Bei ya petroli na diseli imefikia USD 130 kwa pipa

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,211
5,937
The United States has confirmed that it is in talks with European allies to potentially sanction Russian crude oil in response to Moscow's ongoing aggression in Ukraine, sending oil prices briefly above $130.

US Secretary of State Antony Blinken noted on Sunday during the NBC talk show Meet the Press on Sunday, “We are now in very active discussions with our European partners about banning the import of Russian oil to our countries, while of course at the same time maintaining a steady global supply of oil."

The latest considerations follow a stream of sanctions that have already had a significant impact on the Russian economy but have not yet been able to halt Putin's advance into Ukraine.

European Commission President Ursula von Der Leyen has yet not fully supported the idea as of yet, though she has expressed that one of their primary goals in the sanctions that have been levied thus far is to cut Putin's funding streams.

The European Commission President noted on CNN, “The goal is to isolate Russia and to make it impossible for Putin to finance his wars,” adding “For us, there is a strong strategy now to say we have to get rid of the dependency of fossil fuels from Russia.”

The move, if agreed upon, has long been considered the "nuclear option" as a ban on Russian oil could weigh on global supply in an already tight market.

Bank of America analysts noted that if Russia's oil is cut off, the market could face a 5 million barrel shortfall which could push oil prices to $200 per barrel.

The situation is compacted by stalling talks with Iran over a potential new nuclear deal.

Amrita Sen, the co-founder of Energy Aspects, a think tank, explained, "Iran was the only real bearish factor hanging over the market but if now the Iranian deal gets delayed, we could get to tank bottoms a lot quicker especially if Russian barrels remain off the market for long."

By Michael Kern for Oilprice.com
 
Marekani na washirika wake wamekimbilia ku sunction Russia bila kuangalia athari zitakazoikumba dunia,badala ya kutafuta suluhu!
Wewe under trump walikuwa hawanunui Russia .Biden climate change agenda alipochaguliwa tu aka issue executive order cancel oil pipe lines za USA na kumpa mkatabs Putin .Bad decision
 
Kuna kipindi wananchi wa mataifa mengine walikuwa wanawadhihaki wanorway norwegian bei ya mafuta iliposhuka. Hadi wengi wanorway walipanic. Mungu mkubwa Acha ipande tu jiji la Stavanger watu wachangamke. Watu walikuwa na KAZI nzuri kwenye sekta ya mafuta waliounguliwa.

Pia naskia huko Equatorial Guinea ni shangwe wamepokea hii habari ya bei ya mafuta kea furaha Sana.

Huko Ghuba wakiongozwa na Mwamba Saudia ni mwendo wa kulundika pesa tu.

Ni Venezuela tu ni huzuni licha ya kuwa na mafuta meengii.

Victoire
 
Kufa kufaana
 
Marekani na washirika wake wamekimbilia ku sunction Russia bila kuangalia athari zitakazoikumba dunia,badala ya kutafuta suluhu!
Jamani mnisamehe lugha nitakayotumia naomba radhi sana. Kumanina zao hawa USA na NATO, nini Ukraine wana nini cha ajabu wengine hawana, wangapi wameuliwa nchi ngapi wameziteketeza, angalia waliyofanya Syria, Libya hawa wana laana za Hitler. Mafuta Russia hawezi kuumia wao ndio wataimba kwaya mbwa hawa. kweli ulete shida kwa sababu ya Ukraine? Badala ya ku surrender na kuongea ndio kwanza wanachochea moto watu wanakufa bila sababu za msingi. Tumechoka na hawa Ukraine waacheni wapambane na hali zao mbwa hawa. Mnisamehe jamani lugha hii maana naona wanalazimisha na sisi tusiokuwa na upande tuumie na kwa hali hii tujiandae hata kwetu.
 
Stahiki yako
 
Back
Top Bottom