Hatimaye benki ya biashara ya NMB Tanzania yasaini hati ya mashirikiano na ZASCO

Financial Intelligence

Senior Member
Sep 29, 2023
114
246
IMG-20240312-WA0077.jpg

===
Hatimaye NMB wamesaini makubaliano ya miaka mitatu (3) ya ushirikiano na Kampuni ya Zao la Mwani Zanzibar (ZASCO) ikiwa ni hatua ya kuendeleza sekta ya kilimo cha mwani na kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima katika pwani ya Bahari ya Hindi (Tanzania Bara na Visiwani).

Katika maeneo ya ushirikiano, makubaliano kati ya NMB na ZASCO yanazingatia vipengele muhimu vifuatavyo:

Kwanza, Kushirikiana na ZASCO kuendeleza sekta ya zao la mwani ikiwa ni pamoja na mikopo nafuu ili kuleta maendeleo yenye tija kwa wakulima wa zao hilo.

Pili, Kuhakikisha uwepo wa huduma na suluhisho za kifedha pamoja na kutoa elimu ya kifedha kwa wakulima wa zao la mwani ili kuendesha shughuli zao kwa ufanisi na tija zaidi.

Tatu, Kutoa elimu kuhusu uendeshaji wa vikundi vya wakulima wa Mwani na kuchochea ujumuishaji wa kifedha wa wakulima.

Nne, ZASCO itahusika kutoa vifaa vya kilimo cha mwani bila gharama ya ziada kwa wakulima wanaokidhi vigezo vya mikopo.

Makubaliano haya yanaendana na azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuona kilimo cha mwani kinapiga hatua kubwa za maendeleo na kuwa mkombozi kwa wakulima ambao zaidi ya asilimia 90 ni wanawake.

Tukio hili lilifanyika Ijumaa tarehe 8 Machi, 2024 ikiwa pia ni Siku ya Wanawake Duniani na kushuhudiwa na Mhe. Omar Said Shaaban - Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar akiwa na Philbert Mponzi Mkurugenzi wa Mikopo midogo midogo toka NMB PLC.
 
View attachment 2932573

NMB =Zaipuna
 
Mwani ndio nini? Na kwanini ni Wanawake tu ndio wanalima?
 
Naona haya majamaa hayashikiki
 
Back
Top Bottom