basi

  1. RingaRinga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ajali ya basi la Kimotco linalofanya safari kati ya Arusha - Mwanza

    Nimetumiwa ujumbe na mtu anayedai amesafiri na binti yangu leo na gari imepata ajali maeneo ya Babati na kwamba majeruhi wamepelekwa hospitali ya Dareda. Nampigia simu mhusika hapokei tena, Mwenye taarifa zaidi?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

    Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu. Nawapa assignment kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wa sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa...
  3. wakukurupuka1

    JamiiForums Tanzania Basi la kampuni ya Kiazi kitamu lapata ajali

    Basi la Kampuni la KIAZI KITAMU lenye Namba ya Usajiri T 889 DKL linalofanya safari zake Kutoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali na kudondoka eneo la Misungwi Mkoani Mwanza Leo alfajiri ya 23/03/2023. Taarifa za Vifo bado hatujapokea zaidi ni majeruhi ya wahanga wa ajali hiyo.
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Penzi ndani ya basi

    Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori. Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ngumu ni kesho, na Yanga akifuzu, basi hata nusu fainali anaweza kutinga

    Naamini mechi ya kesho itakuwa na ushindani mkubwa kutokana na ubora wa timu zote mbili na Yanga asipokuwa makini, anaweza hata kupoteza hiyo mechi. Hata hivyo, Yanga akishinda kesho dhidi ya Watunisia, basi atakuwa na uwezo wa kufika hata nusu fainali. Hilli kiundi linaweza kutoa bingwa kama...
  6. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hayapi kipaumbele mambo ya msingi kama maji na umeme?

    Angalia huduma za Msingi kama umeme, maji nk ni kero tofauti ni mtangulizi wake. Hivi mnajua kwa Nini Magufuli anapendwa sana mtaani licha ya wizi wa kura au mauaji aliyoyafanya? Ni kama alikuwa anafanya vyote ili jamii kubwa ineemeke. Kipindi chake hakukuwa na matatizo ya umeme na maji kabisa...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA oneni aibu basi kwa huu uwanja wa makoa makuu ya chama

  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa: Kama hii katuni ya chatu na mbwa imechorwa na Masood Kipanya basi anapaswa kupewa tuzo ya kutuchanganya

    1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu. 2. Chatu amemmeza mbwa. 3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu. 4. Mbwa anatembea huku amemezwa. 5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kama lugha ya kufundishia sekondari na Chuo Kikuu ni Kiingereza basi na shule zote za msingi iwe Kiingereza

    Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli. Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe Kiingereza. Watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa Kiingereza ( English...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nape na January: dhihirisheni basi kwamba JPM aliwatema kimakosa!

    Mh Nape! Hatukufichi mkuu, wewe huna chochote mpaka sasa ulichosaidia wananchi kwenye wizara yako zaidi ya kuwakamua tuu kupitia vifurushi huku huduma zikiwa mbovu zaidi, Haujawahi kuwatetea hata kidogo wananchi uwapo kwenye vikao vyenu na makampuni haya ya mitandao na cha ajabu umekuwa wa...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mtembea kwa miguu aliyegongwa na basi la mwendokasi atolewa ICU

    Mtembea kwa miguu aliyegongwa na Basi la Abiria la "Mwendokasi" wiki iliyopita ambaye ndiye alikuwa Majeruhi pekee wa ajali hiyo aliyesalia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), ameondolewa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) na kuhamishiwa wodi nyingine ya HDU baada ya afya...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Timu mpaka inafungwa na Utopolo CAF basi kimeo

    FT: TP Mazembe 0-2 Monastir Huwezi kujiona una timu kwa kuifunga TP Mazembe nyumbani. TP Mazembe ni ile ya kina Samata au hii ya juzi kati ya kina Baleke. Timu mpaka inafungwa na Utopolo hiyo sio timu ni kikundi cha wahuni. Yaani mgonjwa mahututi anakuja kupigia chafya kwako. Angalia hapo...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Saidoo na chama wakianza Basi Simba haishindi kesho. Ili mzungu afukuzwe

    Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza. Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze...
  14. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Kama huwezi Kumuacha basi Usimchunguze!

    Wanaume nimeita kikao cha dharura usiku huu Kwa sababu kuna udharura wa kufanya hivyo. Leo mchana wakati napitia baadhi ya nyuzi humu JF, kuna mwamba mmoja yamemkuta na hivi ninavyoongea huenda akaacha makazi yake kwenda mbali na mji wake, na hii baada ya kufuma message ya mkewe akipanga...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dereva wa basi la Simba matatani kwa kuendesha gari kinyumenyume

    Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha basi hilo reverse (Kinyumenyume) wakati akielekea katika dimba la Mkapa kwenye mchezo wa klabu...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mwenye clip ya basi la Simba likirudi kinyume maeneo tofauti atume

    Waswahili wanapenda sana kukomalia mambo ma hata pale ushahidi ukiwa hafifu au wakiletewa ushahidi tofauti na wanachotaka kuamini, wanakuwa wagumu kukubali. Nimeona clip inayosambaa ya basi la Simba likirudi kinyume katika mtaa mmoja mwembamba. Kwanza sielewi kinachoshangaza nini kwa gari...
  17. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Bila uchawi wa kurudisha basi reverse, Simba ingefungwa O-1O

    Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Kitendo cha Basi letu Simba SC jana kurudi Kinyumenyume tukibatizwa Jina baya tuwe Wavumilivu tu

    Star Times wana Channel yao Moja niipendayo ya ( ihusuyo ) Wanyama na Maisha yao na kuna Siku niliona Simba Jike anarudi Kinyumenyume vile vile tayari kwa Shughuli Maalum na Simba Dume. Na kinachoniumiza zaidi MINOCYCLINE ni Kitendo cha Jana Basi la Simba SC kurudi Kinyumenyume vile huku tukiwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tulianza kuwasha moto Afrika Kusini, leo basi limeingia kinyumenyume! Tumebakiza kutoa haja kubwa tu viwanjani ili tushinde

    Timu ya Tajiri #13 Afrika inafanya Mambo ya Kipumbavu na Aibu kabisa halafu bado unataka Mwenyezi Mungu aibaeiki ishinde. Tulichokibakiza sasa kutokana na Kuamini Kwetu Uchawi ni Kuwaambia tu Wachezaji wakiongozwa na Babu (Mzee) Joash Onyango wajitahidi kujisaidia uwanjani kwa Mkapa ili...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Niite basi mpenzi

    Niite Lyrics Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizo nazo ni za kwangu Njoo home, njoo home Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizo nazo ni za kwangu Njoo home, njoo home I really can get no sleep Think about your love...
Back
Top Bottom