bei ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

    Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote. Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama...
  2. Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) Ndiyo Mwarobaini wa Bei ya Mafuta Tanzania

    Tanza ikadiriwa kuwa na mita trilioni 230 za ujazo za gesi asilia, ingawa zilizothibitishwa mpaka sasa ni futi trilioni 57.5, hivyo kuiweka kwenye ramani ya dunia ikishika nafasi ya 82. Gesi hiyo tayari imeanza kuzalishwa katika visiwa vya Songosongo wilayani Kilwa, mkoani Lindi na eneo la...
  3. Punguzo bei ya mafuta halijagusa wananchi

    Dar es Salaam. Wakati bei za mafuta zikizidi kushuka nchini kwa miezi miwili mfululizo, hali ya bidhaa na nauli bado zimesalia kuwa juu, huku wahusika wakisema bado kuna haja ya kushusha zaidi bei za mafuta ili kupoza makali hayo. Mjadala huo umeibuka ikiwa ni siku mbili tangu Mamlaka ya...
  4. Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  5. M

    Kafulila: Bei ya mafuta Nairobi ni ghali sana pamoja na Ruto kuwa Rais, Dar bei iko chini. Hongera Rais Samia

    Gthinkers wasalaam, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter. Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo hatujaona waliokuwa wakilalamikia kupanda kwa bei wakipongeza kushuka kwa bei. Pia Soma hii, 👇👇👇 BEI...
  6. Bei ya mafuta yaendelea kuporomoka kwenye soko la dunia

    Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini. --- An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
  7. K

    Bei ya mafuta itashuka zaidi

    Habari nzuri ni kwamba bei ya mafuta Tanzania itaendelea kushukuka kwa miezi inayokuja kutokana na bei ya Dunia kushuka. Tanzania inanunua mafuta kwa miezi mitatu hivyo bei inakuwa ya miezi mitatu nyuma. Bei za US ni kutokana na bei ya wakati huo na kwa mwezi mmoja hapa nilipo Texas bei...
  8. Pamoja na bei ya mafuta kupanda, watu wanaendelea kutumia magari na vyombo vingine vinavyotumia mafuta. Je ni kweli wako vizuri kipesa?

    Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha ITV, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana. Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri...
  9. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, wengi wameamua kutegemea usafiri wa baiskeli katika mizunguko. Barabara zetu ni salama kwa watumia baiskeli?

    Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B. Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
  10. Waziri wa Morocco ashinikizwa kujiuzulu kutokana na Kupanda kwa bei ya Mafuta

    Aziz Akhannouch, anayetajwa kuwa Bilionea kutokana na Biashara yaa Petroli anakabiliwa na Kampeni inayomshinikiza ajiuzulu kupinga kupanda bei ya mafuta huku makampuni ya mafuta yakizidi kufaidika Licha ya Serikali kusisitiza kuwa inafanya kila iwezalo kupunguza athari za kiuchumi zitokanazo na...
  11. Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

    Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
  12. Rais Samia atoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini

    Leo katika ziara yake Mkoani Mbeya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya Mafuta nchini.
  13. A

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  14. Spika Tulia abebeshwa zigo la kashfa ya kupanda kwa bei ya mafuta ya Petroli Tanzania

    Hali ya mafuta ni mbaya ambapo leo watanzania wenzetu wa Kyerwa Ruberwa Mkoa wa Kagera wanauziwa mafuta ya Petroli kwa Tsh 3,647 kwa lita huku wale wa Ukerewe Mkoa Mwanza wakiuziwa lita moja kwa Tsh 3,619 kwa mujibu wa Tangazo la EWURA. Mjadala huu umeitikisa nchi tangu bei hiyo mpya itangazwe...
  15. Bei ya mafuta ndani ya mwaka mmoja imepanda kwa takribani 50%

    Ukiangalia bei za Petroli na Dizeli kwa kipindi cha mwaka mmoja. Yaani ukifananisha Agosti 2021 na Agosti 2022 utaona kuna percentage change ya takribani 50%. Dizeli ndio imepanda kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni zaidi ya 50% huku petroli imeongezeka kwa zaidi 45% kutegemea na bandari...
  16. G

    Lake oil wanajuaje kupanda kwa bei ya mafuta kabla haijatangazwa?

    Imekuwa ni kawaida kila inapokaribia wiki ambayo bei mpya ya mafuta hutangazwa, vituo pendwa vinavyomilikiwa na wanasiasa maarufu, hudai hawana mafuta kungojea bei mpya. Hii huwa ni dalili ya kupanda kwa bei ya mafuta. Swali la kujiuliza wanajuaje mapema kuwa mafuta yatapanda bei? Huu mtandao...
  17. Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao. Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
  18. R

    Wataalamu wa vikokotoo, Bilioni 100 imepunguza Ukali wa Bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Kuna Haja ya kuendelea na hii Ruzuku?

    Habari JF, Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100. Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
  19. Hata Joe Biden wa US apunguza kodi katika bei ya mafuta!

    Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake. Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao. KWETU TZ VIPI? Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
  20. Bei ya mafuta imeshuka, na nauli je?

    Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha. Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu, kwa kweli inasikitisha sana. Soma: EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…