basi

  1. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Binadamu ameumbiwa kukumbuka, basi, tusijisahaulishe na kujitoa ufahamu!

    Anaamka mtu na pombe zake kichwani na kutamka eti, tuna Rais katili sana, nacheeka sana, wanasahau ya kwamba, hata mikutano yao ilizuiliwa, wengine walipasuliwa mifupa, wengine walikimbia nchi mazima, wengine waliwekwa kwenye viroba, kweli shukurani ya punda ni mateke, eti wanasahau kabisa, ya...
  2. albab

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni serious basi!

    Kwanza nianze kwa kusema kila mtu ana uhuru wa kupandisha mada yoyote humu na nasikitika wafuasi wa chadema kujiona wao ni bora, wenye elimu zaidi, wenye exposure zaidi ya mtu anaepingana nao. Hii ni dalili nyingine ya UJINGA. ...... Nachelea kusema CHADEMA mnachokifanya ni upuuzi na ni kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama serikali na viongozi kweli wanatanguliza maslahi ya taifa basi wawasikilize wananchi wanataka nini

    Uzi siyo mrefu sana ninaandika nikiwa natetemeka kutokana na upuuzi unaoendelea hapa nchini. Yani unamuuwa mwenzako kwasababu ya kulinda maslahinyako binafsi??? Kama kweli unalipenda Taifa na unataka liwe na amani kwanini usiwasikilize wananchi wanataka nini? Kwasabab wananchi wao ni majority...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  5. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  6. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzurii? Basi hapa umefika we do best design for your project call us 0624004650

    CHECK OUT THIS 4BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 800SQM TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  7. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

    Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu. Aiseee hatari. Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe" Ukiwapigania Watanzania...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama ChatGPT inaweza kuhubiri Injili namna hii - basi ni kweli hizi ni siku za mwisho!

    Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :) -------------- Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viporo kama vyote, Kama mkitoboa bila kudondosha alama basi walau nitawaheshimu na kuwaona mpo serious

    27/04 - Bondeni 02/05 - Mashujaa 05/05 - JKT 08/05 - Pamba 11/05 - KMC 14/05 - Singida BS 16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀) 17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea 😀) Na bado mnaitaka Derby?
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukimuona mtu katika taifa hili amekua maarufu na mashuhuri kwa kufanya mambo ya maana basi muheshimu sana.

    Watanzania katika ubora wa "MAKING STUPID PEOPLE FAMOUS" Nafasi ya Mtanzania wa kawaida kuwa katika viwango vya umashuhuri kwa kutumia ubunifu na logic ni kama imeshapigwa chini vibaya mno. Ni ngumu sasa hivi kuonesha ubunifu wako kwa watu, yani ni either wewe uwe kama umeweuka na mwingi wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Quran ya Kiarabu Ingetafsiriwa kwa haki na bila Chuki, basi wakiristo na Waislamu wote wangeadhimisha Ijumaa Kuu (Good Friday)

    Napenda kuongelea Ukumbusho wa kifo cha Yesu ambao Yesu aliwaagiza wanafunzi siku ile anafanya nao Karamu ya mwisho (Alhamis Kuu baada ya jua kuzama) NB kwa kalenda ya Kiyahudi, tayari waliisha anza Ijumaa Kuu ambapo alikufa saa 9 mchana. Katika Luka 22:19-21 yesu akawambia hivi "Fanyeni hivi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wapiga mabomu mkutano wa Lissu huko Mbinga

    Lissu amemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara wa Mbinga leo akasema ashuke akachangiwe Hela na wananchi, wakati anashuka akakutana na OCD pale jukwaani akaambiwa anahitajika ofisi ya OCD Sasa hivi, LISSU akarudi jukwaani akasema yameanza, basi akasema sitokwenda kwa OCD nimechoka sana. Sasa...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tufurahini tutakavyo ila kama hatujaicheza hii Mechi ya Leo kwa Kuzubaa Kwetu wakishinda tu basi kwa 99% wanaenda kuwa Mabingwa tena

    Enzi zetu nikiwa na Marehemu Mapama, Idi Kajuna na Kassim Dewji tulikuwa tunajigawa Kimafia Kimataifa na Nyumbani.
  15. Top Gun

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal akimshinda Madrid leo basi mods wanilime ban ya mwezi. Sioni hawa watoto wa mama wakifanya lolote leo

  16. D

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali sana kama nchi. Enzi zile hata ndege moja ikinunuliwa basi nchi nzima inahamia uwanjani kuishangilia!! Duh

    Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo Mbona samia anafanya mambo...
  17. haszu

    JamiiForums Tanzania Kama hujawahi kuwambiwa na mdada anaomba "mbegu" Basi unasura personal

    Wadada wengi wanapenda kuzaa watoto wazuri, nadhani wote, wawe wanaosha kwa watu. Yani wadada wengi nikikutana nao, wanakwambia we kaka mzuri, unipe mbegu. Hapo ushaelewa wanamaanisha nini. Sasa wanaume wenye sura ngumu na personal ndio wananishambulia sana na kusema mi shoga, kumbe wanafisha...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  19. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Unapokuwa IYOVI basi remember to stay on you lane

    That's place is too scary kupita lile eneo salama ni kumshukuru mungu zile kona wahuni wanalala nazo kama Lewis Hamilton wa Formula one. Stay on you lane
  20. Webabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani yawaambia Houth" kama hamtaki tuwapige basi na nyinyi msitupige"

    Vita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata. Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi kushambulia meli na maeneo ya Israel baada ya Israel kuvunja makubaliano ya kusitisha vita. Mashambulizi...
Back
Top Bottom