Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.
Nilidhani ustadhi ni wale watu wa dini wasiojihusisha na riba kumbe ni mdau mzuri wa benki za biashara.
Ninapenda Bakhresa afanye kuwaelimisha wale wenye misimamo mikali tuwe na taifa endelevu.
===
Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani).
Katika maeneo...
Wasalaam
Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank.
Sasa je kuna mtu anafahamu utaratibu wa kuhamisha deni tafadhari wakati nikiwa na lengo la kulipa hapo baadae.?
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi.
Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
Benki ya NMB imeshinda tuzo tatu kutoka Taasisi ya Chartered Institute of Customer Management zikiitambua Benki kama kinara katika utoaji huduma bora na wezeshi nchini.
NMB imepata heshima hiyo kupitia tuzo za ‘Mwaka za Umahiri wa Huduma kwa Wateja 2024 (Annual Tanzania Service Excellence...
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU.
Kupitia ukurasa wake wa "X" Madaraka amesema,
"Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji...
SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ili kutoa fursa kwa Wakandarasi wazawa kushiriki...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema nchi haina uhaba wa dola, bali baadhi ya watu wamezihifadhi wakitarajia bei itapanda, ikisisitiza hakutakuwa na ongezeko hilo kutokana na hatua za ndani na nje zinazochukuliwa katika kuimarisha upatikanaji wake.
Imezitaja hatua hizo zinajumuisha uamuzi wa...
Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia zimesaini mkataba wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam {Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II)...
Dar es Salaam 19 February 2024 – Katika jitihada za kuendeleza sekta ya habari nchini, Benki ya CRDB imeendesha semina maalum kwa wadau wa sekta ya habari nchini na uchumi “CRDB Bank Media Day” iliyofanyika katika Makao Makuu ya benki hiyo yaliyopo barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
Akifungua...
Ninatarajia kununua dhahabu ya Tshs.500 millioni na kuiweka kama fixed deposit katika Benki yeyote tutakayokubaliana nayo. Je huu utaratibu unakubalika?. Na je huu utaratibu una madhara yeyote(risk)?. naomba ushauri.
Yaani Bilioni 300 ambazo ni sawa na pesa ya kujenga km 250 za Lami tunaenda kuwalipa Matapeli wa Indiana Resources ambao Wanashulikiana na Mafisadi wa Serikalini.
Daa inauma Sana aisee
---
Mapendekezo au hoja mbili kati ya tatu ilizowasilishwa na Tanzania kwenye Mahakama ya Kimataifa ya...
Dar es Salaam. Tarehe 31 Januari 2024: Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 mamilioni kwa wateja wake mwaka huu...
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.
Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?
Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani...
Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru tunaambiwa maombi yenu tulishayapeleka BOT. Kwanza nataka...
Mzuka wanajamvi,
Kuna kijana flani alikuwa banker CRDB. Uzi wake uliletwa humu nadhani 2019-2020 akiwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa kuiba hela za wateja.
Alikuwa akiposti mapicha ya yakujionesha insta ana hela nyingi. Nimesahau jina na link. Hivi kesi yake imefika wapi?
Yoyote humu...
Kuna mtindo mchafu umeingia kwenye taasisi nyingi za umma wa kuwakopesha pesa watumishi wake kwa kutumia pesa za ndani za uendeshaji wa mashirika hayo kiasi ambacho kimepelekea kukwamisha ufanisi wa uendeshaji wake. Mfano halisi ni mfuko wa Bima ya afya ya taifa (NHIF). Upo ushahidi wa wazi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.