Nyalandu basi lako litatumika kutafuta wadhamini wa Lissu?

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
653
1,058
Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.

Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.

Stay tuned!
 
Habari ndo iyo! Mitambo yote ya Nyarandu inahamia kwa Lissu.

Ulimwengu utaenda kushangaa miujiza ya Mungu inayoenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Pamoja na limited resources kwa Chadema watu wanaenda kuchangia kampeni yao kwa kiwango cha juu Sana na Magufuli anaenda kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa mwaka huu!
 
Sawa Mwanasheria na Mwanasayansi Lord Denning!
 
Karibu sana Ndugu. Usitie shaka. Kijani hawana pa kutokea mwaka huu. Historia inaenda kuandikwa na huyu mpakwa mafuta aliyeponywa risasi 16 na Mwenyezi Mungu.

Mungu hawezi kukuponya risasi 16 ili uje kuwa wa kawaida tu. Huyu mtu Mungu anamfanya kuwa raisi wa Tanzania mwaka huu!!
 
Polisi mnakwama vipi mbona Lissu anatembea na maandamano yasiyo na vibali na muda wa kampeni bado?
 
Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.

Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.

Stay tuned!
Ww Ni sisiem maandaz na watu km nyinyi hampasw kuaminika popote mtakapoenda hususan kwa huyo jamaa ambaye aliwah gongwa na nyoka akiona kichaka tu lazima kifyekwe.
 
.
FB_IMG_1572697051230.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Lisu alisema analeta Basi lake la kampeni muulizeni Hilo Basi alilopewa na wazungu aliligeuza daladala au ? Hadi alitake la Nyalandu?
 
Utabr
Habari ndo iyo! Mitambo yote ya Nyarandu inahamia kwa Lissu.

Ulimwengu utaenda kushangaa miujiza ya Mungu inayoenda kufanyika Tanzania mwaka huu. Pamoja na limited resources kwa Chadema watu wanaenda kuchangia kampeni yao kwa kiwango cha juu Sana na Magufuli anaenda kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa mwaka huu!
Utabiri mzuri; delete ccm Oct 28
 
Nyalandu anatia hurumaaa. Nilikutana nae hapa iringa na basi lakeee amelipamba mapicha ya chadema baaalaaa.

Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.

Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.

Stay tuned!
 
Polisi mnakwama vipi mbona Lissu anatembea na maandamano yasiyo na vibali na muda wa kampeni bado?
wanatafuta sababu ili wapate cha kusema baada ya uchaguzi, sasa polisi waachie tu tutamalizana nao kwenye box la kura hao.
 
Polisi mnakwama vipi mbona Lissu anatembea na maandamano yasiyo na vibali na muda wa kampeni bado?
Usiwe na wasiwasi JPM atashinda tu. Muache Lisu awape elimi ya uraia watanzania wajitambue.

Kifo cha CCM ni 2025 baada ya JPM kumuweka Bashite kuwa mrithi wake.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Ni MCCM haswa mie. Hata hivyo ninaomba kwa heshima na taadhima Nyalandu fanya kama ulivyofanya mara ya kwanza - zoezi la Lissu liwe bora zaidi. Lile basi libadili liandikwe jina la Tundu Lissu - tembea naye Lissu kutafuta wadhamini. Msiache kuja Shinyanga - hata mkiishia mjini mimi na wenzangu toka Idukilo tutakuja kumdhamini Lissu.

Tupo zaidi ya 20 na moto utawaka kabla ya tarehe 28 Oktoba, 2020.

Stay tuned!
Nani alikwambia lile basi ni la Nyalandu?
 
Back
Top Bottom