Nchi Ina pesa sana hii.
Watu Wana machungu. Kikundi Cha watu wachache ndio wanaofisadi nchi huku wengine wakilia shida, jobless, matibabu, chakula, makazi,..watu wanaona mtu mmoja ananunua gari za bilioni ...
Kama mnataka watu hao wasiandamane basi tatueni shida zao.
Kila mwenye akaunti NMB...