenye uzoefu anipatie. Ruvuma nimeishi ila tunduru kuelekea mtwara si mwenyeji
Tafuta humu utapata imejadiliwa kwa kirefuuu sanaaa
 
Nikipata ABC hapa itakua poa sana. Maana nimekabidhiwa mitambo inachakaa tu
 
Back
Top Bottom