Nyota wa soka wa Senegal, Sadio Mané, aliwahi kufichua ukweli wa safari yake yenye maumivu, upinzani na ndoto kubwa kabla ya kufanikiwa katika soka la dunia.Mané anasema kuwa akiwa mdogo, mama yake alimwambia wazi kuwa kucheza mpira ni kupoteza muda, akiamini kuwa hakuna njia ya mtoto wa...
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.
Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.
Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine.
Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu...
Unajiuliza hawa machawa huku mitaondaoni ni akinq nani kumbe ndio wale walio andamana basi unawadharau sana hao watu.
Kila mmoja anajua kuwa wao ni njaa wameokotwa okotwa huko ila wenyewe wapo serious wakijitoa akili kwamba hatujui kuwa ni wapumbavu walio okotwa huko.
Hawana elimu, hawana...
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi...
J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
Hamjambo wote!
1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO?
2. Jambo Hilo ndilo...
Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana.
Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu imenasibishwa na uislam. Hata hivyo wapo wakristo katika hizo nchi za kiarabu wanaitumia salamu hii...
1: JORDAN PETERSON
https://youtube.com/shorts/bUynwmuTZA0?si=eoQeDd8uByUwS1ar
2: BEN SHAPIRO
https://youtube.com/shorts/fBLCnVkJ5vY?si=7Y48SE_E2PL9sukM
3: CHARLIE KIRK (RIP)
https://youtube.com/shorts/dl8azReaeks?si=CAUenD-4wRm84pm3
4: JOE ROGAN...
Inasikitisha sana kuona muuaji bado anadunda tu na afya na kiburi juu.
Mtu ametengeneza maadui zaidi ya 60 million, wanaomuombea kifo kila siku.
Mtu ameteka na kuwapoteza watu wa rika zote waziwazi bila kificho.
Na mtu huyo hatuna la kumfanya hata kwa umoja wetu na hasira zetu, Na Mungu...
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha.
Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie.
Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
Baada ya serekali kuwaokoa wasiendelee na vipigo vikali kwa kufungia hizo kampuni za LLB na FIC kisha kuwakamata waliokuwa wakiendesha hizi kampuni za kitapeli ndio basi tena?
Ukimya ni mwingi. Nini kinaendelea?
Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?.
Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea.
Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na idara ya uhamiaji kama Mtanzania uwezi kupewa kesi uraia zaidi ya Burundi.
Kwa Burundi ndio nchi ambayo...
Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki
Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni
Waafrika waliuzwa kama njugu
Fedha walizouzwa Waafrika...
Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano.
Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
Huyu Peter Madeleka huyu, sijui kwanini anaongea kwa mafumbo (rhetorically) badala ya kusema kwa uwazi tu ili Hamza Johari na Nassoro Katuga waelewe kirahisi🤔🤔😀😀
Fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu............................(malizia)
#D9 #SAMIAMUSTGO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.