biashara

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania tuige mfano wa Uganda kuwajengea DRC barabara Ili kufungua biashara

    Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi. Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
  2. JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara zipi hazina kodi

    Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa, nataka kuacha niambie Ni biashara nyingine ipi ipo free from tax nifanye
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara salon ya kike kati ya Katoro au Kahama

    Naomba kuelezwa kwa mwenye uzoefu na hiyo miji miwili. Ni mji upi unafaa zaidi kwa biashara ya saloon ya kike classic flani hivi? Je, bei za fremu mjini kati ni sh ngapi? Aina za wakazi wa mji huo je? Natanguliza shukrani
  5. JamiiForums Tanzania Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Pili

    Kwenye hatua ya kwanza kama nilivyosema lazima ujue jamii inachangamoto gani. Changamoto zipo nyingi sana hata mtaani kwako na nyingine ni za kitaifa au kidunia kabisa, kwahiyo kadiri changamoto inavyokua kwa watu wengi basi ndio unajihakikishia soko kubwa. Tunaendela kwa mifano sasa ili upate...
  6. JamiiForums Tanzania Je, unajua kwanini Biashara nyingi zinafeli hali yakuwa msimamizi ni mwenyewe mmiliki?

    Kwanza kabisa, mapambano yaendelee siku ya kufanikiwa ipo tu, tusikate tamaa. Mfano huu utajumuisha Biashara nyingi Sana, kwa hiyo wewe mwenyewe utakuwa unalinganisha na Biashara yako. Naomba nianze na mfano wa Duka liwe ni la vitu ambavyo unaweza ukavitumia nyumbani kwa matumizi ya kila siku...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kutenganisha mtaji na faida kwenye biashara Ili iweze kukua

    Rafiki yangu mpendwa Huwa kuna kichekesho kinachosema kila biashara huwa inalipa ukiwa unasimuliwa. Lakini unapoingia ndiyo unakutana na uhalisia ambao hukusimuliwa. Kichekesho hiki kina ukweli nusu na ukweli wenyewe ni kila biashara huwa inalipa, ila inategemea na namna ambavyo mtu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nafikiria jinsi ambavyo nitaileta hii biashara huko Tanzania

    Hapa Kenya imekuwa too saturated, just like everything else, lakini waliokuwa pioneers walifaidika si haba. Swali ni, sijui kama vifaa vinavotumika kwa ukarabati vinapatikana huko, na importantly, kwa bei inayofaa. Picha ya mojawapo ya bidhaa muhimu kwa hii kazi 👇 Kazi yenyewe👇 Kama...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba Jina zuri la Biashara ya CHAKULA

    Wadau. Mini na Shemeji yenu tumeamua tuanzishe Biashara ya CHAKULA kwa maana Mgahawa Pamoja na Catering. Tutakuwa tunafanya delivery. Shida yetu hapa ni jina la Biashara lenye kuvutia wateja. Kwa vile najua humu JF ni wajuvi wa mambo. Naomba mtusaidie jina la biashara.
  10. JamiiForums Tanzania Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Kwanza

    Habari ya muda huu wana jukwaa, leo ningependa kuwapa faida ya namna ya kuanzisha au kukuza biasra kwakutumia mbinu ambazo zinafanyakazi hasa katika mazingira yetu ya kiafrika. Wengi wetu tunapotaka kuanzisha biashara tunajiuliza kuwa ni biashara gani inalipa ili uweke pesa zako zikupatie...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye biashara nguo za mtumba

    Natafuta mtu wa kufanya nae biashara nguo za mtumba. Nipo zanzibar biashara ni mzuri tu nipo na fremu sehemu mzuri tu kama yupo alie tayari aniinbox. Hasa hasa nguo za kike kama baibui na madira ya mtumba. Tutegeneze pesa. Asanteni
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna msanii mwenye pumzi ya kukimbizana na Diamond kiuchumi, biashara zinamlipa kuzidi muziki

    kumlinganisha diamond kiuchumi na wasanii ambao wengi wao hata linapokuja swala la usafiri wanavimba na toyota crown za miaka kumi iliyopita, inakuwa sio fair Sote tunajua ya kwamba kuanzisha biashara kubwa ni gharama kubwa na ni hatari endapo ukila za uso, unaweza kuanzisha biashara mbili...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  14. JamiiForums Tanzania Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyoonyesha naomba kujua hivi haya mahindi mabichi ya kuchoma na kuchemsha wanayouza barabarani wanayanunua wap endapo ukiwa Dar na kwa bei gani?
  16. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupeleka Malawi

    Wakuu, Mwenye uzoefu wa biashara ya nguo na vitu mbalimbali kutoka huku Tanzania kwenda kuuza Malawi naomba aliyewahi kufanya biashara nchini Malawi anipe uzoefu
  17. JamiiForums Tanzania Kama ni mfanyabiashara na una mtaji nicheki nikupe biashara ya kufanya kila siku unaingiza laki 6 kama faida

    Bidhaa unaweza toa Mwanza, Morogoro au Dar kuleta Dodoma, faida ya kila box baada ya usafiri ni 6000 kwa carton kama uko tayari nipigie nikupe maisha utanishukuru na utanifikiria cha kunipa kama shukurani baada ya shukurani. Nipigie simu 0621604087 IKO HIVI Kama una hela nenda Dar chukua...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wenye malori tu njooni tufanye hii biashara

    Kuna jamaa yangu anahitaji malori ya tani 30 kwa akili ya kuchukua korosho masasi kuzileta kurasini. Bei ni 70,000 kwa tani. Malipo ni 50% wakati unaenda kupakia na iliyobaki mtalipana mzigo ukifika Dar. Dereva atakuwa na escort ya mwakilishi wa mtu mwenye mzigo. Zinatakiwa gari zaidi ya kumi...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji kwenye Biashara ya Photography, Video Production na Graphics

    Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…