benz

Mercedes-Benz (German: [mɛɐ̯ˈtseːdəsˌbɛnts, -dɛs-]) is a German global automobile marque and a division of Daimler AG. Mercedes-Benz is known for luxury vehicles, vans, trucks, buses, coaches and ambulances. The headquarters is in Stuttgart, Baden-Württemberg. The name first appeared in 1926 under Daimler-Benz. In 2018, Mercedes-Benz was the largest seller of premium vehicles in the world, having sold 2.31 million passenger cars.Mercedes-Benz origins' come from Daimler-Motoren-Gesellschaft's 1901 Mercedes and Karl Benz's 1886 Benz Patent-Motorwagen, which is widely regarded as the first internal combustion engine in a self-propelled automobile. The fuel was not gasoline, it was a much more volatile petroleum spirit with several names including ligrane/ligrain/ligroin. This was used as a degreaser, spot remover, paint thinner, etc. and was so quick to burn or explode, it was not stored inside. The slogan for the brand is "the best or nothing".

View More On Wikipedia.org
  1. Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    "Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo." -- Issa...
  2. MADA YA WEEKEND: Wazee wa Dar na Benz la Mwinyi

    Wakati wa uzinduzi wa kitabu cha maisha ya mstaafu mzee Ally Hassan Mwinyi mambo mengi yamesemwa na hata baadaye kuonekana issue hii kuibukia kwa Simba na Yanga. Twende kwenye hoja. Wazee wa Dar waliofika kumsikiliza mama kama walikuwa 1000 basi kwa bei ya gari linalotakiwa anunuliwe mstaafu...
  3. Mercedes Benz future Truck

    Kwa wapenzi wa magari makubwa, teknolojia na Mambo yajayo. Hebu ioneni hii Mercedes Benz truck itakayoingia rasmi sokoni mwaka 2025.
  4. Mercedez Benz na BMW ni magari ya kifahali lakini yenye dashboard mbaya

    Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani. Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi. Kwa muonekano wa...
  5. 2021 Marcedes Benz S-Class; Mjerumani ametisha hapa

    Angalia hii video hapa chini;
  6. Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

    Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12. Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
  7. Muonekano mpya wa Chid Benz

    Huyu sasa ndo KING KONG halisi. Jamaa ka-improve sana,kawa mbavu kinyama gym halisemi uongo, hana tena muonekano wa kiteja, usijerudia tena unga mzee.
  8. Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Chasis ya Scania Bus engine nyuma Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani. Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia...
  9. Ni kwanini pamoja na ujio wa Magari mengi na mapya duniani lakini Gari za Mercedes Benz, Rolls Royce, Porsche na Lamborghini zitaheshimika Milele?

    Leo hii sijui Mzukulu nimekumbwa na nini yaani similiki hata Baiskeli au Guta lakini nayazungumzia Magari ambayo sina hata Ubavu wa Kuyamiliki. Lamborghin Mercedes Benz Porsche Rolls Royce
  10. Agiza spea za Magari ya Ulaya aina zote hapa kwa bei nafuu

    habari wakuu? Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu. Bei ni nafuu na spea ni Original Kwa sababu ya changamoto ya mtaji hatuna stock bali tunaagiza moja kwa moja Ulaya kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…