benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

    Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27 Mama yangu kanipa milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi mahitaji yangu madogo. Naombeni ushauri wenu ni...
  2. JamiiForums Tanzania Maajabu ya kuchukua salary advance

    Tangu utaratibu wa kuchukua salary advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana. Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi...
  3. JamiiForums Tanzania Kamanda kova afichua siri ya mabenki kuvamiwa asema,dharau za wamiliki wa benki ndio tatizo..

    JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam limefichua Siri ya kuongezeka Vitendo vya ujambazi katika maBenki mbalimbali hapa nchini na kusema vitendo hivyo vinasababishwa na Wamiliki wa Mabenki hayo kulipuuza Jeshi la polisi,Kauli hiyo ya Jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam imekuja...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nikikopa milioni 5 benki marejesho yanakuwaje?

    Habari zenu ndugu, Naombeni mnisaidie kama ukikopa milion tano bank utakuwa unarudisha kiasi gani na kwa muda gani?
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utapeli ndani ya benki

    Wasalaam Wakuu. Ijapokuwa uzi kama huu ulishetwa humu juu ya utapeli ndani ya benki, lakini haukuwa umeshiba. Nikaona niwaeleze kwa undani ili tumakinike. Kuna wale wanaopenda kujua kama nimetapeliwa ama la, ukweli ni kuwa sijatapeliwa. Ila walikuwa wanajaribu kunitapeli. Leo asubuhi nilienda...
  6. JamiiForums Tanzania Nilipoona Mama Samia anafanya mazungumzo na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu Prof Luoga nikajua hakuna nyongeza

    DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita. Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya JPM. Maana huyu Dk Mpango ndie aliengineer kila kitu juu ya kuweka pesa zote hazina na kubana...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ucheleweshwaji wa Mikopo Benki ya CRDB

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nimekua nikisikia kutoka kwa baadhi ya watu(wateja wa benki ya CRDB) kuwa wameomba Mikopo kutoka katika benki hiyo lakini kwa muda mrefu hawajapatiwa fedha/mkopo huo lakini wameshaanza kukatwa fedha kwa ajili ya mkopo huo Hivi karibuni...
  8. JamiiForums Tanzania Taratibu za Mikopo ya Benki

    Ukitaka kukopa 30mil, riba ni kiasi gani wakuu? Mkopo miaka 3 au miaka 6. Naomba ufafanuzi kwa anaejua vizuri taratibu za mikopo ya benki.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Benki kuu: Nchi ina fedha za kigeni za kutosha hata kama shughuli za uzalishaji zitasimama kwa miezi sita!

    Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha. Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi. Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Spika Ndugai anawapigia upatu Wachina bandari ya Bagamoyo? Achunguzwe kama hana akaunti ya Benki nje

    Mimi nina wasiwasi wa huyu Spika wetu na China. China wamekuwa wakinunua viongozi wa Africa kwa manufaa yao. Leo hii baada ya Rais Magufuli kufariki huyu spika sasa anataka kumburuza Rais Mama Samia kwenye mtataba wa kuuza bandari ya Bagamoyo kwa China. Lengo la China liko wazi na walishasema...
  11. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari. My Take: Natengua msamaha...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mswada/sheria ya tra kutoshikilia fedha za wafanyabiashara benki

    Nashauri kupelekwe mswada bungeni kuhusu hii sintofahamu ili wafanyabiashara wawe na imani na serikali yao. NGOJA NITOE SCENARIO: TRA imefanya uchunguzi wa mahesabu yangu na kugundua nililipa kodi pungufu miaka minne iliyopita, wananitoza faini na riba na kunipa notice ya mwezi mmoja...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara msiogope kuweka fedha benki hazitachukuliwa

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Lameck Nchemba akiongoza kikao kazi cha kuchakata maagizo ya Rais Samia kwa Wizara hiyo. Waziri amewaambia Wafanyabiashara nchini kote na Watanzania kwa ujumla wasiogope kuweka fedha zao Benki kwani zitakuwa salama na hazitachukuliwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Taasisi za Serikali na Benki za Kibiashara hasa Benki za NMB na CRDB

    Kupitia mtandao huu, napenda nitoe wazo/ushauri kwa Benki za kibiashara, hasa Benki za NMB na CRDB, benki ambazo zinaonekana kushindana kuvutia watumishi wa umma kupitishia mishahara yao katika benki hizo. Kwa mfano,hizi benki mbili kwa sasa zote zimeanzisha huduma ya salary advance, huduma...
  15. JamiiForums Tanzania Benki kuto-update Account ya mtu ukifanya transaction kwa muda mrefu, tatizo nini?

    Mfano mtu una credit transfer benki nyingi zina tabia ya kuchelewa kupitisha hiyo credit tatizo nini? Haya matatizo yako hasa kwenye mabenki madogo siyo makubwa yenye majina makubwa. BOT fuatilieni hizi benki ndogo sysyem zao hazi update haraka. Transaction yaweza hana muda mrefu na kuleta...
  16. JamiiForums Tanzania Je, utapeli unafanyika ndani ya Matawi ya Benki?

    Habari; Jana nilienda na mteja wangu mmoja kwa ajili ya kufanya taratibu za kupata mkopo katika tawi moja la benki ya NMB. Kufika nilikuta matangazo mengi sana yakitahadharisha juu ya Utapeli wa Biashara ya Madini pamoja nakubadili dola feki. Kwanza nilishtuka na kujiuliza je ni kwamba huu...
  17. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Hali ya Uchumi Tanzania: Benki ya Dunia yapendekeza mfumo wa ncha 3 kupambana na COVID-19 na Mporomoko wa Uchumi

    Leo Machi 3, 2021 Benki ya Dunia inatoa Ripoti yake ya uchambuzi huru wa hali ya kiuchumi ya Tanzania ikiwa ni toleo la 15. Jiunge nasi tukikuletea taarifa mubashara. LIVE: YouTube: Facebook: Salaam za ufunguzi zilizotolewa na Mara K. Warwick, Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za...
  18. JamiiForums Tanzania Walioweka fedha zao Kwenye Benki zilizofilisiwa wakazichukue-BoT

    Bodi ya Bima za Amana imewataka Wananchi walioweka fedha zao kwenye Benki zilizofilisiwa na Benki Kuu ya Tanzania- BoT, kwenda katika matawi ya Benki ya Posta yaliyopo popote nchini, kuchukua amana zao ikiwa ni sehemu ya fidia kwa wateja waliowekeza kwenye benki hizo. Jumla ya benki 7...
  19. JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yaipa Ghana fedha zaidi ili kununua chanjo za covid19

    Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake Awali WB ilijiatiti...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Benki na Mikopo naombeni msaada kwa hili

    Wale wataalamu wa kukopa na wenye ujuzi wa Bank na Mikopo, habari zenu? Hivi nikikopa Benki na kila baada ya muda natop up!! Nitakuwa nafaidika au Benki itaninyonya zaidi Mimi? Je, nikikopa mkopo wa miaka mitano na kusubiri hadi mkopo wote uishe ndiyo nikope nitakuwa na hasara? Natanguliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…