biashara

  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Biashara nyingi Sekta ya Madini inafanywa na India

    TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI Arusha Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya Tanzania na nchi ya India umeimarika na umeendelea kuzinufaisha nchi hizo kiuchumi. Dkt. Biteko amesema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara ipi nzuri kwa mtaji mdogo?

    Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri". Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama...
  3. JamiiForums Tanzania Serekali kuondosha leseni za biashara halmashauri, hongera

    Naipongeza serekali kwa hili,hakika inadhamira njema na nzuri kwa taifa hili.
  4. JamiiForums Tanzania Taifa linapitia kipindi kigumu. Huyu ndiyo kocha wa Biashara Mara

    Edina Lema ndie kocha msaidizi wa biashara united ya mkoani Mara. Hongereni wanajeshi wa mpakani. Nasema hongereni hasa viongozi wa juu!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

    Good evening wadau, Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20. Napendelea ile biashara ambayo ni stress free, na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dagaa wasio na mchanga kupendwa na wateja

    Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya makome (Seashell)

    Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.? Lakini pia ✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha? ✓Wapi ninaweza kuuza kwa jumla/rejareja? Karibuni kuchangia wakuu.
  8. JamiiForums Tanzania Biashara ya mikopo kwa wanafunzi wa chuo

    Habari wakuu. Nimemaliza chuo nimesoma microbiology degree. Kwan sasa nipo mtaani napambana na maisha. Nimekuja na wazo hapa la mikopo mnishauri mnalionaje. Nikiwa chuoni nimeona wanafunzi wengi wakihangaika wanapokosa pesa na Mimi nikiwa mmoja wapo. Sasa baada y kumaliza nimeona naweza...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  10. JamiiForums Tanzania Kati ya Dodoma na Arusha wapi pazuri kujenga apartment kwa ajili ya biashara ya Airbnb?

    Nauliza wadau wapi ni pazuri ambapo soko kwa sasa lipo. Kuna rafiki yangu yupo Canada ana wazo la kufanya hiyo biashara.
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kijana asiye na kipato kushawishiwa na makundi mabaya?

    Kila mwaka idadi kubwa vijana hapa nchini wanamaliza masomo yao katika ngazi mbalimbali za elimu. Taasisi za elimu kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, vyuo mbalimbali vya ufundi na vyuo vikuu vinazalisha idadi ya wahitimu kila msimu. Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Biashara ya Product Sourcing and Supply

    Utangulizi Biashara ya Product Sourcing and Supply ni mchakato unaohusisha kupata na kusambaza bidhaa kutoka vyanzo mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya wateja. Katika ulimwengu wa leo ambapo masoko yamekuwa ya kimataifa, biashara hii imekuwa muhimu sana katika kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiona biashara unayofanya haina madoni ni ngumu sana kutoboa

    Kilimo kina madoni Uchimbaji madini una madoni Vitenge kuna madoni Car wash zina madoni Bar zina madoni, samaki zina madoni restaurant zina madoni hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mbao banzi

    Naomba mwenye uzoefu na hii Biashara jamani anieleze A-Z. Nataka kuianza
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwezi huu biashara ya stationery huwa inaenda slow?

    Ndugu zangu habari zenu, Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

    Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha?
  18. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie wazo la kuongeza biashara

    Nafurahi na napendezwa sana kuwa kuwa ndani ya jukwaa hili Binafsi nafanya kazi ya kusajili laini za mitandao yote, kurudisha line zilizopotea na kutatua matatizo mbalimbaki ya simu za wateja kujipatia kipato. Nimefanya kazi hii almost miaka 03 sasa nipo Chato mkoani Geita japo mzunguko sio...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kutimiza lengo la kuongeza biashara na Afrika kwa kuilenga China

    Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha

    Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha. Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…