basi

  1. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Basi la kwenda Dodoma

    Habari za wakati huu wadau, poleni na majukumu ya kufuatilia mkataba na maandamano. Kwa yeyote anayefahamu kama kuna usafiri wa kutoka Dar es Salaam to Dom siku za Jumamosi alasiri namaanisha kuanzia saa tisa na kuendelea anijuze plus jina la basi.
  2. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa wa kubadili jina la Tanganyika

    Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR. Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya...
  3. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Furaha kutoka Gerezani, huzuni kufika Nyumbani

    Baada ya kuiona habari hii nikaona acha nivae uhusika. Ya watuhumiwa wa ugaidi kuachiwa huru baada ya miaka tisa ( 2014-2023). Katika hali ya kawaida tu mtu anapotoka kwenye matatizo basi roho yake na nafsi yake usawajika. Tokea 2014- 2023 ni miaka 9 imekatika wale walioingia gerezani kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe walishasaini siku nyingi tu!!!

    Habari ndio hio na kuna documents kabisa nimeziona twitter kwa Mdau mmoja zikionyesha hivyo na Mama anasomeka katika moja ya hizo documents. Halafu kumbe hii kitu ilifanyika tangu mwaka jana na Mjengoni ilikuwa ni kukamilisha ratiba tu. Kazi tunayo!!
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wydad Athletic FC wakiwa Mabingwa wa CAFCL basi Klabu ya Simba SC inapaswa Kuheshimiwa mno Tanzania

    Ukiwa na Akili timamu utanielewa kwanini nimesema hivi ila ukiwa Masikini wa Fikra / Akili hutonielewa kamwe. Bado Simba SC itaendelea kuwa Klabu Kubwa na yenye Hadhi ya Juu kuliko Timu nyingine yoyote hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki nzima.
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

    Huku kitaa watu hawaelewi kabisa. Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari. Ushauri. Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameitwa kazini

    Wadau samahani naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameshaitwa kazini au kama wapo basi naomba mawasilia🙏
  8. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  9. ukara

    JamiiForums Tanzania Niseme nini basi?

    Mithali 29:7-8 7: Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue 8: Watu wenye dharau huwasha mji moto; Bali wenye hekima hugeuzia mbali ghadhabu
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Duh! Hawa waarabu wa Sudan wameamua kuitia nchi yao kiberiti, wanapigana mpaka basi

    Bado imeshindikana kuwapatanisha, ni fulu mnyukano kwa kwenda mbele tena wana mizuka ya kiwaki waki..... A massive fire erupted at the gas depots in southern Khartoum on Wednesday, following intense battles over the control of the Yarmouk ammunition factory involving the use of heavy weapons...
  11. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa Manzese Kwa Mkwere napiga vyombo, wadau njooni basi tuliunge

    Oya wahuni tusogee mitaa hii tupige Vitu vya baridi mpaka majogoo, njooni tu join wadau wa jamiiforum tujuane zaidi Fika manzese kituo kinaitwa manzese darajani uliza bar ya mkwere, panaitwa Kwa mkwere nipo humu hata kama huna pesa we njoo nitanunua mabapa matatu ya KVANT
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu tu mabasi kusafiri usiku na mchana sasa hivi hakuna abiria anasafiri na mamilioni cash kwenye basi kama zamani, ziko kwenye akaunti

    Zamani kabla mifumo ya fedha kuimarika watu wakikuwa wakisafiri na mamilioni ya pesa wakija Dar kununua chochote au kuuza chochote Sasa hivi watu husafiri tu na hela ya kula njiani tu pesa zote huwa kwenye akaunti Hivyo tishio la kuwa abiria watavamiwa na kuporwa dogo mno. Hata mporaji hawezi...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nimeota mtu kapanda basi na kuku aliyekufa

    Jamani nimeota ndoto nipo kwenye basi akapanda Mzee fulani na kuku, nilipomuangalia yule kuku kumbe alikuwa amekufa. Nikamuuliza mbona umebeba kuku mfu, akawa hana majibu. Basi abairia wengine wakawa wanampa vipande vya Misaafu kuhusu kibudu, jamaa akagoma kabisa akasema anapelekea familia.😭...
  14. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kumfata mwanamke kuongea naye, basi jiwekee haya ma 5 akilini ili kuondoa woga

    Hili swali naulizwa sana, “nawezaje kumfata mwanamke na kuongea naye?” mana naogopa. Mara nyingi huwa ni uoga wa utaonekanaje ukimfata alafu akakukataa. Wengine wakaniambia …haina haja ya kumfata mwanamke usiye mjua kuongea naye. Utakutana na wengine mahali unapokua mara kwa mara. Alafu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Basi mkikutana na vijana wa aina hii muwakumbushe mambo haya Matatu

    Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa 1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa. 2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi . 3. Siasa ni mchezo mchafu waachwe wanao uweza waucheze. Mwisho huyu mwanaharakati akumbushwe ni bora ajifunze kwa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

    Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tunabaguliwa kiaina flani hivi naona sema basi tu.

    Sisi ambao tunakuwa sana nje ya nchi tukirudi tunabaguliwa sana. Sababu ya pamba tunazopiga na pesa. Yaani hata mademu unaona kabisa wanatubagua. Wanataka sisi kwetu wawe hivyo na kwa ninyi wawe vile. Serikali iangalie suala la uraia pacha pia. Humu JF wengi ni Watanzania tunaoishi nchi za ukweli.
  18. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Niko kwenye basi lina mende balaa sheria zinasemaje

    Natoka Tanga kuja dsm niko kwenye basi lina mende balaa zinazunguka kwani sheria za usafi ziko vp
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kama mnayoyasema ni kweli, basi muombeni msamaha marehemu Benard Membe

    Ametutoka huyu mwamba na sauti zinasikika kutoka pande zote za nchi ya kwamba huyu mtu alikuwa hazina ya taifa ni kweli. Inawezekana alikuwa hazina lakini kwa makusudi mliamua kumpuuza..membe kama kweli hizo sifa mnazompa ndizo basi mliamuaje kumpiga benchi kijana wa kitanzania na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama mlikuwa hamlijui hili kuhusu Marumo Gallants FC basi leo mlijue

    1. Kwao huwa hawafungiki na Wageni 2. Kwao hucheza kwa Spidi ya Kutukuka na isiyoelezeka 3. Uwanja wao wa Nyumbani ni mkubwa na mpana kuliko mbovu wa Jangwani na wa Watalii wa Kigamboni 4. Wakiwa Kwao wana Fitna za Kisayansi. 5. Usithubutu Kuwaroga kwani licha ya Wao Kuujua huo Uchawi ila...
Back
Top Bottom