Ni Emirates tu iliyokuwa profitable toka 2018 kwenye biashara za ndege

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,029
2,000
1618220153798.png

Nikiwa nafuatilia mwenendo wa biashara ya ndege toka jana ni wazi kwamba mashirika mengi yanaendeshwa kwa hasara isipokua emirates peke yake mwaka huu.

- Mwenendo wa emirates nkiangalia report yao ya mapato ni in decline graph.

1618220329202.png

Nikirudi maneno ya CAG kwamba tuanze na ndege moja, nadhan hakuna asiejua ATCL ilishakuaga na ndege moja kabla ya kufilisika kabisa moja kwa moja, lakini nlienda mbali na kuangalia uchapaji kazi wa CAG asaada kabla ya kuteuliwa kushika cheo icho nkagundua kwamba alishawahi kudumbukiza NBC karibia kufilisika kwa benki hio, kwa mafupi hayo CAG asaad alitimuliwa kihalali na hafai kutoa ushauri wowote kwenye ili taifa
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,901
2,000
Mtaokoteza sana vijarida ili kumsafisha ndugu yenu lkn tayari watanzania tushajua kila uchafu kupitia report ya CAG
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,901
2,000
siasa za ccm tunazijua wenyewe si mmesema hamshiriki uchaguzi tena kwahio mmebaki kama kikundi, sasa msisumbue vyama vya siasa sasa
Mwaka jana mwenyekiti wenu akituaminisha kuwa ATCL ilikuwa imeanza kutengeneza faida na ilikuwa ni sh 28 billion.

Ina maana CAG kasahau kuwa kuna faida ya 28 b?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
105,901
2,000

Nikiwa nafuatilia mwenendo wa biashara ya ndege toka jana ni wazi kwamba mashirika mengi yanaendeshwa kwa hasara isipokua emirates peke yake mwaka huu.

- Mwenendo wa emirates nkiangalia report yao ya mapato ni in decline graph.

Nikirudi maneno ya CAG kwamba tuanze na ndege moja, nadhan hakuna asiejua ATCL ilishakuaga na ndege moja kabla ya kufilisika kabisa moja kwa moja, lakini nlienda mbali na kuangalia uchapaji kazi wa CAG asaada kabla ya kuteuliwa kushika cheo icho nkagundua kwamba alishawahi kudumbukiza NBC karibia kufilisika kwa benki hio, kwa mafupi hayo CAG asaad alitimuliwa kihalali na hafai kutoa ushauri wowote kwenye ili taifa
Hata waliosimamia miradi kama ya kukubali kununua mindege bila kufuata ushauri ni muda muafaka sasa wakashitakiwa
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,205
2,000

Nikiwa nafuatilia mwenendo wa biashara ya ndege toka jana ni wazi kwamba mashirika mengi yanaendeshwa kwa hasara isipokua emirates peke yake mwaka huu.

- Mwenendo wa emirates nkiangalia report yao ya mapato ni in decline graph.

Nikirudi maneno ya CAG kwamba tuanze na ndege moja, nadhan hakuna asiejua ATCL ilishakuaga na ndege moja kabla ya kufilisika kabisa moja kwa moja, lakini nlienda mbali na kuangalia uchapaji kazi wa CAG asaada kabla ya kuteuliwa kushika cheo icho nkagundua kwamba alishawahi kudumbukiza NBC karibia kufilisika kwa benki hio, kwa mafupi hayo CAG asaad alitimuliwa kihalali na hafai kutoa ushauri wowote kwenye ili taifa

Kwa hiyo magufuli hapa alitudanganya kwamba shirika limepata faida?
Screenshot_20210328-145853.jpg
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,029
2,000
Ndio dhumuni la mleta mada yaani tujisifu kwa vile hasara yetu ni kidogo kwa MAANA hiyo tutembee vifua mbele.

sjui mtakuaga lini, your point taken from this thread should be airlines bussiness needs a better way to manage, we unadhan hao wote waliopata hasara wakifunga biashara mtasafiri wap?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom