Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji...
Kazi iendelee!
Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.
Sijui nini...
Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini.
Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi kwa kupanga vyumba hivi hivi vya tembe. Kisha wanaanza biashara ya kubadilisha .
Iko hivi ,kule...
Mfanya biashara ni mtu anaye fanya biashara kwa lengo la kupata faida kusudi kuu Ni kukuza kipato chake kwa Mahitaji yake
Wengi hunzisha biashara zenye ushinda katika maeneo ambayo watu wengine wanafanya biashara Kama yake ,Hii inapelekea watu wengi wanapo anzisha biashara zao kushindwa na...
Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa.
Wanasema mama for presidency forever
Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho
Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs, SMEs & Cooperate)
Akihojiwa na kituo cha Utangazaji cha E-FM redio, Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe David...
Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara.
Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikuwa na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka...
HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
Habari ya jioni wakuu. Endapo unahitaji:
1. Kusajili kampuni,
2. Jina la biashara
3. Alama/nembo za biashara
4. Kufuatilia kibali BoT kwa ajili ya kampuni za kukopesha
5. Nk
usisite kunicheki nitakusaidia.
🔥Kampuni ni ndani ya SIKU 3 TU
🔥Business name ni MASAA 24 TU.
Huduma zangu ni uhakika...
Haloo is me "Mr. Liverpool" again.
Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja..
INTRODUCTION
Mimi ni kijana mwenye miaka 32.
Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara.
Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini.
Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake).
Wanangu huishi na...
Habari wana JF. Nimekuwa nikifanya biashara ya grocery kwa mda sasa sema changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni wingi wa madeni(nadai wateja), sasa nikawa nafikiria pengine nikihama eneo na kujipanua nikaanzisha Bar ya kawaida maybe ntakuwa nimesolve hii ishu ya kukopwa sana. Kama kuna mtu ana...
Habari za wakati huu;
Katika biashara kuna kukosea.Hii ni kama ilivyo katikamaisha ya kawaida.Kukosea ni sehemu ya ubinadamu.Kila kosa huwa lina gharama na matokeo.Haya yanaweza kuwa mabaya sana au ya wastani.Katik biashara makosa huweza kupelekea hasara katika biashara,kupoteza mteja na hata...
1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia
2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo...
3. Chuo 20% ya Alama...
WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya...
Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini)
Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
Habari za muda huu wadau wa JF?
Naomba msaada hapa.
Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)
Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
Habari wana jamii
Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu
Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo
Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Habarini kwa mara ingine tena,
Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia kuingiza mauzo yako na kupata ripoti mbalimbali za mauzo,manunuzi ,faida /hasara na kadhalika...
Here comes,
Waungwana kuna hili swala la kufanya biashara iende smoothie,, kuna rafki yangu kanishauri swala la kwenda kwa baadhi ya mashekhe ili tukapatiwe dawa kwa ajili ya biashara iende vema.
Sikufanikiwa kukubali ila yeye alienda na akaanza biashara yenyewe ikaenda vizuri miezi miwili...