basi

  1. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kama unaweza kulipwa billion 2 uandamane basi maandamano yanalipa guys tupeane connection

    Ajira ni ngumu hiyo pesa huwezi kuipata hata uunganishe viinua mgongo vya walimu 100 Ni pesa ndefu.. Naomba GenZ wenzangu nipeni connection Kumbe mnalipwa pesa ndefu hivi Binafsi mimi hata milioni 500 zinanitosha
  2. Pakome

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Gen Z hawapoi wamesema kama demands zao hazitatimia D9 basi watakuja na J12

    Hili Nchi sijui kama itakuja kutulia. Hapo naamini maneno ya prof Lumumba wa Kenya aliyesema" In the history of any country if there's been death it will never be the same again" Gen Z wakiamua jambo lao wanafanya so wamekuja na time table kuwa kama maandamano ya D9 hayatafikiwa Marengo Yao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama watawala walijua wanaua mbegu ya ukombozi na kuizika basi ndiyo inachipua kwa kasi

    Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana. Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Haki tunazungumzia haki kwa wote. Serikali nanyi mnaihitaji haki kama sio leo basi ipo siku

    Hamjambo Wote! 1. Sisi Watibeli tunapopigania Haki hatupiganii haki ya kundi fulani au kundi moja pekee. Tunapigania Haki kwa wote. Kwani Haki ni jambo la binadamu wote. 2. Huenda jambo hilo huweza kuchukuliwa ndivyo sivyo na baadhi ya watu kwa kuona labda tunatetea upande fulani au tuna kile...
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Serikali chutama kama ambavyo mnaleta mashaidi wa Siri basi vumilia CNN kuhoji madaktari Kwa siri

    Msigwa ameumia saana CNN kusema waliwahoji madaktari wa hospital ya Seketule(I am not sure with spelling) Kwa Siri na kutoboa Siri ya madaktari kuambiwa wawaweke mochwari majeruhi ata kama hawajafa. Yaani serikali ilkuwa inaona Sawa kuja na mashaidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu, lakini inaumia...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna wataalum wa nguvu za asili wenye kuweza kulipiza mabaya kwa mabaya basi walipize kwa uonevu unaotokea Tz

    Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo. Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanganyika msipojikomboa sasa, basi tena

    Hapa sizungumzii mambo ya chama, nazungumzia icon muhimu ya Tanganyika ambayo Nyerere aliitupa baharini. Kuna baraka watu wanashindwa kuzipata kwakuwa Mungu akituma anakuta hakuna adrees ya kueleweka hivyo zinakuwa suspended. Kusubiri CNN au BBC wakukomboe ni mstumizi mabaya ya akili. 2015...
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kama Tume inapewa maagizo mchana kweupe ni jibu tosha. October 29 yalikua ni maagizo tufunge Mjadala

    MUNGU ni mkubwa sana kama kuna mtu anaweza kukaa anasubilia majibu ya tume kwamba yanaweza kuja na kitu cha maana huyo inatakiwa kuwahi Mirembe hospital mara moja na kupata matibabu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi fukuzia basi kwa boda au Taxi baada ya kuachwa stendi ?

    Ilishawahi kukukuta ?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ulisema uchaguzi umekwisha, basi ondoa mapicha yako mitaani, pleaseee!

    Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please! Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
  13. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Mwamposa aambiwe ukweli kuwa maandamano si dhambi mbele za Mungu

    Mwamposa amesema maandamano yanaondoa utukufu wa Mungu! Nina uhakika Mwamposa hata Bibilia hasomi kama tunavyojua wote wenye akili timamu kwa pamoja wetu kuwa huyu Mwamposa ni Tapeli. Kwenye agano la kale tunasoma wana Waisraeli (Musa&Haruni)walimfuata mara kadhaa farao awape ruhusa waende...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kama Ikulu, Polisi na Idara zote za Serikali zinafunga “comments”, basi Umma umeshinda

    Kama kuanzia huyo “Rais” mwenyewe na Ikulu yake wakichapisha chochote mtandaoni wanafunga comments, maana yake Umma umeshinda. Jeshi la Polisi, Idara, viongozi binafsi na taasisi zote ambazo zinalalamikiwa kwa dhulma na maovu pia wanafunga comments, kuanzia Msemaji wa Serikali hadi akina...
  15. Keynez

    JamiiForums Tanzania Sawa mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye mamipira, basi hata kusimama kuimba Wimbo wa Taifa?

    Labda mmeshindwa kujizuia kwenda kwenye hayo mamipira yenu. Labda ni addiction mnayoshindwa kuizuia. Labda wengine mnaona ni sehemu ya "kusahau" kwa muda machungu ya maisha. Sawa tunakubali. Ila hata kujiorganize na wote kwa pamoja kusimama wakati mpira unaanza na kuimba Wimbo wa Taifa? Hili...
  16. toobiter

    JamiiForums Tanzania Kwako madam President: Watu wasipokuelewa basi jaribu kuwaelewa

    Kuna mtu aliwahi kusema "A great man shows his greatness by the way he treats little men" -Wewe ndiyo "great man" kwa sasa na hilo hakuna namna ya kulikwepa kulikiri. -Kwa sasa Kila mtu anasubiri kuona how you treat your "little men" Sio kwa tusi,kwa kashfa au dhihaka ila ni kwa kanuni ya...
  17. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kama mnadai kwamba waandamanaji walianza wizi na uharibifu wa mali ndio wakapigwa risasi basi mafisadi wote nao tuwapige risasi hadi kwao

    Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao. Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
  18. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama hujafa maandamano ya 29/10 basi wewe ni key board warrior tu, msituchoshe

    Wanajijuwa, kazi zao kuchochea maandamano, wanakufa vijana wasiojielewa wao wanabakia kuandika threads tu za kuonyesha maandamano yalivyofanikiwa. Hawa hapa; Mshana Jr, brazaj, Carlos The Jackal, Lord Denning, Kalamu, CHIEF PRIEST, Seran, Mayor Quimby, The seer, Mbaga Jr, JokaKuu, Mzee...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mpina shuka hilo basi, tunakuhitaji kwenye mjadala wa Kitaifa

    Watu wa karibu na Mpina, mwambieni/mshaurini ajitenganishe na Zitto na ACT haraka sana. Tarehe 30 tutahitaji kuunda baraza jipya la mageuzi kwa ajili ya mustakabali wa Tanganyika, waliojihusisha na Uchaguzi kwa kiwango kikubwa wanatumika na hili kundi ambalo wengi wao watakuwa kizuizini. Jana...
Back
Top Bottom