Natafuta incubator ya mayai 30

Aug 20, 2020
57
144
Habai,

Poleni na kazi wapendwa,

Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane

Nipo morogoro mie.

Shukrani.
 
Ninayo ya mayai 48 nauza laki mbili kamili kama ukiridhika na bei njoo pm nipo Morogoro pia.
 
Habai,

Poleni na kazi wapendwa,

Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane

Nipo morogoro mie.

Shukrani.
Ni ngumu kidogo kupata incubator ya mayai 30 exactly, waga yanazidi kidogo na kuanzia kama 48 hivi

ila sikushauri kununua hizi ndogo, Zina changamoto sana, at least jichange utafute kuanzia mayai 120-200
 
Habai,

Poleni na kazi wapendwa,

Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane

Nipo morogoro mie.

Shukrani.
Nicheki wasapu natengeneza hizo incubator 0768 033 544
 
Attachments

  • IMG-20221230-WA0009.jpg
    IMG-20221230-WA0009.jpg
    51.5 KB · Views: 23
  • IMG-20221230-WA0010.jpg
    IMG-20221230-WA0010.jpg
    53.5 KB · Views: 24
  • IMG-20221230-WA0008.jpg
    IMG-20221230-WA0008.jpg
    62.5 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom