Katika dunia ya hoja na mantiki, ni kweli kwamba ujumbe ni muhimu kuliko mjumbe. Lakini je, kila mjumbe anastahili jukwaa? Mbona si kila njiwa huleta barua njema; wapo wanaoruka wakiwa wamebeba hadaa na uzushi.
Gwajima ni baba wa ahadi zilizoharibika kabla ya kuzaliwa. Aliwahadaa wananchi wa...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee, amehoji mantiki ya kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akisema kauli za kisiasa haziwezi kufasiriwa kama uhaini bila ushahidi wa ziada.
Akizungumza kuhusu kesi hiyo, Mdee alisema “Katika mazingira ya kawaida, kauli za...
Leo mapema tu nikiwa natoka zangu Nakuru to Nairobi along the A104 highway (Nairobi-Nakuru Highway), nilipofika pale Kayole pande za Naivasha nikaona ninunue some drink and bites za kunipa company kwenye kasafi hako ambako si karefu ni kama Kanakaribia umbali wa Dar mpaka Moro.
Nikaingia...
Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena.
Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya kiwango cha ushenzi watakachokionesha kama muitikio wa ushenzi waliooneshwa..
UShenzi haufurahiwi...
Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo
===
"Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na...
Tunakwenda wiki ya pili bilaa Tweeter (X). Hakuna taarifa kutoka TCRA nini kimetokea Tweeter kutopatikana.
watu wanasema (speculate) kuwa Serikali imeifunga ,
KWAHIYO TUSEME TWEETER (x) NDIYO BASI TENA IMEFUNGWA INDEFINITELY?
TCRA tunaomba ufafanuzi
Kama mfumo wa kidemokrasia umeshindikana kabisa kuwepo nchini jambo ambalo mpaka sasa nakiri kushindikana kwake basi upatikane udikteta wenye faida.
Si jambo jema kukosekana vyote mnaweza kutunyima haki muhimu kama uhuru wa kisiasa,kimaoni,uchaguzi huru n.k lakini uhuru wa kiuchumi na kukuza...
Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya
Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi
Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa
Mimi nikiwa...
Uwa sometimes sileti taarifa hovyo hovyo na siku ile naleta sijashtuka maana nilijiandaa kisaikolojia muda mrefu. Na nakumbuka GL alisema siku ileile kuwa ikiwa ndio mara ya mwisho kumuona jamaa basi watakutana siku ya mwisho. Kauli Ile kwangu ilitosha kunijulisha kuwa ni mwisho wa mwenzetu...
Ni kweli kama uchaguzi ulikuwa mzuri na Mbowe alisimamia Demokrasia. Je hao G.55 walipatwa na nini. Njaa au kukosa maono ya maisha yao ya kisiasa. Asante Boni Umewasaidia Watanzania Bravo hotuba yako ina impact sana.
Nawapanga kabisa Makolo, kama kweli nyie ni Wanaume na mnajikubali basi mgomee na msuse kupeleka timu uwanjani huko Amani Abed karume (Stadium) Zanzibar kama mlivyofanya kwenye mechi ya Derby 08 March 2025.
Maana huku mmezoea kubebwa na mjomba wenu Karia kwa maamuzi yenu ya hovyohovyo na yasiyo...
Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli.
Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
Mi kwa sasa siwezi lalamika mzungu,mwarabu na wachina wakituita nyani.Kama tunashindwa hata kuishi kama wao kwa nini tukatae.
Mfano leo kuna viongozi wanaweza kuja kubisha kauli zao za nyuma kuwa hawa kusema ila wakionesha wakaulizwa wanakana.
Kuna watu hapa JF damu za watu zina...
Akili mnemba (AI) siyo kitu kigeni saana!
Afrika kwa asili tumezaliwa nanuwezo mkubwa wa kuunda akili mnemba sema basi tu hajui kuendeleza au kuweka vitu vyetu katika mfumo.
Maana rasmi ya akili mnemba ni akili bandia!
Lakini ukiniuliza mimi fundi SAMICO nikueleze kwa kina hii akili bandia...
Siasa za Bongo sasa zimebebwa na chama kimoja tuu
Mijadala ya kisiasa kwasasa imetawaliwa na chama kimoja tuu
Matukio ya kisiasa Bongo yote kwasasa yote ni ya chama kimoja tuu
Mitandao ya kijamii bongo habari zake za kisiasa zote zimeelemea chama kimoja tuu
Hii sio sawa kabisa.. Hakuna mizania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.