benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Benki ya damu na chanjo ya COVID-19

    Wataalam tusaidieni. Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena? Kwa kuwa sayansi ya tiba iko kimya kwenye hilo, najaribu kujifikirisha kwamba endapo...
  2. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Benki inayodhamini Ligi Kuu wanaupiga mwingi

    Kutoka tawi la Makumbusho/Kijitonyama namba ngapi umemuelewa
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa simba - Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki !!

    Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba, Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba "Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka...
  4. JamiiForums Tanzania Agizo la Serikali la kushusha riba za mikopo limeshaanza kutekelezwa?

    Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa kisheria ukilinganisha na mtaji wake?

    Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa ukilinganisha na mtaji wake? Pia benki kuu inaweza kuongeza idadi ya noti katika mzunguko kama ikiamua? Asanteni wanasheria!
  6. JamiiForums Tanzania DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

    DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara. Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Benki ipi haina makato makubwa sana?

    Wadau naombeni kujua ni bank ipi ambayo makato yake si makubwa sana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Msajili: Vyama vya siasa vingi haviweki fedha benki, hii ni kinyume cha sheria

    Naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema katika uhakiki wa vyama vya siasa unaoendelea nchini wamegundua vyama vingi havihifadhi fedha za chama benki badala yake wanatumia njia za kienyeji kuhifadhi mapato ya vyama vyao. Nyahoza amesema sio utaratibu wa kisheria na amevitaka...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya rejesho la jumla la mkopo benki X kuzidi makato

    Nawasalimu wanajukwaa! Natatizwa na Jambo kuhusu mkopo wa benki Fulani, itakapolazimu nitaitaja. Mimi ni mtumishi wa umma ktk halmashauri Fulani, nimeomba mkopo wa wafanyakazi kwa makato ya sh 138000 kwa Kila mwezi kwa muda wa miaka 8. Ukizidisha sh 138000 kwa miaka 8 ni jumla ya sh isiozidi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu; Ni afadhali utoe namba yako ya siri ya benki au simu kwa ndugu kuliko kuificha kama tunavyoambiwa na benki, faida hupata wao zaidi ukifa

    Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana! Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui! Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale, kwanza usumbufu...
  11. JamiiForums Tanzania Kibonzo; wenye dhamana na mapato ya serikali wanahakikisha makusanyo hayafiki Benki

  12. JamiiForums Tanzania Ni benki ipi nzuri kupokelea mshahara kati ya CRDB na NMB?

    Naomba msaada kuhusu ni benki nzuri inayotoa huduma kiurahisi kati ya Nmb na Crdb naaamanisha kuwahi kutoa pesa mapema ya mshahara
  13. JamiiForums Tanzania RC Tabora aagiza kuwe na benki za matofali

    MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani ameagiza Halmashauri zote kuwa na Benki ya Tofali kwa kila Kijiji. Alisema hatua hiyo itasaidia kukabiliana na upungufu wa vyumba vya madarasa pindi muda wa wanafunzi wanapotakiwa kijiunga na Darasa la Kwanza ama Kidato cha Kwanza. Balozi Dkt...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SMS za Account Namba zimekuwa Blocked na Mtandao wa Tigo?

    Wakuu habari, Jana nilikuwa nahitaji kumtumia Mtu Account namba yangu ili anitumie pesa nikatoe, hii yote ni katika kupunguza gharama ya Makato. Nikamuandikia SMS, mimi natumia mtandao wa Tigo, niliandika Majina kamili, jina la bank husika na namba ya Account cha ajabu kila nikituma ile SMS...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu kununua vocha za TTCL ni kero; Unalipia Benki baada ya kupewa control number

    Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki. Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga. Hebu wajirekebishe.
  16. JamiiForums Tanzania BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kufanya miamala ya kifedha makampuni ya simu yamechepusha ukwasi kiasi gani kutoka benki?

    Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA) Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes. Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu?? Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zaiangukia Serikali tozo ya miamala. TPSF yataka benki zisiachwe

    Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale My Take Rais ajiuzulu
  19. JamiiForums Tanzania IMF na Benki ya Dunia ni taasisi kubwa ambazo hujidhihirisha na watu wanoteuliwa kuwakilisha nchi katika masuala ya fedha

    Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha. Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani. Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Ukikopa benki A na baadaye ukashindwa kulipa; Je, unaweza kufungua akaunti benki B bila kukatwa na mamlaka?

    Natumaini Jumapili inaenda vyema kwa kila mmoja wetu huko alipo. Kwa wale amabao haiendi vizuri poleni na zidisheni kumuomba Mungu. Waheshimiwa nina swali. Mtu kama ulikopa pesa benki "A" bila dhamana yoyote kwa kuwa ulikuwa unapokea mshahara kupitia benki hiyo, na bahati mbaya kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…