Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,062
- 285,676
Kwa mujibu wa ITV basi hilo lililotokea Dar es Salaam kwenda Kyela limepata ajali kwenye njiapanda ya Lutengano maeneo ya Ushirika wilaya ya Rungwe , usiku wa kuamkia leo , ambapo taarifa za awali zinaonyesha kwamba kuna Majeruhi 28 na vifo viwili
Mungu ibariki Kyela