basi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, akiharibu kwa Lissu na Zanzibar basi Serikali yake itapata tabu sana

    Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote. Imefikia...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha haya basi tu: Nimelishwa yai la Mbuni bila kutegemea

    Wakuu Habari! hapa nipo mbio mbio nataka nimeze dawa za tumbo nitulie tu. Kwa machache tu niseme tu leo Nimepatikana nimelishwa na visivyolika na bila kutegemea kwamba ntakuja kuvila. Inshu ipo hivi nimeenda kwa jamaa yangu kumtembelea nikamkuta yupo na Kimwana wake, ile nimefika tu sijui...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

    Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni. Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari ifike wakati mseme sasa basi

    Ukandamizaji wa vyombo vya habari nchini haujaanza katika utawala wa Rais Magufuli. Nakumbuka kipindi cha Rais Kikwete, mnamo mwaka 2012, gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa, na halijafunguliwa mpaka leo hii. Mwaka 2013, Magazeti mawili makubwa, Mwananchi na Mtanzania yalifungiwa kwa muda kwa siku...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nyalandu basi lako litatumika kutafuta wadhamini wa Lissu?

    Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ni upumbavu kusema Tanzania kuna COVID-19 bila kuwa na takwimu, basi iwe pia ni upumbavu kusema Tanzania hakuna COVID-19 bila takwimu

    Sio nia yangu kupingana na serikali yangu, lakini acha ukweli uwe ukweli. NIlishasema humu JF kwamba, kama viongozi wetu wanataka tuamini kwamba hatuna tatizo la COVID-19 nchini na hata kuutangazia ulimwengu kwamba hapa kwetu Tanzania tuko salama kabisa, basi angalau kwa wiki mbili mfululizo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama katika uongozi wa miaka mitano ya Bunge Magufuli alichoona cha maana kwa Ndugai ni kuundwa Kamati ya Madini tu, basi Ndugai hafai kuwa Spika

    NImeshangaa sana. NImeona upungufu mkubwa kwa upande wa Magufuli, kwamba katika sababu ambazo angependa Ndugai arudi kuwa Spika baada ya uchaguzi, ya maana kuliko zote ni hiyo ya kuunda kamati ya madini. Kwangu ina maana Magufuli kimsingi anakiri kwamba hakuna cha maana alichofanya Ndugai...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 NEC kama 'mlivyoonekana' leo basi naomba tarehe 8, August 2020 Lissu akija hapo niyaone pia haya yafuatayo...

    1. Dkt. Mahera uvae Suti Kali kuzidi hii ya Leo na ukamsubiri Lissu pale pale 2. Niwaone Watendaji wote wa NEC wakiwa na Nyuso za Furaha kama za leo 3. Niwaone Mwenyekiti ( Mtani wangu wa Kihaya ) na Mkurugenzi ( Poti wangu kabisa wa Kizanaki ) mkiwa Wanyenyekevu mno 4. Niwaone Watendaji wote wa...
  9. JamiiForums Tanzania Dar, Mlimani City: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 04/08/2020

    Salaam Wakuu, Leo Vikao vya Chanma cha CHADEMA vinaendelea Jijini Dar es Salaam. Na leo ni mkutano Mkuu wa CHADEMA. Tutawalea Updates ya kile kitakachojiri kutoka Mlimani City. Leo Tarehe 4, Agosti 2020, Mkutano Mkuu wa Chama una kazi ya kutekeleza kazi zake, ikiwemo “kuteua mgombea wa Urais...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kaulimbiu mpya ya CHADEMA ni "Sasa Basi"

    "SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI. Ngoja tuone. Inaonyesha dalili za kukata tamaa. Maendeleo hayana vyama!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza: Kama Lowassa angeshindanishwa mwaka 2015 pale CHADEMA basi Dkt. Slaa angeshinda

