biashara

  1. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  2. Dr_Mafuru

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza biashara ya Travel agency

    Wadau habari zenu? Naomba msaada tafadhali nataka kuanza biashara ya Travel agency nafanyaje? Mwenye uzoefu au taarifa sahihi na rasmi anisaidie, Kwa muhtasari sijaanza chochote Niko square one. Asanteni.
  3. wilcoxon

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  5. Mwaisongo ZeDON

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya machache katika mengi ili biashara yako iwe na mafanikio

    Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kukusaidia ufanye biashara yako iwe na mafanikio, kama vile: 1. Kufanya utafiti wa kutosha juu ya soko na washindani wako ili uweze kubuni bidhaa au huduma ambazo zinakidhi mahitaji ya wateja wako. 2. Kuwa na mipango thabiti ya kibiashara, pamoja na bajeti...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara ya Figo inapigwa vita wakati wahitaji wa Figo ni wengi? Figo sio damu watu hawawezi kujitolea bure

    Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo. Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea. Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gesti house/ Lodge

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina nyumba yangu ya kuishi sehemu ilipo nimeona panafaa kufanyika biashara ya lodge/ Gesti hivyo nipo kwenye mpango wa kumtafuta msanifu aje kuiona na kunishauri jinsi ya kuibadilisha kuwa ya biashara tajwa ili kutimiza ndoto zangu za kuwaza...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama unasoma au unataka kufanya biashara, usifuate maneno ya wanasiasa

    Hii kasumba ya Watanzania kukimbilia kusoma masomo ya science eti kwa sababu umeambia na mwanasiasa, mtaishia Kupata majuto Makubwa. Au unaanzisha Biashara eti kwa sababu umeambiwa na mwana-siasa utaishia kupata stress. Sera za nchi yetu hazitabiriki na sio endelevu. Soma kitu kwa utashi wako...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kurejesha (recycling) vifuniko vya chupa

    Habari wakuu. Naomba mwenye kujua kampuni inayofanya recycling ya vifuniko vya chupa (metal bottle caps) anijuze. Natanguliza shukrani.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Serikali kuwainua vijana kiuchumi

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri Ili kufanisha hilo Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Viwanda...
  12. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Njia za kushinda soko la ushindani kibiashara

    Habari wakuu, Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na: 1) Brand name hii...
  13. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bodaboda

    Wakuu a-saamu aleykum... Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina mpango wa kuwekeza kwenye biashara ya bodaboda. Nipeni ushauri, aina gani ya pikipiki ni nzuri, ntapataje dereva na kwa siku ataniletea kiasi gani.. Mtaji mil 6.5 Maeneo Arusha Mjini Nitangulize shukrani🙏
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wanaoanza Biashara kutolipa Kodi ya Mapato kwa muda hadi wa mwaka mmoja

    Hello Wadau, Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri. Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki. ==== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
  15. The Eric

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza watu imewapa wengi utajiri

    Hello, Hii biashara imeanza tangu zamani sana, ndiyo imefahamika kama Slave trade. Kuna kitabu kaandika Robert Kiyosaki anasema katika maelezo yake "The High Paid Slave is Still A Slave." Kuuza watu kwa namna moja au nyingine ni aina ya utumwa, au kumuuza mtu kwa yeye kutaka kipato na wewe...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

    Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
  17. stevenmakalla

    JamiiForums Tanzania Bank inayofaa kwa biashara ya utalii ni ipi?

    Team, from your experience ni bank gani nzuri kwa kampuni ya utalii? Ukizingatia yafatayo 1. Makato nafuu 2. Huduma nzuri za kiofisi 3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k. 4. Smooth transactions Share your experience kuhusu good services ulizowahi kuzipata katika bank fulani.
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la Biashara Afrika Mashariki lamshukuru Rais Samia kwa kuwapa ardhi

    Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la Mateves mkoani Arusha, ilipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa EABC, John Bosco Kalisa. Kwa mujibu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari

    Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari hapa mjini Dar es Salaam. Mimi nina Pressure pump na vaccum cleaner. Tuchange fedha tupate eneo tuanze mdogo mdogo, aliye tayari au mwenye mawazo zaidi nakaribisha maoni Au nichek hapa 0685875749
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano) Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Back
Top Bottom