Habari wakuu,
Hopefully wengi wenu mpo poa kabisa, Ikiwa basi una itilafu yoyote ya kiafya basi zingatia tiba na Mungu akufanyie wepesi ukae poa kabisa.
As you know mimi kijana wenu sasa naelekea kutimiza 23yrs mwaka huu, Sasa lengo la uzi huu ni kwa sababu nafahamu humu kuna watu wengi sana...