basi

  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hujafa maandamano ya 29/10 basi wewe ni key board warrior tu, msituchoshe

    Wanajijuwa, kazi zao kuchochea maandamano, wanakufa vijana wasiojielewa wao wanabakia kuandika threads tu za kuonyesha maandamano yalivyofanikiwa. Hawa hapa; Mshana Jr, brazaj, Carlos The Jackal, Lord Denning, Kalamu, CHIEF PRIEST, Seran, Mayor Quimby, The seer, Mbaga Jr, JokaKuu, Mzee...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mpina shuka hilo basi, tunakuhitaji kwenye mjadala wa Kitaifa

    Watu wa karibu na Mpina, mwambieni/mshaurini ajitenganishe na Zitto na ACT haraka sana. Tarehe 30 tutahitaji kuunda baraza jipya la mageuzi kwa ajili ya mustakabali wa Tanganyika, waliojihusisha na Uchaguzi kwa kiwango kikubwa wanatumika na hili kundi ambalo wengi wao watakuwa kizuizini. Jana...
  4. Chibike

    JamiiForums Tanzania Kama hamtaki watu waandamane basi fanyeni hivi

    Nchi Ina pesa sana hii. Watu Wana machungu. Kikundi Cha watu wachache ndio wanaofisadi nchi huku wengine wakilia shida, jobless, matibabu, chakula, makazi,..watu wanaona mtu mmoja ananunua gari za bilioni ... Kama mnataka watu hao wasiandamane basi tatueni shida zao. Kila mwenye akaunti NMB...
  5. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Kuna ajali imetokea ya basi na Costa Bahi

    Kuna ajali mbaya imetokea ya Basi na Costa huko Bahi. Watu ni wengi sana. Stay tuned.
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njaa imetanda Sudan huku wakiuana na kuchinjana hadi basi tu, binadamu amechafukwa hana huruma

    Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama wamemnasa Polepole, basi RIP

    Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao. Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha, uwezekano wa kuwa marehemu ni mkubwa. Tujikumbushe walivyommaliza: Edward Sokoine, Horace Kolimba...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kama Tunaamini kuhusu deep state basi Tusimlaumu Mama bali tumuhurumie, na Tumsaidie

    Imani ya Deep state imekuwa sana. Maana ya Taifa kuwa chini ya watu wasiojulikana(deep state) liko nje ya uwezo wa Raisi. Inaaminika ata tawala za ulaya zipo chini ya deep state. Kwanini nasema hivyo. Moja vaa viatu vyake. Deep state ni kama Shetani mkuu. Atakupandisha juu ya mlima mrefu...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule Mkandamizaji atakua amepata Nguvu kwa 100% kufanya atakalo bila wasi wasi

    Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule adui uliekua unamtisha na maandamano Utakua umempa nguvu kwa 100% ya kuwafanya atakavyo maana atajua nyie ni debe tupu.Na atazizoea kelele zenu mpaka 2030 atafanya atakavyo yeye.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama huyu mwalimu kaonekana katili basi walimu wa zamani wa Manyara ranch primary wangepelekwa the Hague kabisa

    Kwa wale tuliozaliwa na kukulia Arusha na Manyara lazima wengi wetu tunaijua au kuisikia shule ya msingi Manyara Ranch ilivyokuwa enzi hizo. Miaka ya 90 nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi hiyo shule ilikuwa kama vile shule maalum ya watoto watukutu... ikumbukwe shule ilikuwa porini makuyuni...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Abiria warukia madirishani baada ya basi la mwendokasi kukamatwa na polisi kisa kuzidisha abiria

    Abiria wanaotumia usafiri wa Mwendokasi wameshuka kupitia madirishani katika Kituo cha Magomeni Mwembechai, jijini Dar es Salaam, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kusimamishwa na polisi kwa madai ya kuzidisha abiria kupita kiasi. Tukio hilo lilitokea leo asubuhi, majira ya 08:25, ambapo...
  13. jikuTech

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Hesabu rahisi (Fedha,idadi,muda) za kila siku zina eleweka , Basi hii Hapa ni Mbinu rahisi ya kuelewa Programming Kupitia Websites na Mobile App

    Programming tafsiri rahisi ni kutengeneza programu ,kwamba baada ya kufanya programming ndio inapatikana programu ya kompyuta, undani wa kujua programming ni kufahamu sayansi ya kompyuta. LAI : Maelezo haya ni ya kiswahili lakini kwa neno ambalo hauja lielewa kabla ya kuendelea chukua muda...
  14. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kuna vijana fulani humu basi wakionaga huu muunganiko huwa wanatetemeka balaa

  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

    Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Mwamba kajichanga pesa za uganga, huyooo! Sasa hivi kanunua basi. MGANGA HAJIGANGI KWELI??🤣

  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Kuna mwamba humu aliwahi kusema hii benki iliondoka na kimei sasa ndio namuelewa.
  18. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nafikiri member kyagata kama hafanyagi makusudi basi anahitaji msaada wa sexual therapist

    Huyu jamaa makala yake ni ngono mwanzo mwisho, had post unakuta ya saa mbili saa tatu asubuhi yeye ni sex tu.
  19. To yeye

    JamiiForums Tanzania Tujenge kabisa wanajf

    Mimi nitakuwa mama mchungaji,nipo serious na hili tafadhali.... Ili nisiwakere mtakuwa mnanipangia nini Cha kuhubiri sikuhiyo ...ilimradi nanyi msinikere,mkileta mambo meusi naharibu🤒 Kanisa liwe Dar es salaam maana nahamia huko soon.Tafadhali nipo seriously kabisa 🙏🙏🙏 Am in love with my...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
Back
Top Bottom