basi

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria wa basi la Nayrah T 103 EGM Arusha to Dar es salaam hatujatendewa haki

    Basi letu limekamatwa Mlandizi kwa kosa la ku-overtake. Tupo kituo cha polisi tangu saa 11 jioni hadi sasa saa 1 usiku, bila kupewa taarifa yoyote kuhusu kinachoendelea. Kwenye basi kuna watoto na wazee ambao wanapata shida. Tunaomba wahusika watusaidie na kutoa taarifa kuhusu hatua...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Kama ni ujumbe wa kitisho basi tumtie moyo na kumuombea Siha njema...kazi hii inayo majaribu mengi sana

    Bila shaka ni ujumbe wa kitisho kwake kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake. Tumpe moyo kuendelea kusimama na nchi yake ila anayemtisha asisamehewe na umma wa watanzania kamwe.
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tuna askari dhaifu sana. Kama huyu Agonza licha ya kuwa afya mgogoro ila kamtandika askari basi tunalindwa na watu dhaifu sana.

    Sioni faida ya hawa mapolisi kupiga kwata na mazoezi kila uchwao kama mtu tu wa kawaida ambaye amedhoofika vile amemtandika kisawa sawa askari. Najiuliza , je angekuwa mtu wa mazoezi / body builder huyo askari angekuwa na hali gani?
  4. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani baya uliwahi pitia kwenye Maisha Kila ukifikiria jibu linalokuja ni "ndio basi Tena" .Lakini ukalivuka

    Mfano unapoteza kazi,madeni,huna hata mia mbovu,unahit rock bottom huku una wategemezi Na pengine unaingia kwenye ulevi ama uraibu wa madawa unageuka teja Kiasi kwamba ukiangalia Hadi kuinuka Tena kurudi kwenye mafanikio ni safari ndefu ngumu Lakini Cha kishangaza umesonga mbele na kuinuka Tena...
  5. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwa kupitia TAJIRI kupitia kuajiriwa basi usisome kozi ya UDAKTARI

    Ni kweli kuwa wanafunzi wanaochaguliwa kusomea udaktari wengi wao huwa na ufaulu mkubwa/mzuri wa masomo yote hasa ya sayansi kwa kifupi ni wale ambao kichwani zipo ama ni wale waliokuwa vipanga huko masekondari,ndipo ukienda vyuo vya afya hasa kwa zamani ambapo vyuo vya afya vilikuwa viwili tu...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliwahi kusema kuwa mwanamke akikasirika basi mwanaume ampe pesa na mwanaume akikasirika basi mwanamke ampe good sex

    Unaweza kuchukulia poa huu msemo Labda ukaona umekaa secular sana Ila mwanamke yoyote alie katika household ambayo kuna ukata mara nyingi ni mtu wa kuvuta vuta mdomo sana, alafu itokee bwana ake amemuudhi, bwana nae kapiga pini, alafu mdada akutane na vijana wa crown wenye uwezo wa kukidhi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Basi la Abood lagongana na IST wakati dereva 'aki-overtake', Watu wanne wafariki Dunia

    TAARIFA KWA UMMA AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju Sokoni Kinondoni Dar es Salaam basi lenye namba T 235 EMJ aina ya Yutong mali ya Kampuni ya Abood...
  8. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akisema, "Mimi kama...", anamaanisha nini? Basi mzee mwenzenu yamenikuta 🤔

    Mimi kama... 🤔 Nilimchukia baba yangu baada ya kuniambia, "Mimi kama baba yako nina wajibu wa kukupa adhabu ukikosea...", mimi nikadhani labda yeye si baba yangu wa kweli. Leo asubuhi, baada ya simu yangu kulia kwa sauti ya juu kanisani, "mchungaji aliniambia, Mimi kama mchungaji toka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania KERO Video: Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?

    Inasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho za watu wasio na hatia. Yaani jamaa icha ya kushtukiwa na kuelezwa bado anamshipa wa kujibizana kwa...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

    Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu. Nyumba tunazotilia shaka: Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nimechoma account nne kwenye Forex, rasmi sasa nasema basi!

    Bora niweke focus kuongeza competence kwenye career yangu. Forex unapiga hatua tatu mbele kisha nne nyuma. Sio discipline wala strategy kitakachokuokoa.
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi ana mpambe/mtu/mlinzi nyuma yake, basi jua hayuko huru

    Nimetafakari juu ya ulinzi binafsi wa viongozi wetu, hasa wabkitaifa. Ukiona kiongonzi ana mpambe au mmlinzi au mtu yeyote nyuma yake, basi ujue hayuko huru. Huyo ni mateka wa system ambao iko chini ya Idara Kuu ya Usalama.. Hao wapambe au walinzi, si tu wako gado kumlinda kiongozi, lakini...
  13. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli basi uyu mama kavunja rekodi ya Tanganyika.

    Ilianza kama utani kwenye Bandari za Tanganyika,Mbuga n.k Leo naona za Nchimbi ,kama ni kweli itoshe sema mstari mwekundu kwa Tanganyika umevukwa , hii ni history chafu kuwa katika tafa hili, Mzee Warioba wenda hali yake sio nzuri kama baba wa Taifa. Ni wakati sasa Mungu kuamua Ugonvi kama...
  15. John Sin

    JamiiForums Tanzania NIGERIA: Katika wazazi 4 wanaopima DNA basi mmoja kapigwa, Yani analea goli la kidume mwezake

    Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia 23.6 walikuta hapana, sio watoto wao. Mwaka jana ilikuwa 24%, na 2023 ilikuwa 26.1%. Kwa hiyo...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna muwekezaji afungue hospital ukanda wa Ubungo, Kimara, Mbezi yote basi hata Kibaha

    .
  17. O Diafro

    JamiiForums Tanzania Unapolalamika kulea mimba, basi mhurumie Nii Ordatey Lamptey

    "Nilipokwenda kuchukua majibu kwa daktari aliniuliuliza ni miaka mingapi tuko pamoja[kwenye ndoa], nikamwambia miaka 21. Kisha akaniambia moja kwa moja: 'watoto siyo wako'. Nilikuwa natetemeka...". Aliongea Lamptey aliyeshindwa kuyazuia machozi mara kwa mara katikati ya kipindi cha Tv, cha...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kama sio Football Video Support (FVS) basi wachezaji wawili wa Simba wasingepewa redcard

    Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga: Tunamtafuta ndugu wa Mtoto ambaye Mama na Kaka yake walifariki katika ajali ya basi

    TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo alinusurika katika ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 20 Juni 2026 eneo la Wendele, iliyohusisha gari la...
  20. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Tilisho akamatwa kwa kuagiza kuvunjwa kwa mnyororo uliofungwa kwenye basi lake. Chalamila amsamehe

    Mkurugenzi wa mabasi yanayofanya Dar-Arusha, John Tilisho akamatwa kwa kuagiza kukatwa kwa mnyororo kwenye moja ya basi zake Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam...
Back
Top Bottom