biashara

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

    Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaofanikiwa kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidhaa ni wanaouza bidhaa kwa bei halisi

    Wanaofanikiwa sana kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidha ni wanaouza bei ya bidhaa. Watanzania tunapenad kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele ili ufanikiwe katika biashara uza bei ya kitu.
  3. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inafaa kufanywa na mtoto mdogo?

    Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu. Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo. Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili. Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kujiunga kwenye maonyesho ya biashara nchini china

    hello members, kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china wataendesha maonyesho ya kibiashara kuanzia tarehe 15-17 december nchini zaid ya masupplier 400 kutoka china watashiriki...
  6. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani unaweza kufanya isiyohitaji uangalizi wa mara kwa mara?

    Salaam kwenu wote Kama kichwa kinavojieleza, ni biashara gani mtu alie buzy anaweza fanya? Karibuni kwa mawazo tushee experience zinaweza saidia na wengine pia
  7. JamiiForums Tanzania Contena linauzwa kwa matumizi ya biashara

    CONTENA ZINAUZWA FUTI~>40 LOCATION : MBAGALA BEI: MILLION 7 @ MAONGEZI YAPO FULL DOCUMENTS CALL ME ~>0762815104 #WHATSAPP ~>0762815104
  8. JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa Tsh. 3M

    Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan hii ni bei ya camera moja tu kali tena used. Basi nikawa nimewaza kufanya biashara ya nguo sema...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kupata leseni ya biashara ni mpaka uwe na Tax clearance?

    Wakuu tax clearance ni lazima kuwa nayo unapoomba leseni ya biashara?
  10. JamiiForums Tanzania Kuna vijana kama mimi ambao hatuna mitaji ila tuna akili ya biashara na tuna mawazo ya biashara

    "Use force to reach the end " hii ndio slogan iliyonitoa kuwa tegemezi mpaka kujitegemea, ukichanganya na "sacrifice the betterment of few days for the long time joyfulness". Ukichanganya hizo slogan mbili 10M bila kukopeshwa , kupewa, kubebwa, na maendeleo mengine yakaja,. Ninapoomba huu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mabanda ya Biashara Mwenge yaungua moto

  12. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mtoa huduma ya Internet

    Ndugu zangu wana jamiiforum poleni na shughuri za hapa na pale naomba ushauri. Nahitaji kufungua kampuni ya mtoa huduma ya internet "ISP" kahama, ni hatua zipi za kufuata na gharama ya kianzio ni kiasi gani ahsanteni
  13. JamiiForums Tanzania AirBnB inafanyaje kazi?

    Sijajua kiundani hii AirBnB inafanyaje kazi. Nimesikia ipo kama Uber kwenye nyumba. Kwamba unakuwa na nyumba na watu wanabook kupitia hiyo app/kampuni. Nimeona malipo yake kwa siku ni makubwa sana. Hivi unaweza kuiweka nyumba yako kwenye huo mpango na ukapiga pesa kwa huku Tz? Inafanyaje kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
  15. JamiiForums Tanzania Kujiajiri ni utumwa zaidi ya kuajiriwa, waliojiajiri wengi wanakosea kujiweka kundi moja na wamiliki wa biashara

    Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner) Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kuingia kwa majukwaa ya uuzaji wa mtandaoni ya China barani Afrika ni fursa mpya kwa biashara na uchumi

    Na Ronald Mutie Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China. Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada Biashara ya Vijora

    Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote! Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata mtihani wa maradhi! Pesa yote ikaisha! Mimi naishi Dar, Nimevutiwa sana na biashara ya Vijora ila...
  18. JamiiForums Tanzania Duru za biashara za mtandao: Kuna dalili za watu kulizwa huko kwenye soko la forex, wajuzi wa haya masuala njooni huku

    Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara ya kuagiza laptops nje ya nchi

    Wakuu salaam sana. Nimepata kamtaji kidogo nataka nijiongeze nianzishe biashara ya kuagiza laptops used toka Uk. Tayari nina contacts na suppliers kadhaa ambao wameonesha utayari wa kufanya nao biashara. Tatizo langu kubwa na lilofanya niombe ushauri ni kuhusu kiwango cha kodi wanachotoza kama...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Uchawi una mchango wowote katika kukuza Biashara?

    Wiki iliyopita nilitoka Moshi nikaenda kumtembelea classmate wangu pale Arusha. Jamaa ni engineer wa computer. Jumapili baada ya kula Ibada Safi na kwaya kali pale St. Theresa tuli-mount XR 250 na tukaenda kufunga Camera za usalama kwa nyumba mpya ya Tajiri mmoja wa Kanda ya Ziwa. Huyu mjuba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…