Kwanini biashara, taasisi au kampuni yako haina tovuti?

Kwanini biashara, taasisi au kampuni yako haina tovuti?

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,110
Reaction score
1,952
Kwenye ulimwengu huu wa Internet, na karne hii ya watu wanaontumia 80% ya siku nzima online na mitandaoni ni dhahiri kwamba Huko ndio sehemu potential zaidi kupata wateja ..

Ila kwa hali isio ya kawaida Kampuni nyingi na biashara nyingi za kati na kubwa hua jazina tovuti hadi email wanatumia gmail ..

nacho jiuliza na kukuuliza wewe mwenye biashara au kampuni

KWANINI MPAKA LEO HUNA TOVUTI ,NA UNA TUMIA EMAIL SIO PROFESSIONAL?
 
Back
Top Bottom