biashara

  1. JamiiForums Tanzania Business manager mfumo wa biashara

    Business Manager (BM) ni sytem inayomuwezesha mfanya biashara kuweza kuiongoza biashara yake kwa kuweka sawa hesabu zake mapato na matumizi pamoja na faida na hasara. kutunza taarifa za wateja na bidhaa kwa ujumla. System ina lugha mbili kiingereza na kiswahili inayomuwezesha mtumiaji kuitumia...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapata leseni kufanya biashara Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

    Kinshasa DRC 2 Mei 2023 – Benki Kuu ya Congo (BCC) imeipatia leseni ya kufungua kampuni tanzu nchini humo Benki ya CRDB. Leseni hiyo imekabidhiwa leo katika mkutano maalum kati ya BCC na ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Afisa Mkuu wa Fedha wa Kundi, Fredrick Nshekanabo. Akikabidhi leseni...
  3. JamiiForums Tanzania Mechi Kali za Kutizama Wiki hii ni Simba vs Namungo na Simba vs Azam nyinginezo tayari Biashara imeshafanyika

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na uzoefu juu ya biashara hii wapenda maendeleo

    Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

    1. Biashara ya kuuza vocha za simu; 2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu; 3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha; 4. Biashara ya Disco vumbi; 5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS); 6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira) 7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo; Ongeza...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara

    Habari wanajamvi Nina mtaji wa 2m naombeni wazo la biashara ambalo nitaweza kuwa naingiza senti kila siku Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuanzisha Biashara ya Microfinance

    Habari. Hongereni kwa majukumu,Poleni kwa changamoto za hapa na pale. Naomba msaada kwa mwenye kujua namna ya kufungua biashara ya utoaji mikopo, mtaji,faida zake na changamoto zake. Natanguliza shukrani.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemu gani ndani ya wilaya ya Ngara naweza kuwekeza kilimo

    Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa. Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu. Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo. Naomba msaada...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania huungana na kushirikiana kwa dhati kwenye kumpiga mwizi tu ila sio kwenye biashara.

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa kumpiga mwizi huwa tuna umoja wa dhati kwenye kushabikia Simba/Yanga. Kwenye ushabiki wa hizi timu...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza jeans za kike

    Habari wana JamiiForums, Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la kuuza jeans tu. Sasa naombeni ushauri ndugu zangu kwa mambo yafuatayo: 1. Mtaji wa hii biashara...
  11. JamiiForums Tanzania Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

    Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda. Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nina Mtaji wa Tsh 50,000/= tu je, niiwekeze katika Biashara gani ili nije kuwa Tajiri?

    Ndiyo hela ya mwisho niliyonayo Mfukoni mwangu na ikiisha tu sijui nitaishije hapa Mjini na Uswahilini niliko. Nishaurini haraka je, hii Shilingi Elfu Hamsini (Tsh 50,000/=) tu niliyonayo niiwekeze katika Biashara gani / Mradi upi ili inilinde hapa Mjini na pia ije kunifanya kuja kuwa Tajiri...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuzalisha misumari

    Wana Jamiiforums habari za kushinda! Ninawazo la kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza misumari aina zote hapa nchini. Kuna mashina za kawaida nimeziona kwenye mtandao naweza kuzinunua na kufunga kama kiwanda kidogo. Najaribu kufungua ukurasa mpya wa kuwa mjasiriamali baada ya kuhangaika...
  14. JamiiForums Tanzania Leseni ya Biashara haraka

    Salamu kwa wote! Nimeona kuwa kuna wenzangu wanaopata shida katika kupata leseni ya biashara. Sasa hivi niko hapa kukusaidia kwa kutuma maombi yako na kuhakikisha unapata leseni yako kwa haraka zaidi. Kumbuka, leseni ya biashara ni muhimu sana katika kuanzisha na kuendesha biashara yako kwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Aina ya Biashara ndani ya Wilaya ya Tunduru

    Habari Wakuu, Bila shaka Mungu ametupa uzima hivyo hatuna budi kumshukuru..! Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu...... Naomba wajuvi, wenyeji na hata wafanya biashara wazoefu mnisaidie mawazo mbali mbali ya kibiashara ambayo ninaweza kuifanya katika wilaya ya Tunduru...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Nawasalim kwa jina la muungano!! , Wakuu nina mtaji wa 20m nataka nianze biashara ya ng’ombe kutoka mikoani nakuleta Pugu DSM, naomba kujua ABC za hii biashara na kama inalipa au lah
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Labda tunaweza kujifunza kitu kuhusu mapenzi kupitia story ya maisha yangu

    Mimi sio mwandishi mzuri hivyo tutavumiliana kidogo. Mimi ni kati ya wale vijana wachache ambao tumepata bahati ya kuwa na pesa tukiwa na umri mdogo, nikisema umri mdogo sijui mnanielewa? By 22 nilikuwa na nyumba 5 na gari za kutembelea mbili ukitoa vitu vingine ambavyo sio muhimu kusema...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji business partners biashara ya dhahabu

    Wakuu Habari, Kama heading inavyosema, nahitaji watu wa kushirikiana nao katika utekelezaji biashara ya madini aina ya dhahabu. Biashara hii nimeifanyia utafiti wa masoko hasa Dar es Salaam na pia sehemu ambapo naweza kupata dhahabu nzuri purity 99%. Nahitaji partner wakushirikiana nae katika...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya Kubeti Michezo haina tofauti na Biashara ya kuchimba madini

    Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
  20. JamiiForums Tanzania Unadhani vijana wakipewa mikopo ya biashara, itaondoa tatizo la ajira Nchini?

    Habari wanajukwaa.... karibu uchangie hii mada kwa leo inakujia mara moja kwa week. #FUNGUKA. .......
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…