bei

Liu Bei (Chinese: 劉備, pronunciation ; Mandarin pronunciation: [ljǒu pêi]; 161 – 10 June 223), courtesy name Xuande (玄德), was a warlord in the late Eastern Han dynasty who founded the state of Shu Han in the Three Kingdoms period and became its first ruler. Though he was a distant relative of the imperial family, Liu Bei's father died when he was a child and left his family impoverished. To help his mother, he sold shoes and straw mats. When he reached the age of fifteen, his mother sent him to study under Lu Zhi. In his youth, Liu Bei was known as ambitious and charismatic. He gathered a militia army to fight the Yellow Turbans. Liu Bei fought bravely in many battles and started getting famous. Rather than join the coalition against Dong Zhuo, he joined his childhood friend Gongsun Zan and fought under him against Yuan Shao many times with recognition.
Later he was sent to help Tao Qian against Cao Cao. Thanks to the support of the influential Mi and Chen families along with Tao Qian's last will, Liu Bei inherited the Xu Province. After his defeat against Cao Cao, Lü Bu joined him and seized the province while Liu Bei was away fighting Yuan Shu. After many conflicts, he joined Cao Cao and they defeated Lü Bu at the Battle of Xiapi. Although he was treated well, Liu Bei received a secret edict from the emperor to kill Cao Cao and rebelled against him taking back Xu province. After a brief alliance with Yuan Shao, Liu Bei was quickly defeated by Cao Cao and had to flee to the warlord in the north. He was sent by Yuan Shao to raise uprisings behind Cao Cao's main base but he was ultimately defeated by Cao Cao and joined his kinsman Liu Biao. Liu Biao doubted his loyalty so he located him at Xinye to serve as a shield against Cao Cao. After Liu Biao's death, Liu Bei led many civilians to join Liu Qi to Xiakou where they allied with Sun Quan to oppose Cao Cao at the Battle of Red Cliffs.
After Cao Cao's defeat, Liu Bei quickly took control of the majority of Jing Province, then he married Sun Quan's sister who recognised his legitimacy over the province and agreed to "lend" him Nan Commandery. Liu Bei later led his army to join another kinsman, Liu Zhang in his war against the warlord Zhang Lu. Under the advices of his advisors, he betrayed Liu Zhang and seized the Yi Province from him. After some disputes and seeing Cao Cao growing closer to the Yi province. Liu Bei agreed to yield half of the Jing province to Sun Quan and led his army against Xiahou Yuan at Hanzhong and seized it. Liu Bei then declared himself "King of Hanzhong" and set up his headquarters in Chengdu. However soon after Guan Yu was killed by Liu Bei's "ally" Sun Quan who took the rest of Jing province for the "lending" of Nan commandery. Liu Bei was furious and after declaring himself emperor to challenge Cao Pi's authority, he led his army against his former "ally". Though some early success, his army was soon blocked into a stalemate against Lu Xun and was finally defeated. Ashamed by his failure, he never returned to Chengdu and settled in Baidicheng until his death one year later. Urging his heir to not emulate him and being as virtuous as possible he appointed to help him Zhuge Liang in charge of domestic matters and Li Yan for the military matters.
Despite early failings compared to his rivals and lacking both the material resources and social status they commanded, he gathered support among disheartened Han loyalists who opposed Cao Cao, the warlord who controlled the Han central government and the figurehead Emperor Xian, and led a popular movement to restore the Han dynasty through this support. Liu Bei overcame his defeats to carve out his own realm, which at its peak spanned present-day Sichuan, Chongqing, Guizhou, Hunan, and parts of Hubei and Gansu. Culturally, due to the popularity of the 14th-century historical novel Romance of the Three Kingdoms, Liu Bei is widely known as an ideal benevolent, humane ruler who cared for his people and selected good advisers for his government. His fictional counterpart in the novel was a salutary example of a ruler who adhered to the Confucian set of moral values, such as loyalty and compassion. Historically, Liu Bei, like many Han rulers, was greatly influenced by Laozi. He was a brilliant politician and leader whose skill was a remarkable demonstration of "Confucian in appearance but Legalist in substance" .

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali acheni kucheza na tozo kwenye bei ya mafuta punguzeni kodi ya VAT toka 18 hadi 10

    Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
  2. Mtutura: Bei ya Mbolea ni Hatari kwa Kilimo na Uhakika wa Chakula; Serikali Isipuuze

    Msimu wa kilimo wa mwaka 2021/2022 tumeshuhudia kupaa kwa bei za mbolea hali hii ilianza mnamo mwezi Juni na Julai mwaka jana ambapo bei zilianza kupanda kwa wastani wa asilimi 20 hadi asilimia 38 na kuadimika katika mzunguko sokoni, ilipofika Disemba hali ilikuwa mbaya zaidi licha ya kuwa...
  3. Waziri Bashe aahidi suluhu ya kudumu ya upandaji holela wa bei za mbolea

    Ameandika Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe katika ukurasa wake wa Twitter. Nina Faham maumivu ya bei ya mbolea sio kwa kuambiwa bali kwa kuyaishi basi na mimi binafsi ninajua kama mkulima. Tuna maelekezo ya Mh Rais kuhusu hali ya mbolea nawaomba Ndg zangu tuwe na subira, msimu ujao wa kilimo...
  4. C

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo makulu bei ni 15M kwa description za kiwanja 0755151642. Karibuni
  5. Mfumuko wa bei Marekani waweka rekodi mpya toka mwaka 1982, Tanzania tunajiaandae?

    Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine yanayowekewa vikwazo, Urusi ni namba mbili kwa uzalishaji wa nishati duniani huku mteja wake mkubwa...
  6. L

    Thamani ya pesa

    DEFLATION Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka. Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki. Chanzo cha kushuka kwa bei. 1.Economies of scale. Kampuni ikiweza kuzalisha bidhaa nyingi na...
  7. L

    Inflation, ongezeko la bei katika bidhaa

    INFLATION Hiki ni kipindi ambacho thamani ya pesa inashuka kutokana na bei ya bidhaa ambazo ni muhimu (necessity goods) kupanda. Vyanzo vya mfumuko wa bei. 1. Ongezeko la ajira Kuongezeka kwa ajira kutasaidia watu kuweza kujitegemea na kuweza kupata kipato. Kipato kikiwa kikubwa basi...
  8. Njia rahisi ya kuzuia mfumko mkubwa wa bei unaokwenda kutokea ni kupunguza zile kodi zilizowekwa kwenye mafuta

    Zipo njia kuu mbili za kuzuia bei ya mafuta isipande sana ndani ya nchi. 1. Kuchukua mafuta yaliyonunuliwa kwa bei ndogo na kuhifadhiwa, mafuta hayo unayaingiza sokoni na kuyauza kwa bei za kawaida. Hichi ndicho wamefanya US. Kwa Tanzania hili ni haliwezekani hatuna kawaida ya kuhifadhi mafuta...
  9. ZURA imetangaza bei mpya ya mafuta. Kuanza kutumika 09.03.2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumatano Tarehe 09/03/2022
  10. Natafuta incubator ya mayai 30

    Habai, Poleni na kazi wapendwa, Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane Nipo morogoro mie. Shukrani.
  11. Rais Samia: Vita ya Urusi, Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote zitapanda bei

    Rais Samia Suluhu Hassan ameelezea kupanda kwa bei ya mafuta kwa kiasi inasababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine. “Mabadiliko ya kupanda kwa bei ya mafuta kiasi kidogo yamesababishwa na vita ya Ukraine na Urusi, yanapanda bei mno. Tanzania hatutanusurika, bidhaa zote...
  12. Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma. Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika. Watanzania tusitarajie huu mradi...
  13. Kuongezeka kwa bei za Dhahabu na Mahindi duniani; Mawaziri Biteko na Bashe na Gavana BoT mmejipangaje?

    Amani iwe nanyi, Habari kuu kwa sasa duniani ni kupanda kwa bidhaa adimu kutokana na vita vinavyoendelea vya Russia v Ukraine. Bidhaa adimu kama mafuta na Gesi zinazidi kupanda kwa kiwango cha kutisha na Mataifa yenye mafuta na Gesi Afrika yameanza kukamatia fursa kuongeza mapato yake kwa...
  14. Bei ya petroli na diseli imefikia USD 130 kwa pipa

    The United States has confirmed that it is in talks with European allies to potentially sanction Russian crude oil in response to Moscow's ongoing aggression in Ukraine, sending oil prices briefly above $130. US Secretary of State Antony Blinken noted on Sunday during the NBC talk show Meet...
  15. Bei za vyakula vya kuku mikoa mbalimbali Tanzania!

    Habari wadau, Naomba kama una taarifa ya bei (prices) za vyakula vya kuku maeneo ulipo. Unaweza kutueleza pia bei hizo ni kwa kipimo gani, labda gunia, debe au hata kilo. Lengo ni hasa kutambua wapi kuna fursa za kununua vyakula hivyo na kuuza. Mfano: Kwa Arusha bei ya gunia moja la Pumba...
  16. L

    Mabadiliko ya bei

    MARKET EQUILIBRIUM Market ni soko na Equilibrium ni usawa. SUPPLY PRODUCT = DEMAND PRODUCT Kwahiyo usawa wa soko unapatikana pale bidhaa zilizozalishwa kwaajli ya mauzo ni sawa na bidhaa zinazohitajika na wanunuaji. UPANGAJI WA BEI KUTUMIA DEMAND NA SUPPLY 1. Demand isipobadilika, ila...
  17. T

    Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  18. Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  19. Haji Manara (Msemaji wa Yanga SC) katamba kuwa Wameuza mno Jezi Msimu huu sasa mbona wamezipunguza Bei?

    Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa? Leo Klabu ya Yanga imeamua...
  20. Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa Tanzania tutafute mafuta Yetu. Kufuatia Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi bei ya mafuta imepanda na kuvuka dola mia moja kwa mara ya kwanza tangu miaka saba iliyopita, ambapo ongezeko hilo limesababishwa na hofu baada ya mzalishaji mkubwa Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…