figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,044
- 64,164
Dakawa mzani Basi la happy nation namba T 452 EDW limelala. Sababu ni mvua.
Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana.
Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama wanataka kuchomoa beteriš¤£š¤£
Tusubiri Polisi kwa habari zaidi.
Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana.
Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama wanataka kuchomoa beteriš¤£š¤£
Tusubiri Polisi kwa habari zaidi.