    Kwa namna nilivyoushuhudia mtanange wa Tundu Lisu na Lazaro Nyalandu pale Mlimani City jana nashawishika kusema hata 2015 CHADEMA ingefanya kura za maoni Dkt. Slaa angeibuka kidedea. Nilichogundua wajumbe wa CHADEMA wanapenda watu wenye sauti ngumu ngumu na kali kali. Nyalandu alijisahau...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama si uswahiba basi ana kifundo chake maana hakuna Waziri mbovu kama Kamwelwe

    Ndio hivyo! MV Nyerere - ajali iliyopoteza maisha ya Watz zaidi ya 100. Ni jambo la kusikitisha na ingawa lawama zikatupwa huku na kule, mwajibikaji mkuu akaachwa, akabaki kuwawajibisha wengine. Daraja la barabara ya Dar - Dom pale wilayani Kilosa likabomoka na kusababisha adha kubwa kwa wiki...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ukimtongoza Mwanamke ndani ya Ndege anakukubalia kiurahisi mno kuliko ukimtongoza katika basi?

    Kwani Ndege ina 'Hirizi' gani kwa Mwanamke hadi hakukatalii na Basi lina ' Nuksi ' gani kwa Mwanamke hadi anakuwa Mgumu Kukubalia Upendo?
  14. JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kujibu swali la dizaini hii basi haufai kufanya kazi Usalama wa TAIFA ( Intelligence Officer)

    Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA. Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna...
  15. JamiiForums Tanzania Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

    Habari wakuu! Huyu Makonda aliyesifiwa kukamata wauza madawa ya kulevya na kutikisa jiji na nchi aliongezewa ulinzi ghafla na Rais(serikali) mpaka pale hali ilipotulia. Baadaye aliendelea kuwa na ulinzi kiasi kutoka Vyombo mbalimbali vya Ulinzi vya mkoa wa Dar es Salaam mpaka alipoachia...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, awashushua TAKUKURU na Watendaji wote wanajipendekeza kwake na kupeleka miradi ya Maendeleo Chato

    “Mnasema mnataka kujenga Ofisi ya TAKUKURU Chato nawashangaa, TAKUKURU Chato wana Ofisi ya Wilaya tuliwapa Jengo tena la ghorofa lipo juu milimani kwenye shamba la Marehemu Baba yangu ambalo alinyang’anywa, msizungumze mambo kwa kunifurahisha mimi na kujipendekeza this is not the way”-JPM wakati...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa nyumbani tupo? Tujuane basi

    Habari wadau wa rika zote. Asante jamani kwakuwa sehemu kuntu ya kuja kupiga soga kujifunza, kuelimika na kupata uchambuzi yakinifu kutoka kwa wadau na wataalamu mbalimbali katika fani tofautitofauti. Hivi unajuwa kuwa kuna wale mabinti wanaozalia nyumbani? Ndio yaani wanaozaa bila ndoa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Kama ni kweli basi Kamati ya Roho Mbaya ya CCM hasa Jimbo la Kigamboni mkimaliza Kumlima Mtu mnione

    Sasa ni rasmi kuwa ' Hesabu ' za nyingi kwa ' Mpuuzi ' Mmoja ' Kumalizwa ' kabisa na Umaarufu wake unaenda ' Kuzimika ' ghafla ndani ya nchi ya Tanzania na kubakia Mtu wa Kawaida sana tena pengine hata Mimi ' Popoma ' GENTAMYCINE nitamzidi Umaarufu kwani ukiwa ' Maarufu ' tu JamiiForums hapa jua...
  20. JamiiForums Tanzania Basi la Kyela Express lapinduka, wawili wafariki

    Kwa mujibu wa ITV basi hilo lililotokea Dar es Salaam kwenda Kyela limepata ajali kwenye njiapanda ya Lutengano maeneo ya Ushirika wilaya ya Rungwe , usiku wa kuamkia leo , ambapo taarifa za awali zinaonyesha kwamba kuna Majeruhi 28 na vifo viwili Mungu ibariki Kyela
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…